Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,789
- Thread starter
- #81
Hayo siwez tumiaNilizani ya mdudu Astaghafilah
Hayo siwez tumiaNilizani ya mdudu Astaghafilah
Hadharan wote tunamkanaHayo siwez tumia
sawa mkuu.Maana hilo ganda linakataga stimu sana kwenye ladha za maini.Utafikiri unakula maini yalifunikwa kwenye lailoni🤣Ndio unalitoa na linatoka vzr tu
Mimi nakula ila sio mainiHadharan wote tunamkana
😂😂😂 unalitoa sasa take itsawa mkuu.Maana hilo ganda linakataga stimu sana kwenye ladha za maini.Utafikiri unakula maini yalifunikwa kwenye lailoni🤣
Aah Mwach siku jaribu ni matam kamo ya mbuzi mkuuMimi nakula ila sio maini
Mh sipendi maini ila nakula kwa hamu sanaAah Mwach siku jaribu ni matam kamo ya mbuzi mkuu
Ya Moo ndo jau mzee mm naona kichefuchefu😅Mh sipendi maini ila nakula kwa hamu sana
Ujanishawishi bado 😂Ya Moo ndo jau mzee mm naona kichefuchefu😅
KaribuYummy 😋, tembele na ugali
Ina roho ngumu kula maini ya MooUjanishawishi bado 😂
Endelea na story ujamaliza 😂😂siku ya kwanza napika maini
dah
sitasahau coz niliyachochea moto utadhani napika makande
hahaha
kilichotoka baada ya hapo sasa....
mbona Jiwe ni afadhari!
ImeishaaMwachiluwi siku ukipika mdudu rosti ni tag
Sana leo ujamuita nusu mmarekani leoMwachi kwenye moja na mbili. Kinaonekana kitamuu.
Sure , nyie wote mnajua , najifunza kwenuHuyu anajua bhana balaa seema upishi wa maini unatofautiana kwa mm ya kuchemsha nahis sipat ile taste nayotakaga ila mwingine ni sawa