Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,295
- 60,915
Hapo sawa,. Sema unajua sana kupika aiseeIpo my dear
Hapo sawa,. Sema unajua sana kupika aiseeIpo my dear
vijana naona mko serious kwelikweliVijana tunaliamsha diko tu 😂
Anajua bana, sio wewe hata chai unapika haiivi.....Hajui kitu huyu mbwiga tu
Nimemchokoza tu bro, hawa vijana wa siku hizi unaweza sema hivi tu na wakalia kabisaAnajua bana, sio wewe hata chai unapika haiivi.....
Chinese boy acha hizo , ujue huyu ni kidume kabisa🤔Atakayekuoa atainjoi sana unajipikilisha sana
Anisamehe sana kusema kweli mimi sikuzote najua ni mdadaChinese boy acha hizo , ujue huyu ni kidume kabisa🤔
Huyu ni mwamba kabisa anapika vyakula vizuri kama mimi tu ,sema kitu kamisi mwamba ni ule ubabe wa kiume kwenye majibuAnisamehe sana kusema kweli mimi sikuzote najua ni mdada
Ladha ya maini siipendi aisee.Hello
Leo nilikuwa na hamu ya izi mboga maini siyapendi sana ila leo nilikuwa na hamu nayo
Nikachukua maini nikayachemsha baada ya kuya katakata na kutoa lile gamba la maini baada ya hapo nikaanda nyanya karoti na hoho
Baada ya maini kuiva nikaweka mafuta baada ya kuiva nikaweka vitunguu na nikachanganya baada ya muda nikaweka maini nika kaanga pamoja na vitunguu kisha nikachukua nyanya iliyo sagwa vizuri nikaweka kisha nikafunika na kuweka pilipili baada ya hapo nika weka na karot pamoja na hoho ziive
Kama unavyoona
View attachment 3349031
Baada ya hapo nikawa naosha matembele niliyo yachambua vzr kisha nikayaweka yachuje maji
View attachment 3349032
Baada ya hapo nikaanza kupika sasa nikaweka mafuta pamoja na vitunguu
View attachment 3349033
Kisha nikaweka nyanya na kufunika nyanya za matembele sipendi kubrendi nakataka kama ivyo
Tu
View attachment 3349036
Baada ya nyanya kuiva nikaweka tembele sasa
View attachment 3349037
Nikafunika kwa muda kisha nikachanganya na baada ya kuiva nikasonga ugali safi maana murumbee ilianza kuuma sana
View attachment 3349038Karibuni wotee
Sanaaa.SHILOLE ni mjinga tu kwako kumbe 😂😂
Kwani ni mwanaume???Huoi ng'o
Asante napendaHapo sawa,. Sema unajua sana kupika aisee
Au sioHuyu ni mwamba kabisa anapika vyakula vizuri kama mimi tu ,sema kitu kamisi mwamba ni ule ubabe wa kiume kwenye majibu
Sipendi kuyatumia mara kwa maraLadha ya maini siipendi aisee.
Ngo’mbeMaini ya nani tuanzie hapo?
Nakubali mapishi brazaAu sio
NdioKwani ni mwanaume???
Karibu mchagaNakubali mapishi braza