Tupeane update ya tuzo ya Forbes kwa Rais wetu

Tupeane update ya tuzo ya Forbes kwa Rais wetu

Ngushi

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Posts
9,064
Reaction score
18,367
Hayawi hayawi sasa yamekua.....

Baada ya kutupiana tuhuma nzito kuhusu tuzo hiyo adhimu kwa rais wetu, wengine wakipinga kuwa ni uongo huku wale waliokuwa wanasaport jambo hilo wakiwatuhumu CHADEMA na UKAWA kwa ujumla kukwamisha shughuli hiyo!

Sasa tarehe 17 Novemba imefika, tupeane taarifa za ugawaji wa tuzo hiyo.
Au kama kuna kituo kitaonyesha live tukio hilo adhimu sio vibaya tukifahamishana,
Au kama ametuma mwakilishi pia sio vibaya tukafahamu....

Cc: Lizaboni , Wakudadavuwa ,Mudawote
Naomba kuwasilisha
 
Hata mimi nasubiri kwa hamu sijui hiyo tuzo wanaitolea wapi na kama mshindi atakwenda. Jamani wahusika mliokuwa mnatujuza kuhusu rais wetu kuongoza mko wapi? Hebu amkeni mtupe matokeo na utaratibu mzima wa ushindi kwani tuko tayari kuandamana kumsindikiza hadi uwanja wa ndege na kisha kumpokea akirudi kwani hili ni tukio kubwa la kuiweka nchi yetu katika hadhi ya juu kidunia pamoja na rais wetu.
 
Ganda La Muwa La Jana Chungu Kaona Kivuno.

Tuzo Hazina Msaada Wowote Zaidi Maigizo
 
Hata mimi nasubiri kwa hamu sijui hiyo tuzo wanaitolea wapi na kama mshindi atakwenda. Jamani wahusika mliokuwa mnatujuza kuhusu rais wetu kuongoza mko wapi? Hebu amkeni mtupe matokeo na utaratibu mzima wa ushindi kwani tuko tayari kuandamana kumsindikiza hadi uwanja wa ndege na kisha kumpokea akirudi kwani hili ni tukio kubwa la kuiweka nchi yetu katika hadhi ya juu kidunia pamoja na rais wetu.
kweli mkuu selfie lazma zihusike, nina hamu kushuhudia hilo tukio rais wetu akiwashinda people's of rwanda
 
Nmeona kwa account ya mo..yule tajiri wa simba kawatakia kheri wote waliochaguliwa...so tunzo ipo
 
Ni hatua kubwa kwa yeye kufika pale
Ila ni kawaida ya wa2 kuponda na kucheka. Maana hawafikirii
 
Back
Top Bottom