Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,029
- 52,507
- Thread starter
- #301
Vogue nigga?Wewe ni bebi wa nani? Rich Nigga au yule dreva wa bajaji?
Vogue nigga?Wewe ni bebi wa nani? Rich Nigga au yule dreva wa bajaji?
Hahahahahaa. Na ukakifunua eeh

Ndo wapi huko?
Pole ila have faithsidhan kama moyo wangu utakuja kupenda tena., kama itatokea sidhan kama kitakuja kufikia kiasi kile ulichompenda A....,
Alichonifanyia hadi nikimwona mtu anayefanana naye nashtuka, naogopa, nakosa amani. hata anayetumia tu jina kama lake namwogopa pia.
Sahv napendea macho na akili tuu..., nikiona rehema za allah basi nakusogeza karibu, ukizingua nakuacha hata kama tupo katikati ya gamenachomoa naondoka zangu nikatafute pesa.. kama Shehe Tito tuu
Lete jina lake tumpe mshana jr afanye mambo
Pole ila have faith
Be positive
Embu nione upaja ulokudatishaAlivaa mpasuo pale Triple 7.
Ngoja ntakutumia picha![]()
Ahahaaaaaaaaaa usiku mwemaAlivaa mpasuo pale Triple 7.
Ngoja ntakutumia picha![]()
Ahahaaaaaaaaaa usiku mwema
Pole bibie,hili nalo litapita tu kama hayo mengine yalivopitagaNingekuwa nakunywa leo ningekunywaaaa mpaka nilale bar
Ngoja nikagongee cha ukucha
Unaweza jikuta strong ila mapenzi yakakufanya kama mlenda
Mxiiiew
Pole bibie,hili nalo litapita tu kama hayo mengine yalivopitaga
DinaMimi nishapendwa sana na bado napendwa,, kuna mkaka ananipenda sana na juzi kati Hapa ulikuwa kuniona Anafanya kazi UN ni mzuri, Kila kitu anacho nadhan, Ana heshima sana Pamoja na kuwa na kazi kubwa, Nampenda japo mimi kuna mtu Nampenda zaidi yamekuwa Kwenye mgogoro mwaka nadhan sasa, huyu ndio nnaempenda sana Kuzidi Kila kitu japo huniamini amigo Kwa sasa lakin anafaa Kuwa mime kabisa
Wapo wengi tu wanaompenda sema hawezi kuwa nao wote
Kwako wewe anda kujipenda mwenyewe, jifunze kupenda wengine, acha ubinafsi, chagua mtu sahihi wa Kuwa nae Jitahidi umbadilishe asipobadilika tua kule, tafuta mwingine Tena utapata usikate tamaa
Love you too Nzagamba baba wawili tehI love you Muree aka mama wawili.
ahahahaha nimecheka sana, huachi best!huu ni mwezi wa mapenzi
tunaomba kila mtu atoe ushuhuda wa maisha yake ya mapenzi
je upo kwenye mapenzi na mtu?
kama ni mume/mke je ni kweli unampenda mwezako kimapenzi? na yeye je anakupenda au mpo tu kwa ajili ya watoto?
mimi nipo bilabila sina anaenipenda wapo wanaonitamani tu wanile papuchi wasepe ila sijawahi kuona mtu ananipenda sidhani . na mimi nimeacha kupenda penda .
Akiwa tayar nitawatangaziaHongera. Nafurahi nasi tumempata Shem.
Ni ngabu huyoKiranga