Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,295
- 60,915
Hongera.. Vipi chapati?Mda tangu sekondari tulikuwa tunaishi wawili tu
Hongera.. Vipi chapati?Mda tangu sekondari tulikuwa tunaishi wawili tu
Najua kupika ila napika kukiwa na washikaji wamekuja so morng napika chapati au half kekiHongera.. Vipi chapati?
Nakumbuka likizo ya Form4 nlikua nafundishwa kukanda na kusukuma chapati kwa vibao ( kichapo ) hadi nikaweza nikawa nazipika zinakua laini vizuri tu,. Sikuizi sijui imekuwaje kila nikijaribu lazima zitoke kaukauNajua kupika ila napika kukiwa na washikaji wamekuja so morng napika chapati au half keki
Uliacha kupika mda mrefu so now lazima upike mara kwa mara utarudi kwenye uboraNakumbuka likizo ya Form4 nlikua nafundishwa kukanda na kusukuma chapati kwa vibao ( kichapo ) hadi nikaweza nikawa nazipika zinakua laini vizuri tu,. Sikuizi sijui imekuwaje kila nikijaribu lazima zitoke kaukau
yeah nitajitahidiUliacha kupika mda mrefu so now lazima upike mara kwa mara utarudi kwenye ubora
Huyu ni mwamba kabisa anapika vyakula vizuri kama mimi tu ,sema kitu kamisi mwamba ni ule ubabe wa kiume kwenye majibu
bora ungezisaga basiSikuwa na nyanya za kitosha
Mapishi acha nikuamini wewe mamii😊😊Next timee usichemsshe yaatoe tu ngozi yapike
Huyu anajua bhana balaa seema upishi wa maini unatofautiana kwa mm ya kuchemsha nahis sipat ile taste nayotakaga ila mwingine ni sawaMapishi acha nikuamini wewe mamii😊😊
Siwezagi ujue maini yana sumu sana so kupika style hiyo ngumu siwezNext timee usichemsshe yaatoe tu ngozi yapike
Next time nitafanya ivyo af now umepoteabora ungezisaga basi
Yana sumu jitahidi sana uwe unachemsha kwanzaHuyu anajua bhana balaa seema upishi wa maini unatofautiana kwa mm ya kuchemsha nahis sipat ile taste nayotakaga ila mwingine ni sawa
Bonge la Msosi.safi kabisa hapa nimepata kitu.kumbe maini humenywa lile ganda lililo kama karatasi hivHello
Leo nilikuwa na hamu ya izi mboga maini siyapendi sana ila leo nilikuwa na hamu nayo
Nikachukua maini nikayachemsha baada ya kuya katakata na kutoa lile gamba la maini baada ya hapo nikaanda nyanya karoti na hoho
Baada ya maini kuiva nikaweka mafuta baada ya kuiva nikaweka vitunguu na nikachanganya baada ya muda nikaweka maini nika kaanga pamoja na vitunguu kisha nikachukua nyanya iliyo sagwa vizuri nikaweka kisha nikafunika na kuweka pilipili baada ya hapo nika weka na karot pamoja na hoho ziive
Kama unavyoona
View attachment 3349031
Baada ya hapo nikawa naosha matembele niliyo yachambua vzr kisha nikayaweka yachuje maji
View attachment 3349032
Baada ya hapo nikaanza kupika sasa nikaweka mafuta pamoja na vitunguu
View attachment 3349033
Kisha nikaweka nyanya na kufunika nyanya za matembele sipendi kubrendi nakataka kama ivyo
Tu
View attachment 3349036
Baada ya nyanya kuiva nikaweka tembele sasa
View attachment 3349037
Nikafunika kwa muda kisha nikachanganya na baada ya kuiva nikasonga ugali safi maana murumbee ilianza kuuma sana
View attachment 3349038Karibuni wotee
Kwahy unataka kusema hii ushalisahau kabisaKuna vyakula aina nyingi kwelikweli ila akili yangu inagota kwenye vichache kweli aisee.
Nikiingia mitandaoni ndio napata idea na kukumbuka home bi mdashi alivyokua anajua kupika vimbongmboga.
Ndio unalitoa na linatoka vzr tuBonge la Msosi.safi kabisa hapa nimepata kitu.kumbe maini humenywa lile ganda lililo kama karatasi hiv
Daah acha tu mkuu, tembele nilishalisahau mkuu.Kwahy unataka kusema hii ushalisahau kabisa
Tuoe sasaDaah acha tu mkuu, tembele nilishalisahau mkuu.
Ubachela huu nao
Nilizani ya mdudu AstaghafilahNgo’mbe