Jerusalem belongs to Israel together with everything in the Holy City. I think it is a mutual time for Arabs who are Palestine to go back where they came from.
Mkuu,sijui sababu za wao kudai Jerusalem ni yao wanazitoa wapi wakati wanajua ka bisa kuwa Jerusalem ni ya Wayahudi tangu hata Dini yao haijakuwepo
Hawa watu ni wazima kweli?
Litakua tatizo la mod,mimi sikuweka picha bana,hata ivo hiyo siyo point.Hiyo picha na habari haviendani... Picha ni ya Raisi na aliyezungumza hayo maneno ni Waziri Mkuu
Ntuzu njoo huku, jamaa anadai eti hadi moderator aje kuokoa...
Ndio maana huwa wanatandikwa kila kukichawapalestina n wahuni wa jordan na egypt
Hiyo picha na habari haviendani... Picha ni ya Raisi na aliyezungumza hayo maneno ni Waziri Mkuu
Chuki zipi zangu Mada inawahusu Waturuki na ubabe wanaotaka kuja kuufanya wakati hawana uwezo huo... au unataka niwasapoti hayo maturuki? nadhani hujui chuki za Waislam kwa wasiokuwa waislam...
tatizo mnasahau kuwa Israel kwenye hiyo list ipo juu ya US lakini hamlijui hilo mmekomalia stats ambazo hazina uhalisia wa mambo. Acha ushabiki
tatizo lake ni ushabiki ,turkey ina nguvu za kijeshi na za kiuchumi kuzidi israel.
Hii ndo list ya top ten kwa nguvu za kijeshi duniani.
acheni ushabiki mbuzi.
The GFP Top 10:
1. United States
2. Russia
3. China
4. India
5. United Kingdom
6. France
7. Germany
8. Turkey
9. South Korea
10. Japan
Turkey hawana uwezo kupigana na Israel kwasababu kama wangekuwa na uwezo huo wangeshapigana muda mrefu kutetea waislam wenzao. Kupigana na Israel ni kupigana na Israel, Marekani and its allies.
Sasa alies wa Turkey wako wapi? si waarabu wachovu tu hao? halafu, suala la Jerusalem ambayo ipo Israel linaihusu nini Turkey? Kwanini Israel haijaingilia mambo ya Turkey?
Kwa Uturuki hiyo ni ndoto ya mchana ambayo haitakuja kutokea na hii ndio sababu hawakubaliki European union ata kuwa ndani ya ulaya tu na wanaishi bila kujulikana wako bara gani, hawapo ulaya na hawapo arab/asia.
Jiji la Jerusalem litalindwa na Mungu mwenyewe na wala si Marekani wala Uturuki, kama kuna mwanadamu yeyote anaamini anaweza kufanya chochote dhidi ya mji mtakatifu wa Mungu huyo atageuka mavumbi al magedon na gogu na magogu vitakuja kujulikana muda si mrefu.
Bado hujaacha tabia yako ya kujibu swali kwa mashairi ya kike?..........wewe kuna kitu unajua !.................kuna 'Yeyote' unayemshukuru !??
Jerusalem belongs to Israel together with everything in the Holy City. I think it is a mutual time for Arabs who are Palestine to go back where they came from.