Tupo Wenyewe Ulimwenguni?

Tupo Wenyewe Ulimwenguni?

Yani haujawa straight..
Umeandika bila utulivu
Umesema uwenda Kuna eliens sindiyo ?
Hakuna ushahidi thabiti unaothibitisha kwamba aliens wapo, hivyo hatupaswi kuchukulia hilo kama ukweli uliothibitishwa Kuna watu wanaodhani kwamba kile kinachoitwa aliens kinaweza kuwa kinaelezewa kupitia dhana za kiroho kama demons au entities nyingine zisizojulikana lakini hiyo bado ni theory Na kama tunadai kwamba akili au awareness ya aliens iko mbali sana na uwezo wa kawaida wa mwanadamu, basi swali linabaki tunawezaje kusema kwa uhakika kwamba tunaweza kuwaelewa, kuwasiliana nao au kushirikiana nao wakati tunadai hata sehemu ya uwezo wao wa kufikiri bado hatujaifikia? Hapa nadhani umenielewa.
 
Umesha wahi kufikiria kuhusu pyramids na technology iliyo tumia kuzi jenga?

Hakuna binadamu before ambaye kwa sasa Angekuwa more evolved kujenga vitu kama hivyo..

So kuna possibility pyramids zimejengwa na viumbe wa tofauti kabisa na binadamu
 
Exactly ndomana nkasema eliens hawapo , sema tu ni Jina linalotumika kurepresent entities nyingine kama demons na viumbe wengine wasio wakawaida.
 
Katika kupiga hesabu zangu na kuziangalia nyota, kuwaza na kuwazua nimefikia hitimisho kuna uwezekano mkubwa tupo wenyewe huku ulimwenguni.

Dalili zote zinanionyesha uhai uliopo duniani, ni wakipekee na unaweza usipatikane popote pale ulimwenguni.

Kuna sababu nyingi zinazofanya niamini hivo, ikiwemo sayari nyingi kuorbit rwed dwarfs, cyano bacteria kuwa chimbuko la hapa kwetu na ukiangalia namna kila kitu kimekuwa tuned kwa mpangilio kuruhusu uhai hapa duniani.

Unadhani tupo wenyewe au huenda wapo wenzetu ambao hatuna tekinolojia ya kuwatambua kama wapo.
Gallaxy - Milky Way.
 
Back
Top Bottom