Tupe ushuhuda wa mapenzi yako hapa

Tupe ushuhuda wa mapenzi yako hapa

Mpenzi wangu Civil nilikupenda toka nipo form one, mpaka namaliza form six....nikafanikiwa kukupata nilipomaliza six kwa tabu sana ukanihangaisha nikiwa chuo ila kwa bahati nzuri hatukuachana....Mpenzi Civil, maisha yangu yamejaa transformation of stress, nachelewa kulala kwa sababu yako, kwenye site sometimes napata adi stress nikihofia design failure na material failure.....sometimes nakosa usingizi nikiwaza suitable construction method kwa ajili ya constructio Husika!
Jua siku zote nakupenda, nilipata, napata na naendelea kupata Heshima kwa sababu yako....May this Valentine be enjoyable for you!
 
There ar thousand reasons you can be loved...though love doesnt ask why.Mtu anaeza kukupenda kwa jinsi tuu unavyochangia mijadala humu JF iwe ni point ama pumba, mtu anaweza kukupenda jinsi unavyotembea...unavyoongea...unavyocheka...sura yako..umbile lako...ustaarabu wako..uvivu wako...uchapakaz wako..ubahili wako(hahahahaha....no povu)...yaani kwa kifupi kila mtu ana kitu chakeeee...though kuna vitu common vinavyovutia wengi...especial...umbile..pesa..ama sura kwa dunia ya sasa...Mimi navutiwa sanaaaa na msichanaaa au mwanamkeee...............(siri yangu kwa sasa).
 
huu ni mwezi wa mapenzi
tunaomba kila mtu atoe ushuhuda wa maisha yake ya mapenzi
je upo kwenye mapenzi na mtu?
kama ni mume/mke je ni kweli unampenda mwezako kimapenzi? na yeye je anakupenda au mpo tu kwa ajili ya watoto?

mimi nipo bilabila sina anaenipenda wapo wanaonitamani tu wanile papuchi wasepe ila sijawahi kuona mtu ananipenda sidhani . na mimi nimeacha kupenda penda .
Napenda kutoa ushuhuda.
Kweli wewe si chochote, mbwembwe nyingi ni huku JF lkn wajibu wako mfyuuuuu
 
There ar thousand reasons you can be loved...though love doesnt ask why.Mtu anaeza kukupenda kwa jinsi tuu unavyochangia mijadala humu JF iwe ni point ama pumba, mtu anaweza kukupenda jinsi unavyotembea...unavyoongea...unavyocheka...sura yako..umbile lako...ustaarabu wako..uvivu wako...uchapakaz wako..ubahili wako(hahahahaha....no povu)...yaani kwa kifupi kila mtu ana kitu chakeeee...though kuna vitu common vinavyovutia wengi...especial...umbile..pesa..ama sura kwa dunia ya sasa...Mimi navutiwa sanaaaa na msichanaaa au mwanamkeee...............(siri yangu kwa sasa).
Sema mkuu naweza kuwa na vigezo.
 
My best Valentine's for the last three years ilikuwa na mdada niliekutana nae humu JF, kwenye thread kama hii. Kiutani tu nilisema im single for that day na yeye akasema yuko single tutumie hio siku pamoja. It was amazing, siku hio nilienda kumchukua kwao, maeneo yale mnaita ya ki-sure, Dar hii eneo hilo lipo top 3! Nimeibuka na ki-corolla geti kufunguliwa kumejaa ndinga za hatari hizo balaa! Mtoto wa watu wala hana makuu, kaingia hao tukaenda dinner. Aisee ilikuwa kama tumefahamiana miaka zaidi ya 20 iliopita kwasababu kumbe tulikaa mitaa fulani pamoja enzi hizo.
Huyu dada alinielewa sana sema ndio hivyo im sorry to admit niliharibu,na dada was too smart alikuwa anaweza kusoma mazingira. Allin all popote ulipo K you are amazing.
Can I guess who that beautiful princess is? Mkuu mbona unaharibu kiasi hicho...Dah!
 
hahahah hii ni mara ya kwanza kwa mimi kuambiwa hivi huku jf ...o'course kama umekua brave enough to write it here in public umetisha ...sawa...lets see...I wish ungekua unamaanisha hahahahahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom