Turkish PM: Nothing will prevent us from protecting Jerusalem

Turkish PM: Nothing will prevent us from protecting Jerusalem

Status
Not open for further replies.
yote sawa lakini uwepo wa israel katika middle east ni kwa maslahi ya america nothing more dat y as long america ndio superior duniani hakuna jipya kwa turkey ni kalele za media walizobakiwa nazo waarabu .na wala hutawasikia israel wakimjibu coz netanyahau alishawaambia maafisa wake wawapuuze kuwajibu viongozi wa kiarabu wanawowashutumu kupitia media
 
Wapi ktk hayo maandiko kumetajwa hawa jamaa watafutwa? Ok hili tukio la kuzingirwa na kupondwa lilitokea mwaka 70 A.D na Si kwamba wayahudi wote walifutwa na wala maandiko hayasemi hivyo kwamba watafutwa km wewe ulivyosema hapo....!

Na pia umetumia nukulu kutoka kitabu cha biblia kutuonyesha utabiri juu ya Israel na huu unabii ulitimia kwa Dola ya Rumi kuwavamia Wayahudi mwaka 70. Hii ikiwa na Maana kwamba kitabu cha Biblia ni kitabu cha kweli na Yote kiyasemayo yanatimia....! Swali .

ule haukua hata unabii.maandiko yameandikwa tayari tukio limetokea.wamekuja kuedit in future tense wakaita unabii
 
yote sawa lakini uwepo wa israel katika middle east ni kwa maslahi ya america nothing more dat y as long america ndio superior duniani hakuna jipya kwa turkey ni kalele za media walizobakiwa nazo waarabu .na wala hutawasikia israel wakimjibu coz netanyahau alishawaambia maafisa wake wawapuuze kuwajibu viongozi wa kiarabu wanawowashutumu kupitia media
kwanini asijibu kama haogopi?.
kama anamjibu syria ama iran.kwanini asimjibu turkey?
 
Hii list hai-take into considerationnuclear capabilities za nchi husika, na Israel is a nuclear power while Turkey is not, achilia mbali submarinesmpya za kisasa kabisa with nuclear capability itakazopata kutoka Germany hivi karibuni!! Israel haitasita kutumia nuclear wepons turkey pia ana submarine.pia i srael kwa udogo wake wala haihitaji nuklear.
hata ivo kuna kombora za nyuklia turkey
 
Europe's Five "Undeclared Nuclear Weapons States"]
According to a recent report, former NATO Secretary-General George Robertson confirmed that Turkey possesses 40-90 ¡°Made in America¡± nuclear weapons at the Incirlik military base.( en.trend.az/.
Belgium, Germany, The Netherlands, Italy and Turkey: ¡±Undeclared Nuclear Weapons States¡±
While Iran¡¯s nuclear weapons capabilities are unconfirmed, the nuclear weapons capabilities of these five countries including delivery procedures are formally acknowledged.
The US has supplied some 480 B61 thermonuclear bombs to five so-called ¡°non-nuclear states¡±, including Belgium, Germany, Italy, the Netherlands and Turkey. Casually disregarded by the Vienna based UN Nuclear Watchdog (IAEA), the US has actively contributed to the proliferation of nuclear weapons in Western Europe.
As part of this European stockpiling, Turkey, which is a partner of the US-led coalition against Iran along with Israel, possesses some 90 thermonuclear B61 bunker buster bombs at the Incirlik nuclear air base. ( National Resources Defense Council, Nuclear Weapons in Europe, February 2005)
 
Elungata

Yaani wewe hata maana ya ushahidi hujui

Lakini pia hata maswali yangu hujayajibu
Wakati mwingine kupoteza muda bila sababu ni ujinga

Ukijibu niambie nije nione majibu yako sina muda na hadithi mie!
 
Last edited by a moderator:
yote sawa lakini uwepo wa israel katika middle east ni kwa maslahi ya america nothing more dat y as long america ndio superior

Hata Israeli ya Mfalme Daudi nayo ilikuwa kwa maslahi ya Marekani?
 
binafsi sikubaliani na ushabiki tunaouonyesha hpa kwa misingi yetu ya kidini kumbukeni wakati c tunaonyesha ushabiki wetu hpa kuna watu wanakufa huko, sasa tutakuwa watu wa ajabu kushabikia binadamu wenzetu kufa,kwa upande wangu siwezi kuthibitisha khs waisrael au wapalestina juu ya madai yao ila ninachokiona ni hali ya upande mmoja kuona wana haki zaid ya upande mwingine, siku wakitambua wote wana haki sawa khs sehemu husika basi tutaanza kuona dalili za amani mashariki ya kati .....jerusalemu ni sehemu muhimu kwa pande zote km kweli wana nia ya kweli ya kuumaliza huu mgogoro wagawane ardhi jambo ambalo linawezekana kbsa kwani kuna kpindi israel walikubali kutoa sehem ya mji huu kwa wapalestina ingawa mazungumzo yalikuja kukwama kwa hyo naamini kbsa inawezekana km kuna masikilizano

Hapa kuna makundi yafuatayo

Wapalestina
Waislam
Wakristo
Wayahudi

Wapalestina wanadai mji wa Jerusalemu ni wao
Waislam wanauchukulia mji huo ni wa kuhimu kwa mujibu wa dini yao
Wakristo wanauchukulia mji huo kama mji wa Mungu
Wayahudi wanasema mji huo ni wao wote

Sasa mkuu hebu tuachane na hao ambao wako kiimani zaidi na tuiangalie historia,hivi kweli na wewe unaona huo mji ni wa Wapalestina kweli?
 
Yaani wewe hata maana ya ushahidi hujui ....

Lakini pia hata maswali yangu hujayajibu ....

Wakati mwingine kupoteza muda bila sababu ni ujinga ....

Ukijibu niambie nije nione majibu yako sina muda na hadithi mie!
Kubali tu umeishiwa hoja.wewe nadhani ndo umesema wayahudi asili yao pale jerusalem.
mimi nikasema asili yao si pale wao ni wa kuja tu pale na hawana haki ya kudai kuwa pale ndo asili yao.
nikasema kwa kuweka ushahidi wa historical fact kwamba kabla hata abrahamu hajazaliwa,pale jerusalem alikuwepo mtawala kama chief na alikua answerable kwa pharao ambayo misri ndo ilikua empire ikitawala hadi maeneo hayo.huyo chifu aliitwa ABDI HEBA.(google that).
nikauliza iweje enzi hata hajazaliwa abraham babayake isaka na babu yake yakobo,awepo mtawala wa jerusalem anaeitwa ABDI?.
 
Hata Israeli ya Mfalme Daudi nayo ilikuwa kwa maslahi ya Marekani?
DAUD ni mmoja kati ya mlolongo wa watawala toka jamii mbalimbali waliopata kutawala hapo na wakapita enzi hizo hakuna cha sheria za kimataifa,na haimpi haki kizazi chake kuja kuwafukuza waliowakuta na kusimika utawala wao wakati hivi sasa kuna sheria za kimataifa ziki govern dunia.
hata mfalume wa mwishomwisho wa israel kingdom,hedekia alipachikwa na waasyiria ambao kipindi hicho ndo wamepakamata hapo
 
Ngoja nikuulize swali la msingi .....

Kabla ya Waisraeli kwenda pale Jerusalem,ni watu gani walioishi hapo?

Nataka uweke na ushahidi ...!!
 
Waliwakuta akina nani?
 
Ngoja nikuulize swali la msingi .....

Kabla ya Waisraeli kwenda pale Jerusalem,ni watu gani walioishi hapo?

Nataka uweke na ushahidi ...!!
Ndo kusema hata wewe huwezi kupekua na kupata ushahidi wakati nimekuwekea hint.
ok kwa uchache kabla sijaingia kutake shower.
wamoab walikuwepo,wakaanani walikuwepo,wafilisti,waamedian,waasyria ,jebusite etc
hiyo ni hint ukitaka deeply search au la ntakuelekeza kwa mda wangu.
 
Wote hao walikuwepo Jerusalem?
 
The Hebrew Bible ( Tanakh) contains the only surviving ancient text known to use the termJebusiteto describe the pre- Israeliteinhabitants of Jerusalem; according to the Table of Nationsat Genesis10, the Jebusites are identified as a Canaanitetribe, which is listed in third place among the Canaanite groups, between the biblical Hittitesand the Amorites. Prior to modern archaeological studies, most biblical scholarsheld the opinion that the Jebusites were identical to the Hittites, which continues to be the case, though less so. [ 4 ]However, an increasingly popular view, first put forward by Edward Lipinski, professor of Oriental and Slavonic studies at the Catholic University of Leuven, is that the Jebusites were most likely an Amoritetribe; Lipinski identified them with the group referred to asYabusi'umin a cuneiformletter found in the archive of Mari, Syria. [ 5 ]
As Lipinski noted, however, it is entirely possible that more than one clan or tribe bore similar names, and thus that the Jebusites and Yabusi'um may have been separate people altogether. [ 5 ]In the Amarna letters, mention is made that the contemporaneous king of Jerusalem was named Abdi-Heba, which is a theophoric nameinvoking a Hurriangoddess named Hebat;.
 
Ngoja nikuulize swali la msingi .....

Kabla ya Waisraeli kwenda pale Jerusalem,ni watu gani walioishi hapo?

Nataka uweke na ushahidi ...!!

kasome kitabu cha WAAMUZI... jibu rahisi tu!
 
We u support au usi support nani anaekujua?
Mkerewe Unaeishi kwa Kusafisha Utumbk wa Samaki Nani anasjida na hilo Vumba lako?
We ndio Ukiskia debe tupu huwa haliachi kupiga kelele.
Utalalama huko ukerewe weeeee! Ukimaliza Utafunga kopo lako lkn waungwana Wanaendeleza Mambo yao km kawaida.
Shukuru JF japo Unepewa nafasi ya Kujadili Na waungwana.
I bet huko uliko hata jirani Hakutambui km uko Duniani!

Watu km nyie mnatusababishia Pollution tu na Kumaliza Oxygen na hizo pua kubwa Km Ngumi ya mwizi.

C.r.a.p
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom