Turkish PM: Nothing will prevent us from protecting Jerusalem

Turkish PM: Nothing will prevent us from protecting Jerusalem

Status
Not open for further replies.
Wajaribu tu najua kinawauma pale walipowatuma watu kwenye ile meli ya uchochezi na wakajifanya wababe tisa wakauliwa hasira zao bado hazijaisha na kwenye mahakama ya UN imesema Israel haina hatia walichokozwa na wale waliouwawa ni upumbavu wao tu kutaka kuwanyang'anya silaha wanajeshi na kuwapiga na kuwazuia wasiingie kwenye nchi ya watu kwa visingizio wanakuja kutoa misaada huku hiyo meli haikuwa na hizo bidhaa walizodai wamebeba... Shenz type zao mituruki

uturuki ni sehemu kubwa sana ya usalama wa Israel kwani hata huupango wa sasa ulioundwa na mossad pamoja na cia pale middle east usingefanikiwa bila uturuki, na hata ishu ya kushambulia isil imekuwa ngumu kutokana na kutoshiriki kwa uturuki, israel wanapiga dill za mafuta kutoka kurdistan region kupitia uturuki,
 
Kwenda peponi au motoni pia ni uamuzi wako,ndio mana kuekwa Uhuru wa kuchagua,uchague PEPO AU MOTO. unakotaka kwenda uende.

Mbona Quran inasema Allah anatoa neema kwa jinsi anavyooenda mwenyewe, na wengine anawafanya mioyo yao iwe migumu makusudi wasimjue?

Unayapinga maneno ya Allah kama yalivyoandikwa katika Quran?
 
Wewe ndio wafikiria ulikuwa huna,lakini akili ulikuwa NAYO,ndio maana ulipozaliwa ulikuja duniani,asiyetaka kuja hufa tumboni au hufa mchanga.

Unaweza kuthibitisha hilo au ni la kulazimisha tu?
 
Sura zako hazijibu awali langu, na kama kuna maswali zinayajibu, sijayauliza.

Kwa nini Allah anawapa watu wengine ujuzi wa kimjua yeye kwa neema zake na qengine kuwanyima neema hiyo hata wakimtafuta?

Na kwa kuwa anafanya hivyo, ana haki gani ya kuwahukumu wale ambao yeye mwenyewe kaamua kuwanyima neema ya kumjua?

Huyu Allah yupo kweli au ni stoties tu?

Mbona yuko inconsistent?

Mara ni mungu wa haki, mara anawanyima watu neema ya kumjua na kisha anawahukumu hao hao aliowanyima neema ya kumjua.

Is this a godly character? I would sespise this even in human, let alone an all knowing and all capable godhead.

Does the Allah idea fall under it's own weight?
 
Link Surat Al-'Isra' [17:41] - The Noble Qur'an - ?????? ??????

Link SunnahOnline.com - Deaf and the Dumb Amongst the Kuffar and the Muslims, The

Link Surat Al-'An`am - The Noble Qur'an - ?????? ??????

link Surat Al-'An`am [6:5] - The Noble Qur'an - ?????? ??????

Link Surat Al-'Insan - The Noble Qur'an - ?????? ??????

Link Surat Al-'Insan [76:3] - The Noble Qur'an - ?????? ??????
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom