Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

Hapa stori tu kula kwenu
kula tumekula tatizo pa kulala
usichokoze nyuki kwa kutegemea mbio.
kusinzia asinzia mzee akisinzia kijana teja.
jino moja mswaki wa nini (alijibiwa).
meno mengi yote yameoza.
 
Mechi ya Viziwi, haichezeshwi kwa filimbi!!
Lori la Kokoto-Kunduchi
 
"Kanga ya mzungu haiandikwi umbea".
Mkokoteni - songea mjini
 
"Ni mrefu kwa kwenda mbele, sio kwa kwenda juu".
Daladala za Bombambili - songea.
 
Back
Top Bottom