Nguvuyabwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2019
- 203
- 503
Kwenye Mwongozo wao wa kutuma maombi wameandikaa ukiweka zile index n# matokeoo yakija pale automatically we una submit sehem ya ku attach vyetii haiji.Wakuu naomba kuuliza/msaada. Hivi kwenye qualification unapokua una add details, ukichagua auto search kunakua hakuna haja ya ku attach vyeti?. Maana nilikua namfanyia mtu application nilivyofika sehemu ya kuadd qualification nikachagua pale kwenye auto search baada ya kuweka reg No, zikaja details zote ila sehemu ya kuweka vyeti ndo haipo.
Hapo maana yake majina yaliyopo kwenye vyeti na kwenye nida vimetofautianaa.Nisaidien hapa jaman nmekwama
Kwa maofisa wa tra wanaangalia huku wanachekaApo bado posho….ya msosi kama 300000 na vinywaji 100000 ambayo hii unapewa kila baada ya miez mi3 yaan utakua unapewa lak3…..so kwa upande wa posho jumla kwa mwez ni laki4
Hivi mbona sioni sehemu ya kuweka vyeti mzee?Hapo maana yake majina yaliyopo kwenye vyeti na kwenye nida vimetofautianaa.
Mfumo wa Polisii ukiwekaa index n# matokeo yako yanakujaa pale then unasubmit...hamna sehem ya ku upload vyetiiHivi mbona sioni sehemu ya kuweka vyeti mzee?
OkayMfumo wa Polisii ukiwekaa index n# matokeo yako yanakujaa pale then unasubmit...hamna sehem ya ku upload vyetii
Kuwa mvumilivu unataka uingie kufanyejeWakuu nilifanya maombi, nahitaji kuingia kwenye account yangu naona inakataa na kuonesha muda umeshakwisha (Application closed)
Duh sawa mkuu 😂 😂Kuwa mvumilivu unataka uingie kufanyeje
wakuu amna group la WhAtsApp Tupeane infoo izi ajira za police kwa mwenye link atumeDuh sawa mkuu 😂 😂
Sifahamu labda tuulizie juu ya hilowakuu amna group la WhAtsApp Tupeane infoo izi ajira za police kwa mwenye link atume
weka pdf kama unaloMkeka ushamwagwa huko
Kuna semester ya nne hapo= mafunzo kwa vitendo nje ya kambi(field) mtaenda traffic, kuna wataenda ghasia kujifunza na n.k na rehearsalKozi ya polisi ni miezi 12 katika semester 3
Sem1 (miezi 3)- masomo ya nje huko wanasoma judo,singe,kwata na silaha
Sem2 (miezi 6)-darasani na hapo ni kitabu cha kufa mtu wanafanya assignment,test na mitihani ya mwisho kwa masomo kama 12+ hv
Sem 3 (miezi 3) hapo ni field na mbinu za medani sifa ni kufungua moyo tu
Mafunzo na kazini kwa polisi zingatia 👇
# Nidhamu,Haki,Weredi na Uadilifu
Msihasahu kumtanguliza mungu kwa kila jambo🙏
Katika kitu polisi inawashinda majeshi mengine ni InteligensiaHata kidato Cha nne ila wenye ufaulu mkubwa...! Kipindi jeshi linaanzishwa darasa la 7 walikuwa wengi hivyo la saba...walipewa mafunzo ya C.I.D
Hawa ni wapelelezi au investigation officer wengi wao Huwa awavai uniform kabisa...na Kuna wengine awaripoti vituoni kabisa😂😂😂
POLISI Ina intelligence kubwa sana...!