Turkish PM: Nothing will prevent us from protecting Jerusalem

Turkish PM: Nothing will prevent us from protecting Jerusalem

Status
Not open for further replies.

Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
40,343
Reaction score
33,503
123940076(1).jpg

Turkish Prime Minister Ahmet Davutoglu slammed Israel for its recent "attacks" on Jerusalem, vowing to defend the city and its holy sites, even if doing so alone.

"Nothing will prevent Turkey from protecting Jerusalem and the al-Aksa mosque," Davutoglu addressed his party at a weekly faction meeting in Ankara, according to Turkish media.

Israel's "brutal" leaders should not "dare consider" continuing their attacks on the city, Hurriyet quoted him as saying.

He promised his country would not be silent, even as the rest of the world turns a blind eye to the recent sequence of events in the capital. Turkey, Davutoglu said, will be the most vocal opponent against Israel's actions, which have tainted the al-Aqsa mosque.

Source:jpost

http://www.jpost.com/Breaking-News/...l-prevent-us-from-protecting-Jerusalem-381555
 
Turkey hawana uwezo kupigana na Israel kwasababu kama wangekuwa na uwezo huo wangeshapigana muda mrefu kutetea waislam wenzao. Kupigana na Israel ni kupigana na Israel, Marekani and its allies.

Sasa alies wa Turkey wako wapi? si waarabu wachovu tu hao? halafu, suala la Jerusalem ambayo ipo Israel linaihusu nini Turkey? Kwanini Israel haijaingilia mambo ya Turkey?

Kwa Uturuki hiyo ni ndoto ya mchana ambayo haitakuja kutokea na hii ndio sababu hawakubaliki European union ata kuwa ndani ya ulaya tu na wanaishi bila kujulikana wako bara gani, hawapo ulaya na hawapo arab/asia.

Jiji la Jerusalem litalindwa na Mungu mwenyewe na wala si Marekani wala Uturuki, kama kuna mwanadamu yeyote anaamini anaweza kufanya chochote dhidi ya mji mtakatifu wa Mungu huyo atageuka mavumbi al magedon na gogu na magogu vitakuja kujulikana muda si mrefu.
 
turkey hawana uwezo kupigana na israel kwasababu kama wangekuwa na uwezo huo wangeshapigana muda mrefu kutetea waislam wenzao. kupigana na israel ni kupigana na israel, marekani and its allies. sasa alies wa turkey wako wapi? si waarabu wachovu tu hao? halafu, suala la jerusalem ambayo ipo israel linaihusu nini turkey? kwanini israel haijaingilia mambo ya turkey? kwa uturuki hiyo ni ndoto ya mchana ambayo haitakuja kutokea. na hii ndio sababu hawakubaliki european union ata kuwa ndani ya ulaya tu na wanaishi bila kujulikana wako bara gani, hawapo ulaya na hawapo arab/asia.

Jiji la Jerusalem litalindwa na Mungu mwenyewe na wala si marekani wala uturuki, kama kuna mwanadamu yeyote anaamini anaweza kufanya chochote dhidi ya mji mtakatifu wa Mungu huyo atageuka mavumbi. al magedon na gogu na magogu vitakuja kujulikana muda si mrefu.
Uturuki ni member wa NATO remmember that.
uturuki not arab peoples.
jerusalem sio mambo ya ndani ya israel,it is an ocupied city kwa mujibu wa sheria za kimataifa.
 
Jerusalem belongs to Israel together with everything in the Holy City. I think it is a mutual time for Arabs who are Palestine to go back where they came from.
 
by Jonathan Kuttab
The city of Jerusalem was always considered part of the territory of Palestine and had no special juridical status until the partition resolution of 1947. The rights of different denominations inside the city, particularly the different Christian denominations, were regulated by a highly-detailed scheme known as the Status Quo Agreement, and the successive govern0…1ments have always declared their adherence to that agreement. However, that agreement had more to do with the lives of the different Christian denominations and the potential disputes between them than with the determination of the legal status of Jerusalem as distinct from the rest of Palestinian territories.
The partition resolution of 1947 introduced for the first time the concept of a corpusseparatum,or special regime for the city of Jerusalem and the surrounding villages and towns. [Part (3) of Resolution 181 - Plan of Partition with Economic Union.]
The resolution recognized the importance of Jerusalem for adherents of the three great monotheistic religions and purported to grant it a separate international status.
This was reaffirmed shortly thereafter by Resolution 185 concerning the protection of the city of Jerusalem and its inhabitants, and by the recom0…1mendations of the United Nations mediator for Palestine
 
Uturuki ni member wa NATO remmember that.
uturuki not arab peoples.
jerusalem sio mambo ya ndani ya israel,it is an ocupied city kwa mujibu wa sheria za kimataifa.
yaani kama wamewafundisha hivi, mtapata shida sana kwasababu ni wrong 100%. nakubaliana na wewe kuwa uturuki ni NATO, lakini haipo ndani ya european union hadi leo hii wanakataliwa kuingia. hiyo ni loss kubwa sana kwao kwasababu wakiwa eu wangefaidika sana kiuchumi na kijamii. hata kama not arab, wanajifanya wazungu lakini sio wazungu, they are more of mediteranian people. na uchumi wao sio mzuri kiviiile, na kijeshi walishatandikana na ugiriki sana wakigombea cyprus hadi wakagawana kisiwa kile, leo northern cyprus ni poorer than africa wakati southern ni modern europe. northern inakaliwa na waturuki southern na wagiriki.

ukija kwenye suala la international law, you no nothing, yaani wewe ni mweupe. which international law are you talking about ambayo inasema israel imekalia makazi yale kinguvu? tell me which one?...unajua kuwa UN inaitambua israel kuwa ni state lakini palestina hadi leo ni authority tu wala si nchi? unajua israel ni member wa UN palestina sio? unajua kama jerusalem ni makao makuu ya nchi inayotambulika na UN? na hakuna hata sheria moja ya kimataifa inayotambua israel as an occupying state.
 
Wajaribu tu najua kinawauma pale walipowatuma watu kwenye ile meli ya uchochezi na wakajifanya wababe tisa wakauliwa hasira zao bado hazijaisha na kwenye mahakama ya UN imesema Israel haina hatia walichokozwa na wale waliouwawa ni upumbavu wao tu kutaka kuwanyang'anya silaha wanajeshi na kuwapiga na kuwazuia wasiingie kwenye nchi ya watu kwa visingizio wanakuja kutoa misaada huku hiyo meli haikuwa na hizo bidhaa walizodai wamebeba... Shenz type zao mituruki
 
Uchumi wa turkey ni 3 times uchumi wa Israel
 
Mbona data ziko online au hujishughulishi?.
uturuki ni member wa NATO na actually ndo nchi ya pili ama ya tatu kwa jeshi kubwa katika NATO,na sijui kama unajua kuwa anaposhambuliwa member wa NATO ni sawa na wameshambuliwa member wote.
kutokuwa kwa uturuki katika umoja wa ulaya haimaanishi kuwa uturuki ni nchi dhaifu,kumbuka imewahi kuwa empire.uchumi wa uturuki ni mkubwa kuliko uchumi wa israel kama unabisha tafuta data.
israel ubavu wa kuipiga uturuki hana.
 
Umoja wa mataifa haitambui jerusalem kama iko israel
 
Hii ndo list ya top ten kwa nguvu za kijeshi duniani.
acheni ushabiki mbuzi.
The GFP Top 10:
1. United States
2. Russia
3. China
4. India
5. United Kingdom
6. France
7. Germany
8. Turkey
9. South Korea
10. Japan
 
Wajaribu tu najua kinawauma pale walipowatuma watu kwenye ile meli ya uchochezi na wakajifanya wababe tisa wakauliwa hasira zao bado hazijaisha na kwenye mahakama ya UN imesema Israel haina hatia walichokozwa na wale waliouwawa ni upumbavu wao tu kutaka kuwanyang'anya silaha wanajeshi na kuwapiga na kuwazuia wasiingie kwenye nchi ya watu kwa visingizio wanakuja kutoa misaada huku hiyo meli haikuwa na hizo bidhaa walizodai wamebeba... Shenz type zao mituruki

mkuu Una chuki kali Sana ambazo hazisaidii
 
Worlds major economies-G20.
Argentina
Australia
Brazil
Canada
China
European Union
France
Germany
India
Indonesia
Italy
Japan
Mexico
Russia
Saudi Arabia
South Africa
South Korea
Turkey
United Kingdom
United States
 
Hii ndo list ya top ten kwa nguvu za kijeshi duniani.
acheni ushabiki mbuzi.
The GFP Top 10:
1. United States
2. Russia
3. China
4. India
5. United Kingdom
6. France
7. Germany
8. Turkey
9. South Korea
10. Japan

tatizo mnasahau kuwa Israel kwenye hiyo list ipo juu ya US lakini hamlijui hilo mmekomalia stats ambazo hazina uhalisia wa mambo. Acha ushabiki
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom