Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,330
- 176,111
Half american hatakiwi kukaribishwa, anakula sana.Sana leo ujamuita nusu mmarekani leo

Baada ya kutukaribisha nini kilifuata?Hello
Leo nilikuwa na hamu ya izi mboga maini siyapendi sana ila leo nilikuwa na hamu nayo
Nikachukua maini nikayachemsha baada ya kuya katakata na kutoa lile gamba la maini baada ya hapo nikaanda nyanya karoti na hoho
Baada ya maini kuiva nikaweka mafuta baada ya kuiva nikaweka vitunguu na nikachanganya baada ya muda nikaweka maini nika kaanga pamoja na vitunguu kisha nikachukua nyanya iliyo sagwa vizuri nikaweka kisha nikafunika na kuweka pilipili baada ya hapo nika weka na karot pamoja na hoho ziive
Kama unavyoona
View attachment 3349031
Baada ya hapo nikawa naosha matembele niliyo yachambua vzr kisha nikayaweka yachuje maji
View attachment 3349032
Baada ya hapo nikaanza kupika sasa nikaweka mafuta pamoja na vitunguu
View attachment 3349033
Kisha nikaweka nyanya na kufunika nyanya za matembele sipendi kubrendi nakataka kama ivyo
Tu
View attachment 3349036
Baada ya nyanya kuiva nikaweka tembele sasa
View attachment 3349037
Nikafunika kwa muda kisha nikachanganya na baada ya kuiva nikasonga ugali safi maana murumbee ilianza kuuma sana
View attachment 3349038Karibuni wotee
Mwanaume ni lazima ule sanaHalf american hatakiwi kukaribishwa, anakula sana.
Ahahah anapenda makandeHalf american hatakiwi kukaribishwa, anakula sana.
Nisamehe ni leo tuWanaume kusafisha jiko mnajua wavivu nyie kula tu usafii aaaah
KulalaBaada ya kutukaribisha nini kilifuata?
Sio kwa ulaji wako uho mkuu punguza kitambi ikooMwanaume ni lazima ule sana
Tuache kwanzavijana naona mko serious kwelikweli
Up uparoko umekuja ghaflaAsantw paroko karibu
Maishani hapaUyapend
sawaTuache kwanza
Nipo kakaUp uparoko umekuja ghafla
Ili?Mwanaume ni lazima ule sana
Ahahha sawa naachaHuku Ndiyo Kwako Pika, Pakua
Achana Na Siasa Za AI
Ili kazi ifanyike vizuri, kuna siku nilikula ugali nyama choma mkubwa na matokeo yake niliyaona.Ili?
Saf saanaHello