Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,029
- 52,507
- Thread starter
- #41
hongera sana shosti kambi popote endelea kusave nauli ukanywe biaShost Miss Natafuta mie nimekufa na kuoza kwenye penzi la mwendesha BODABODA yaani yuko vizuri sana, anajua mambo si kawaida najiona kama niko pepo fulani. Hata harufu ya koti lake chafu siisikii. Acheni jamani bodaboda wako njema. Nikipanda "usafiri" wake huwa namtekenya tekenya.