mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,269
- 71,922
nyanya hazijarojeka vizuri😅View attachment 3349038Karibuni wotee
nyanya hazijarojeka vizuri😅View attachment 3349038Karibuni wotee
Kweli na mimi nimeona jiko chafu na nilivyo na kinyaa hapo ningesema nimeshiba… sipendi mtu mchafu 😞Usafishe na jiko, utanisamehe napenda usafi 😥
Yaani sijaelewa kwa kweli Odo, unqanzaje mtu kupika katika mazingira hayo. Hata mimi nisingekula.Kweli na mimi nimeona jiko chafu na nilivyo na kinyaa hapo ningesema nimeshiba… sipendi mtu mchafu 😞
Hivi ilianzaje hadi ukaanza kupenda kupika??,.Asante napenda
Hahahah umejuaje aseeHuo muda ndege JOHN atoe wapi?? Hapo ashaangiza bapa na nyama choma
Na ubaya wife kaenda kujisikilia home basi ndo mambo ya kupika yamesimama kwa mudaHuo muda ndege JOHN atoe wapi?? Hapo ashaangiza bapa na nyama choma
Sikuwa na nyanya za kitoshanyanya hazijarojeka vizuri😅
hahha lee kwani wewe haupikagiIpo siku na mimi nitapika na kuweka uzi humu,.
Kwenye matembele ungeongeza na ndimu kidogo yanakuwaga pambe sana na pilipili
Uroho tu😄😅😅😅🤣Hayo maini yangeishia jikoni yote 😹😹
Mpaka ukuta sio 😂😂Usafishe na jiko, utanisamehe napenda usafi 😥
UyapendTangu mwaka uanze ndo nayaona leo maini😂
Kwa kula hujambo 😂Hayo maini yangeishia jikoni yote 😹😹
Mh jiko bado lipo kwenye matengenezo ikipatikana pesa naweka maru maru pia mtungi wa gesi ulishawai lipukaKweli na mimi nimeona jiko chafu na nilivyo na kinyaa hapo ningesema nimeshiba… sipendi mtu mchafu 😞
Mda tangu sekondari tulikuwa tunaishi wawili tuHivi ilianzaje hadi ukaanza kupenda kupika??,.
ulianza lini i mean
Ni mjamzito??Na ubaya wife kaenda kujisikilia home basi ndo mambo ya kupika yamesimama kwa muda
Ratiba zangu ngumu mnoo,. Na mama pia ameshajizoesha chakula cha nyumbani mkono wake pekee ndio una husika,. Nadra sana mama angu kumwachia mtu jikohahha lee kwani wewe haupikagi