Wanaume hao sio wa hapa Bongo, labda huko Kwingineko.Kuna yule jamaa alihojiwaga studio moja sikumbuki radio gani akiwa amelewa chakari akasema “Kichwa cha mwanaume mmoja aliyelewa chakari ni sawa na vichwa vitano vya wanawake wasomi wenye masters” akachukiwa kweli ila ndiyo ukweli ule.
Wewe huyo hajakutana na waganga wasiochekesha! Uje uende igombe mwanza, ukerewe na shinyanga malampakaTz west,
Naona ushamuona mganga wa kijiji nilichoenda yupo vhini ya kiwango, watu wanamuamini lakini mkuu 🤣
Confidence ya kumtapeli mganga sio kawaida
ntalizingatia hilo mkuu,Wewe huyo hajakutana na waganga wasiochekesha! Uje uende igombe mwanza, ukerewe na shinyanga malampaka
Noted.ntalizingatia hilo mkuu,
key word = mgaganga asiyechekesha
Nakuwa nimepoa sanaVitu?? Kwanini uwe doro?
nimebookmarkNoted.
Usisahau😆
Ukimuangalia baba yako hawezi kuwa mmoja wapo wa hao wanaume?Wanaume hao sio wa hapa Bongo, labda huko Kwingineko.
Bro to Bro
Duhh unakuwa hutaki hekaheka?Nakuwa nimepoa sana
Mbona comment yangu inajieleza wazi kabisaa. Haihitaji hata examination in chief.Ukimuangalia baba yako hawezi kuwa mmoja wapo wa hao wanaume?
Ebu wewe fikiri umpe ushauri tuone uwezo wako kama mwanaume.Wanawake hawanaga uwezo wa kufikiri.
Nimeshajibu kule juuEbu wewe fikiri umpe ushauri tuone uwezo wako kama mwanaume.
Yeah Marry anajua kunituliza na kuniliwaza😁Duhh unakuwa hutaki hekaheka?
Naunga MKONO hoja 😁Bro to Bro
Ufunguo unaofungua kila kufuli hutunzwa Kwa wivu mkubwa mno mno!
Bali kufuli linalofunguliwa na kila ufunguo hutupwa mbali kabisa.
Mwanamke Malaya hasamehewi mwisho wa kunukuu.