Tupeane mbinu: Ni uwekezaji gani wa zao la kudumu ambalo nikilima linaweza kunipa kipato toshelezi?

Ushuhuda wangu
Mwaka 2015 nilikua kwenye ajira ya mateso kwani nilikua sina familia lakini kipato kilikua hakinitoshi
Kuna pesa niliipata nikaamua kununua pori la ekari 4
Aisee niliamua kufia shambani kwa kilimo Cha machungwa
Kwa kila kidogo nilichokua nakipata nilikipeleka Shamba
2019 niliamua kuacha kazi Rasmi nikawa busy na Shamba
Hapa usomi wangu niliuweka pembeni nikauvaa ukulima hasa
Marafiki na ndugu wengi walinikimbia kwa kuona nitakua mzigo kwangu
Nilipambana haswa

Mpaka naandika uzi huu kilimo cha machungwa kimenipa Heshima kwenye jamii
Sina muda mrefu na mimi nitaanza kutoa ushuhuda ya kwamba bora kujiajiri kuliko kuajiriwa hasa kwenye hizi kazi za Local Government
 
Kuna kahawa ya asili unaweza kulima hata mikoa ya pwani inatokana na mkunde pori, kahawa yake ni tamu, haina madhara kama ya kahawa ya Kawaida, ni dawa, inakuacha na nguvu mwilini kwa masaa mengi, miezi kadhaa tu unavuna, inastahimili sana ukame, haihitaji mbolea wakati wa kuilima
Mkuu unaweza fafanua kidogo kwenye hili? Mti wake unaitwaje au hata kwa picha. Asante
 
Ushuhuda wangu
Mwaka 2015 nilikua kwenye ajira ya mateso kwani nilikua sina familia lakini kipato kilikua hakinitoshi
Kuna pesa niliipata nikaamua kununua pori la ekari 4
Aisee niliamua kufia shambani kwa kilimo Cha machungwa
Kwa kila kidogo nilichokua nakipata nilikipeleka Shamba
2019 niliamua kuacha kazi Rasmi nikawa busy na Shamba
Hapa usomi wangu niliuweka pembeni nikauvaa ukulima hasa
Marafiki na ndugu wengi walinikimbia kwa kuona nitakua mzigo kwangu
Nilipambana haswa

Mpaka naandika uzi huu kilimo cha machungwa kimenipa Heshima kwenye jamii
Sina muda mrefu na mimi nitaanza kutoa ushuhuda ya kwamba bora kujiajiri kuliko kuajiriwa hasa kwenye hizi kazi za Local Government
hongera chief ,unalimia tanga eeh?
 
Matunda
- Pixie, haya ni yale machungwa unayaona super market.
Washing ton naveli- Aina pia ya machungwa seedless.
- Tangarine Seedless yale machenza unayaonaga supermarket kubwa kubwa tu.

  • Limao, seedless, Maembe fanya utafiti aina za maembe.
  • Ovacado jwa ajaili ya soko la ndani, achana na Ovacado kwa ajili ya soko la nje ni compilicated sana.

- grapes seedless Green and Red,

- Macadami nut, hii ni mbadala wa Korosho na ina zero cost za matunzo ukilinganisha na Korosho, Macadamia inaenda kureplace korosho,

Matunda yako aina nyingi sana sitataja yote ila sababu kubwa ni kwamba kwa sasa chi ina mchanganyiko wa wageni na wenyej na pua watu wenye vipato wanaongezeka yaani middle class hawa wanataka wale vitu quality. so wekeza kwenye mimea itakayo kupatia qualitu sana kuliko quantity.
 
Enzi hizo nilikuwa nafikiri ukishapata kazi serikalini umetoboa. Kumbe kuna walioko humo wanatamani kuchomoka?
Umenikumbusha Jambo wakat nmeajriwa serkalin kada fulan nkawa nawaonea wivu rafk zang ambao wao na wenzi wao wote watumish nikawa nakwambia cku mke wangu akipata ajira umaskin itakuwa bc Tena! Alvyokuja kupata ajira baada ya miaka miwl ilbd nirud kwa rafk zangu kutengua kaul.
 
Matunda
- Pixie, haya ni yale machungwa unayaona super market.
Washing ton naveli- Aina pia ya machungwa seedless.
- Tangarine Seedless yale machenza unayaonaga supermarket kubwa kubwa tu.

  • Limao, seedless, Maembe fanya utafiti aina za maembe.
  • Ovacado jwa ajaili ya soko la ndani, achana na Ovacado kwa ajili ya soko la nje ni compilicated sana.

- grapes seedless Green and Red,

- Macadami nut, hii ni mbadala wa Korosho na ina zero cost za matunzo ukilinganisha na Korosho, Macadamia inaenda kureplace korosho,

Matunda yako aina nyingi sana sitataja yote ila sababu kubwa ni kwamba kwa sasa chi ina mchanganyiko wa wageni na wenyej na pua watu wenye vipato wanaongezeka yaani middle class hawa wanataka wale vitu quality. so wekeza kwenye mimea itakayo kupatia qualitu sana kuliko quantity.
noted chief
 
unauliza soko wakati unaona watu wanakula maembe daily na ndizi?
Masoko ni changamoto, kuna sehemu nilienda huko nyanda za juu kusini ndizi shambani mkungu ni sh 4000, huo ni ule unaofika usawa wa tumbo kwa mwanaume mrefu, ndizi usawa wa magoti hazinunuliwi na wanunuzi wa jumla, inabidi upeleke sokoni Siku ya gulio!!! Uuze rejareja ndizi sita sh miambili!!!

Hayo maembe kuna sehemu wanauza ndoo Lita ishirini kwa sh 2000, hayo ni yale yasio na manyuzinyuzi, soko la matunda so mchezo
 
Back
Top Bottom