Hahaahaaamkuu hata zile bashasha za mitandaoni hakuna anayepost! na nina uhakika Rais alishinda!
Hayawi hayawi sasa yamekua.....
Baada ya kutupiana tuhuma nzito kuhusu tuzo hiyo adhimu kwa rais wetu, wengine wakipinga kuwa ni uongo huku wale waliokuwa wanasaport jambo hilo wakiwatuhumu CHADEMA na UKAWA kwa ujumla kukwamisha shughuli hiyo!
Sasa tarehe 17 Novemba imefika, tupeane taarifa za ugawaji wa tuzo hiyo.
Au kama kuna kituo kitaonyesha live tukio hilo adhimu sio vibaya tukifahamishana,
Au kama ametuma mwakilishi pia sio vibaya tukafahamu....
Cc: Lizaboni , Wakudadavuwa ,Mudawote
Naomba kuwasilisha
Magu chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Ninachowapendea wenzetu huwa hawaibi kura kama CCM walivyofanya kwenye uchaguzi uliopita
Narudia tena NIMEFURAHI SANA RAIS MAGU KUANGUKIA PUA HIZO TUZO
cc Lizaboni

Asante! Hata hivyo zipo tuzo nyingi tu mbele arekebishe mambo machache hivi tu basi..tumeibiwa kura alikua anaongoza kwa 84%
WAMEMKTA,,,,,,,,chaaaaaaaaaaaaMagu chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Ninachowapendea wenzetu huwa hawaibi kura kama CCM walivyofanya kwenye uchaguzi uliopita
Narudia tena NIMEFURAHI SANA RAIS MAGU KUANGUKIA PUA HIZO TUZO
cc Lizaboni
Kuhusu ile tamaduni ya kisukuma au?Ningesema ki2 ila sina. M.7