Tupunguze Siri Wakuu

I got you Sir .
 
Hatari kuna visa vingi sana vinafanana na story hii
 
Naunga mkono hoja japo mambo ya hela ni magumu saa katika ngazi ya familia
Na hakuna kanuni moja sahihi ya masuala ya fedha ya kuifuata ili kuishi na mke/mume wako kwani inategemeana na mtu uliyebahatika kuwa naye
Mfano wa tabia za wenza;
1. Wengine hawawezi kabisa kuweka akiba
2. Wengine wanawazia tu kusaidia kwao tu...
3. wengine ni outgoing hawataki fashion iwapite
4. Wachache wapo vizuri kila idara na wana maono ya kuijenga familia Imara
5. Mwenzako akijua kipato chako chote mwishowe life huwa boring kwa kuwa hakuna surprise, yaani unamuomba mwenzako mtoe, 50,000 ili umsurprise kwenda out?
6. Nafikiri mtu anaishi na mwenza wake kwa jinsi alivyo; wala mtu asifundishe watu kuwa yeye ndie anajua kuishi na mwenza vizuri kuliko wengine kwani hajui wengine wana wenza wa namna gani
 
Wakati mwingine mke wako akiona una pesa anaweza kukuweka sumu akuue, je ukigundua njama kama hizo hutafanya usiri katika masuala ya pesa?
Set mipango yako vizuri then find a good lawyer. Ili hata kama ikitokea namna gani vipi mali zako zinufaishe unaowataka wewe.
 
Kuna kipindi nilikuwa na pesa bank nyingi tu, nikaona ni bora nimshirikishe mwenzangu ili tuone tunafanyaje. Ila kabla sijafikia hatua ya kumshirikisha ikatokea hali ya kutokuelewana na mwenzangu ktk hali tu za kimaisha. Nikasema hebu subiri kwanza nisimshirikishe. Tofauti zetu zilipozidi oooh nikaona cha kufia nini, nikajipange tu na maisha yangu, ile pesa ilinisaidia sana hadi leo nimesimama vzr kwa msingi wa ile pesa

Wkt mwingine usiri ni mzuri kwa mustakabari wa maisha yako ya baadae maana binadamu unaoishi nao wanabadirika muda wowote ule. Usipumbazwe na furaha ya leo ukasahau huzuni ya kesho. Ikitokea umekufa na siri zako basi tena, maana maisha yako ndiyo yameishia hapo...
 
Hili ni tatizo worldwide ndio maana mzee Robert Kiyosaki anakwambia Bank ni utapeli wanakushawishi uweke vitu vyako sirini alafu suddenly ukipotea wananufaika wao.
 
Hakika.
 
Kuna sehem huandikwa mrithi mfano UBA
 
Hakika 50/50 lolote linaweza kutokea.
 
Naona kuwa kosa alilofanya ni kukuambia hiyo SIRI maana hata hukumchelewesa tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…