Turkish PM: Nothing will prevent us from protecting Jerusalem

Status
Not open for further replies.
Sasa mniambie how come chief wa jerusalem enzi za jebusite na kabla hata abrahamu hajazaliwa aitwe ABDI?

Biblia takatifu,Agano la kale,kitabu cha 2chronicles 29;12,"Ndipo wakaondoka Walawi,Mahathi mwana wa Amasai,na Yoeli mwana wa Azaria,wa wana wa Wakohathi;na wa wana wa Merari,Kishi mwana wa ABDI,na Azaria mwana wa Yehaleleli;na wa Wagershoni,Yoa mwana wa Zima,na Edeni mwana wa Yoa..."
Mniambie how come mlawi(mtumishi wa hekalu la Mungu wa Israel) aitwe Abdi?!

Nikitazama Wikipedia hapa kuhusu asili ya jina Abdi,wanasema ni mbili,Hebrew na Arabic,na arabic version zaidi ni Abdu,not much Abdi.. Ntuzu utanisaidia kusoma labda nina usingizi na haka kamvua usiku huu,aargh!
 
Last edited by a moderator:
Turkey hawana uwezo kupigana na Israel kwasababu kama wangekuwa na uwezo huo wangeshapigana muda mrefu kutetea waislam wenzao. Kupigana na Israel ni kupigana na Israel, Marekani and its allies.

Sasa alies wa Turkey wako wapi? si waarabu wachovu tu hao? halafu, suala la Jerusalem ambayo ipo Israel linaihusu nini Turkey? Kwanini Israel haijaingilia mambo ya Turkey?

Kwa Uturuki hiyo ni ndoto ya mchana ambayo haitakuja kutokea na hii ndio sababu hawakubaliki European union ata kuwa ndani ya ulaya tu na wanaishi bila kujulikana wako bara gani, hawapo ulaya na hawapo arab/asia.

Jiji la Jerusalem litalindwa na Mungu mwenyewe na wala si Marekani wala Uturuki, kama kuna mwanadamu yeyote anaamini anaweza kufanya chochote dhidi ya mji mtakatifu wa Mungu huyo atageuka mavumbi al magedon na gogu na magogu vitakuja kujulikana muda si mrefu.

Azusa hakika umenena hawa Turkey hawana jipya zaidi ya kukiuka haki za kibinadamu wao wenyewe wanahusika na mauaji wa Waarmenia zaidi ya milioni tatu ethinic cleansen sababu tu waarmenia hawakuwa waislamu hii ilisababisha Urusi ya Tsar Alexander kuivamia Turkey na muda wote warusi walishinda ndo sababu ya Turkey kuingia NATO kujilinda dhidi ya Russia. Kitu kingine Turkey inazuia haki za wakristo kuabudu lile kanisa kuu na kubwa na yalikuwa makao makuu ya Orthodox Turkey waliliteka na kulifanya museum pia seminari za Orthodox zimefungwa jambo ambalo linatia utata siku akifa Papa wao nani atamrithi maana sheria ya kanisa lao inasema awe kakulia na kusomea Uturuki katika seminari zao, tukumbuke Instanbul ndio Constantinople kwenye biblia na historia ulikuwa ni mji wa wakristo na Uturuki kwa ujumla kabla ya kulazimishwa kuwa ya kiislamu mithiri ya ISIS wafanyavyo sasa hivi. Pia Uturuki ndio kiongozi mkuu wa kuua na kutesa wana wa kikurdi hawaruhusiwi kuongea lugha yao wala wakursi kuitwqa kwa majina yao bali kuitwa kwa kituruki hawa wakursi wanauawa kuliko wapelestina wanavyouawa na Israel lakini hakuna report za vyombo vya habari wala kulitiliwa maananani sababu tu muislamu anamtesa muislamu mwenzake ni. halali na nchi yao imegawanywa mapandemapande
 
kishi mwana wa abdi.
point hapa ni kuwa jebusite hawakuwa waisrael.
hata ivo umeweka arqument nzuri na ntamcheki huyo kishi mwana wa abdi ni nani hasa
 
kasome kitabu cha WAAMUZI... jibu rahisi tu!

Tangu lini ukaiamini biblia wewe?

Unataka niitumie biblia kama ushahidi wa kihistoria kuthibitisha Jerusalem ni ya nani?
 
hakuna wa kuipiga jerusalem,poor turkey cant fight blessed city
 
Europe's Five "Undeclared Nuclear Weapons States"]
According to a recent report, former NATO Secretary-General George Robertson confirmed that Turkey possesses 40-90 ¡°Made in America¡± nuclear weapons at the Incirlik military base.( en.trend.az/.
Belgium, Germany, The Netherlands, Italy and Turkey: ¡±Undeclared Nuclear Weapons States¡±
While Iran¡¯s nuclear weapons capabilities are unconfirmed, the nuclear weapons capabilities of these five countries including delivery procedures are formally acknowledged.
The US has supplied some 480 B61 thermonuclear bombs to five so-called ¡°non-nuclear states¡±, including Belgium, Germany, Italy, the Netherlands and Turkey. Casually disregarded by the Vienna based UN Nuclear Watchdog (IAEA), the US has actively contributed to the proliferation of nuclear weapons in Western Europe.
As part of this European stockpiling, Turkey, which is a partner of the US-led coalition against Iran along with Israel, possesses some 90 thermonuclear B61 bunker buster bombs at the Incirlik nuclear air base. ( National Resources Defense Council, Nuclear Weapons in Europe, February 2005)
Nimesoma kwa kirefu ulipochukulia hii information. Inaonekana hizi thermonuclear bombs ni za wamarekani even though zipo Turkey na wamarekani wanafikiria kuzichukua. "When asked about a possible US move to withdraw its nuclear weapons from five European countries, including Turkey, Turkey’s Defense Minister Vecdi Gonul said that Ankara had no information about such plans." Kwa hiyo Turkey hawana nuclear weapons zao while Israel wanazo. Sasa Turkey waishambulie Israel......
 
nimesema zipo na kwa sababu zipo incase kimenuka zitatumika tu.
 
In Der Spiegel's Nov. 6 article, for instance, it states that the German government has said on numerous occasions it would like to see those weapons removed, but there is no great chance of that happening any time soon. Instead, the weapons are expected to be upgraded with enhanced military capabilities given the US decision to modernize them.
Turkey has never favored the removal of the B61s from its soil, as they have represented a kind of deterrence against Middle Eastern nations that have not signed any kind of an agreement on the non-proliferation of weapons of mass destruction. Now that the B61s are to be modernized, they will further serve the Turkish interest of protecting itself against such threats. In addition, Ankara is speculated to have control of about 40 of the approximately 70 US B61s on its soil. If this is the case, Ankara might have the ability to use these weapons if any serious threat occurs
 
In addition, Ankara is speculated to have control of about 40 of the approximately 70 US B61s on its soil. If this is the case, Ankara might have the ability to use these weapons if any serious threat occurs
Kwa hiyo ni speculation kama kweli wana control ya hizo 40 B61 na hata kama wana control hakuna uhakika kama wataweza kuzitumia. Elewa kwamba si zao.
 
Hawana lolote Uturuki kwanza nanyi waislamu mmezidi kila sehemu ni eneo lenu takatifu mnapenda uchokozi usio na maana Madina na Maka ndo takatifu kwenu hapa palipo na msikiti wa Al Qasa lilukuwa ni hekalu la wayahudi lilijengwa na mfalme suleimani wakati wa Ottoman Empire ulijengwa huo msikiti ni uchokozi dhidi ya uchokozi can we imagine wayahudi wakijenga hekalu pale Maka wakisema ni sehemu yao takatifu? Ukweli pamoja na wingi wa waislamu hawafui dafu kwa wayahudi wateule wa Mungu akili nyingi na karibia kila ugunduzi wamehusika. Waislamu ndo wajaribu watakiona cha mtema kuni toka nione superioty ya Israel kwa mujibu wa biblia sina doubt tena na biblia hiyo ya koran kuwa mayahudi watapigwa na kulia kama nguruwe naona ni ndoto za arinacha maana bado wayahudi wanapeta na watazidi kupeta

.............wana Akili nyingi !?..........hicho cha mtema kuni mbona hawakumuonyesha Hitler ?! Appalachian
 
Last edited by a moderator:
Hawana lolote Uturuki kwanza nanyi waislamu mmezidi kila sehemu ni eneo lenu takatifu mnapenda uchokozi usio na maana Madina na Maka ndo takatifu kwenu hapa palipo na msikiti wa Al Qasa lilukuwa ni hekalu la wayahudi lilijengwa na mfalme suleimani wakati wa Ottoman Empire ulijengwa huo msikiti ni uchokozi dhidi ya uchokozi can we imagine wayahudi wakijenga hekalu pale Maka wakisema ni sehemu yao takatifu? Ukweli pamoja na wingi wa waislamu hawafui dafu kwa wayahudi wateule wa Mungu akili nyingi na karibia kila ugunduzi wamehusika. Waislamu ndo wajaribu watakiona cha mtema kuni toka nione superioty ya Israel kwa mujibu wa biblia sina doubt tena na biblia hiyo ya koran kuwa mayahudi watapigwa na kulia kama nguruwe naona ni ndoto za arinacha maana bado wayahudi wanapeta na watazidi kupeta
calm down,sasa kama israel hawezi hata kuiteka gaza yenyu ukubwa kama eneo la mnazi mmoja,itaweza kweli kupambana na Turkey,nchi ya nane duniani kwa nguvu za kijeshi?.
hujaweka nuclear pakstan,wazee wa faranga saudi arabi ,algeria,morocco,tajikstan,uzbekstan,afaghnstan,etc.
ila tukiacha ushabiki,jerusalem ndo hasa panaweza kuleta vita kuu.
mataifa ya kikristo yataungana na israel kutwangana na yale ya kiislamu one day.
 
Wakati mwingine sijui unajitoa ufahamu? Unaposema hawawezi kuiteka Gaza unakua unafikiria nini?

Ni taifa gani linaweza Kua Kiongozi la muungano wa mataifa ya kiislamu kupambana na mataifa ya Kikristo?
 
Elungata how old are you?
nikusaidie tu hakuna taifa la Kikristo hat moja.
Huwa mnajidanganya sana na sijajua kwa nini.
 
calm down,sasa kama israel hawezi hata kuiteka gaza yenyu ukubwa kama eneo la mnazi mmoja,itaweza kweli kupambana na Turkey,nchi ya nane duniani kwa nguvu za kijeshi?.
hujaweka nuclear pakstan,wazee wa faranga saudi arabi ,algeria,morocco,tajikstan,uzbekstan,afaghnstan,etc.
ila tukiacha ushabiki,jerusalem ndo hasa panaweza kuleta vita kuu.
mataifa ya kikristo yataungana na israel kutwangana na yale ya kiislamu one day.

Don't fool yourself kuwa Israel haina nuke utakuwa umepotea maboya kuhusu Gaza wanapiga kishikaji wakiamua inapotea kwenye ramani ya dunia Egypt, Syria, Jordan zilivamia Israel kwa pamoja ziliishia kugongwa kama watoto Turkey hana lolote mbele ya Israel pamoja na kuwa ni ya nane Israel nguvu zake ni siri kubwa ndo maana walizamisha floatillas za Turkey hawajafanya lolote angekuwa ni Syria angevamiwa kwanza Egypt inaweza izidi Uturuki ambayo ina makeke mengi. Na ilikimbilia NATO kujilinda dhidi ya Russia maana amekuwa akiitandika kama mtoto hao wengine uliotaja Tajikstan, Azerbaijan, Saud Arabia hazina lolote Pakstan mwenyewe kiboko yake India kamtandika.mara kibao.ikwepo.kuitenga Bangladesh ije iwe kupambana na Israel.kimahesabu waislamu hawana nguvu za kijeshi wapo wapo tu nguvu zote ni mataifa ya kikristo Marekani, Urusi na mataifa ya mgharibi pia wabudha huko China na wahindu India waislamu wapo mbali kwenye ranking wangekuwa juu dunia nzima ilishasilimishwa kwa nguvu haya ni maneno ya Mwanamutapa namnukuu jambo ambalo yuko sahihi kabisa
 
................Mwezi mzima hawakusogea kwa Wanamgambo wa Hizbullaah ! Na vita ilipoisha wakamfukuza Mkuu wa Majeshi !:wave: Appalachian ukweli na ushabiki ni vitu viwili tofauti !
 
.........you are fooling your self by failing to understand simple logic. Waturuki hawajawahi kuwasaidia hata siku moja Wapalestina. Na hawana ugomvi na Israel. Ila (Israel) wamepewa 'onyo'.................wakicheza na Masjid Al Aq'sa au Quds watarajie Vita !
Na Waturuki hawatasimama peke yao katika hilo !
Watu wengine (wasio Waislaam) wana maslahi gani na Msikiti huo !? Appalachian, Ntuzu
 
................Mwezi mzima hawakusogea kwa Wanamgambo wa Hizbullaah ! Na vita ilipoisha wakamfukuza Mkuu wa Majeshi !:wave: Appalachian ukweli na ushabiki ni vitu viwili tofauti !

Israel ni powerful kuliko taifa lolote pale mashariki ya kati hawajaamua kuexercise nguvu zao rasmi na kila wakipiga Marekani, Saud Rabia, Cuwait, Misri na nchi za ulaya huwaambia waende polepole wasije leta mtafaruku wa dini duniani kumbuka Saud Arabia, Cuwait na Misri hawapendi Hazebollah na Hamas maana ni Islamists wao wanapenda Fatah inayocontrol PLO huwaambia Israel watandikeni but spare them tuu Israel ina nguvu kuliko Hazebollah na Iran kwa pamoja wapigane bega kwa bega watakung'utwa kama fisi maji
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom