Turkish PM: Nothing will prevent us from protecting Jerusalem

Turkish PM: Nothing will prevent us from protecting Jerusalem

Status
Not open for further replies.
Vile unavyoweza kubadilisha ndio unazidi kuthibitisha kuwepo kwa Mungu,kwa sababu Mungu ndio kaeka viko tunavyoweza kubadilisha na viko tusivyoweza kubadilisha.

Hujathibitisha kuwapo kwa mungu ishakimbilia kisema mungu kafanya nini na nini?

Kama mungu yupo na ana nguvu zote na ubaya wote kwa nini kaumba ulimwengu ambao ubaya unaweza kufanyika?
 
Hujathibitisha kuwapo kwa mungu ishakimbilia kisema mungu kafanya nini na nini?

Kama mungu yupo na ana nguvu zote na ubaya wote kwa nini kaumba ulimwengu ambao ubaya unaweza kufanyika?
Mungu ndio mwanzilishi wa demokrasia,amekuachia uchaguwe kufanya zuri au kufanya baya.
 
Mungu ndio mwanzilishi wa demokrasia,amekuachia uchaguwe kufanya zuri au kufanya baya.

Hujajibu swali uliloulizwa, na ililojibu hujaulizwa.

Sijauliza nani mwanzilishi wa demokrasia.

Nimeuliza, kwa nini mungu mwenye uwezo wote na ujuzi wote aumbe ulimwengu ambao mabaya yanawezekana?
 
Hujajibu swali uliloulizwa, na ililojibu hujaulizwa.

Sijauliza nani mwanzilishi wa demokrasia.

Nimeuliza, kwa nini mungu mwenye uwezo wote na ujuzi wote aumbe ulimwengu ambao mabaya yanawezekana?
Amekupa binadamu Uhuru wa kuchaguwa mabaya au mazuri.
 
Amekupa binadamu Uhuru wa kuchaguwa mabaya au mazuri.

Kama kweli anapenda kuwapa watu uhuru, kwa nini hajatupa uhuru wa kurudi nyuma katika muda tubadilishe mabaya yuliyoyaganya na tuyafanye yawe mazuri?

Kwa nini atupe uhuru sehemu moja na atubanie nyingine?

Kama kweli anapenda uhuru, mbona binadamu hapewi uhuru wa kuchagua azaliwe au asizaliwe? Anajikuta kazaliwa tu.
 
Kuzaliwa kwa binadamu ni maamuzi Yake,ndio mana asiyetaka kuzaliwa hazaliwi,mimba haitungu,au hufa tumboni au mtoto mchanga.
 
Kuzaliwa kwa binadamu ni maamuzi Yake,ndio mana asiyetaka kuzaliwa hazaliwi,mimba haitungu,au hufa tumboni au mtoto mchanga.

Umesema anapenda kuwapa watu uhuru ndiyo maana kuna mazuri na mabaya tuamue.

Kama kweli anapenda uhuru, kwa nini anafanya kuzaliwa kwa binadamu kuwe maamuzi yake wakati atakayeishi kqenye maisha haya ni binaadamu na si yeye mungu?

Mungu wako mbona haeleweki?

Anapenda kuwapa binadamu uhuru waamue au anapenda kujiamulia yeye mwenyewe?

Halafu suala la kurudi nyuma kwenye muda hujalijibu kabisa.
 
Soma vizuri kuzaliwa ni uhuru wako,asiyetaka, hufa mchanga,hata wewe waishi kwa kutaka mwenyewe,umepewa uhuru waweza kunywa sumu ukafa.
 
Soma vizuri kuzaliwa ni uhuru wako,asiyetaka hufa mchanga,hata wewe waishi kwa kutaka mwenyewe,umepewa uhuru waweza kunywa sumu ukafa.

Kuzaliwa ni uhuru qangu kivipi wakati nimezaliwa nikiwa sijapata akili wala kujaza mkayaba kwamba nakubali kuzaliwa?

Unaweza kuthibitisha kuwapo kwa mungu?
 
Hujajibu swali uliloulizwa, na ililojibu hujaulizwa.

Sijauliza nani mwanzilishi wa demokrasia.

Nimeuliza, kwa nini mungu mwenye uwezo wote na ujuzi wote aumbe ulimwengu ambao mabaya yanawezekana?
 
Last edited by a moderator:
usiseme Jews Tu hawatakiwi wapalestina PIA hawatakiwi hawa watu kila mmoja hamtaki mwenzie na hpo ndyo ugomvi unapoanzia so ukisema Jews pekee yake Ina maana unawasilisha mjadala kwa msingi WA imani yako na sio hali halisi iliyopo huko
How Many Jews in "Palestian" Government? How Many "Plaestinians" in Haifa, Tel Aviv Jerusalem, Ashkelon et al?
 
Kuzaliwa ni uhuru qangu kivipi wakati nimezaliwa nikiwa sijapata akili wala kujaza mkayaba kwamba nakubali kuzaliwa?

Unaweza kuthibitisha kuwapo kwa mungu?
 
Last edited by a moderator:
Kuzaliwa ni uhuru qangu kivipi wakati nimezaliwa nikiwa sijapata akili wala kujaza mkayaba kwamba nakubali kuzaliwa?

Unaweza kuthibitisha kuwapo kwa mungu?
Wewe ndio wafikiria ulikuwa huna,lakini akili ulikuwa NAYO,ndio maana ulipozaliwa ulikuja duniani,asiyetaka kuja hufa tumboni au hufa mchanga.
 
Katika uislamu, watu wanapata kumjua mungu na kufika peponi kwa juhudi zao ama kwa neema za mungu?
Kwenda peponi au motoni pia ni uamuzi wako,ndio mana kuekwa Uhuru wa kuchagua,uchague PEPO AU MOTO. unakotaka kwenda uende.
 
yaani kama wamewafundisha hivi, mtapata shida sana kwasababu ni wrong 100%. nakubaliana na wewe kuwa uturuki ni NATO, lakini haipo ndani ya european union hadi leo hii wanakataliwa kuingia. hiyo ni loss kubwa sana kwao kwasababu wakiwa eu wangefaidika sana kiuchumi na kijamii. hata kama not arab, wanajifanya wazungu lakini sio wazungu, they are more of mediteranian people. na uchumi wao sio mzuri kiviiile, na kijeshi walishatandikana na ugiriki sana wakigombea cyprus hadi wakagawana kisiwa kile, leo northern cyprus ni poorer than africa wakati southern ni modern europe. northern inakaliwa na waturuki southern na wagiriki.

ukija kwenye suala la international law, you no nothing, yaani wewe ni mweupe. which international law are you talking about ambayo inasema israel imekalia makazi yale kinguvu? tell me which one?...unajua kuwa UN inaitambua israel kuwa ni state lakini palestina hadi leo ni authority tu wala si nchi? unajua israel ni member wa UN palestina sio? unajua kama jerusalem ni makao makuu ya nchi inayotambulika na UN? na hakuna hata sheria moja ya kimataifa inayotambua israel as an occupying state.

haya mambo ya kukariri ni shida aisee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom