Tupo Oslo, Norway Hiki alichovaa huyu jamaa anayempa mkono Madam President ni kitu gani?

hyo

Hyo ni headset za maskioni znazotumiwa na usalama sema tu aliyevaa si mwana usalama au mzoefu wa kaxi hizo ndo maana unaona imezid hvyo

Umejuaje kwamba siyo? Dude linalo itwa intelligence ni dubwana kubwa sana….hata fild officers wengi wana mipaka ya kulielewa tena akiwa kilaza ataishia kuwa afisa usalama asiye na maajabu ….usiwe mwepesi wa kutoa majibu ya kudhania intelligence haidhaniwi mzee…inahitaji taarifa chakativu
 
Hahahahaha..nadhani kajibu kwa uelewq wake

Jamii forum zamani ilikuwa na watu wenye akili sana!

Mtu ameuliza kifaa,mtoa jibu anamwelezea afisa usalama.

Nb. Hakuna kifaa kinachotengenezwa duniani kwa ajili ya maafisa usalama bali vifaa vinatengenezwa kwa ajili ya usalama…hivo magaidi,majambazi, wanajeshi hata wana usalama wanavitumia kwa ajili ya kurahisisha kazi zao ziwe salama.

Mfano mtu anakwambia zile bunduki za usalama wa taifa badala ya zile bunduki walizonazo usalama…vifaa vingi vya kijeshi sisi africa tunanunua nje, hivo hata hamasi wanavifaa bora vya usalama pengine kuliko sisi.
 
Siyo kazi ya mbunge kuleta huduma za jamii. Ni kazi ya serikali ambayo inakusanya Kodi zetu na kusimamia uuzaji wa rasilimali kama madini etc. Mbunge ni kiranja wa kutusemea tu... Mpaka wananchi wajue wajibu wa mihimili yote tutakuwa tunawalaumu wasiohusika
Sasa hayo malalamiko si umpelekee mbunge wako yeye ndie anajua anakopatikana waziri wa wizara ya maji, inahusiana vipi na ziara ya raisi wetu mpendwa?
 
Hapa kuna mtu alipigwa jicho na madam president unaweza kuzoom kupata mrejesho 😃!.

View attachment 2904097
Mgerasi Maghayo ndio aliyekatwa jicho hapo,kumbukeni huyu Mwamba ana nongwa sana since Jesus Christ anafanya ziara kule Kana ya Galilaya,
Maana ile siku Master anageuza maji kua mvinyo alitaka watu wanywe bure ila yeye na Wagalatia wenye hila wakafanya mpango wa kuiba mabarasi mawili na kwenda kuuza,
Hapo madame alimpa tahadhari asije mwaibisha ugenini!
Au nasema uongo adriz ?
😁😁
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom