Kila ulozi na formula yakeπJamaa aaliyepga chale kumuua mjuba, siku ukikuta analalamika katapeliwa na hajui cha kumfanya aliyemtapeli, je inamaana njia zile alizotumia mwanzo za mganga haazipigi kazi kwenye scenario ya utapeli,?
Sisi wengine imani ipo low sana aisee
We mzungu,Me sinaga noma kabisa, kwanza huwa sipendi bato, naenjoy life, sipendi purukushaniπ
Naam na kawaida ya haya mambo karibu kila mtu hua anasikia tu π€£Kila ulozi na formula yakeπ
Mimi hayo mambo nayasikia tu jamani, hayajawahi kunikuta! Huwa nasubiri niwaone hao wanga siwaoniπ
Wapo wahusika we si unakaa mjini! Toka kidogo nje huko ukashuhudie mamboπNaam na kawaida ya haya mambo karibu kila mtu hua anasikia tu π€£
Vitu, vinanifanya nakuwa doro mda mwingi sanaπWe mzungu,
kuna wenzako wanapenda ligi, afe kipa afe beki kudadeki atahakikisha unajuta kumtambua! Kama yule koroe aiseeππΎ
Kuna mtu ameachana na mumewe anatabia km za huyo mume hapo hivyo hivyo kasoro chale tuuu.Mi nakuambia mkuu hayo mambo ni imani...
Utakuta hata hizo chale ni mkwara tu, kwanza hii story hakuna wa kuithibitisha kama ni kweli...
Siku hizi hao waganga matapeli ni wataalamu sana wa kupiga pesa za watu... story kama hii ikiwekwa huko Facebook wanajua tu watu wengi wataulizia huyo mganga... na wengi wanapigwa pesa...
Umekosea kutaja jina siri hizi inatakiwa wawe nazo watu wachache,tafuta na hiki SCIENCE and HUMAN VALUES ukimaliza Soma another book Selfish GeneIn the Know
Debunking 35 Myths about Human Intelligence
Vitu?? Kwanini uwe doro?Vitu, vinanifanya nakuwa doro mda mwingi sanaπ
Miezi kadhaa hapa nikikua ndani ndani huko mkuu, story ni kama zilezile tu, mganga anaingizwa kingi na mteja wake kwenye kilimo na maisha yanaendelea tu kama kawaida π€£Wapo wahusika we si unakaa mjini! Toka kidogo nje huko ukashuhudie mamboπ
Kwamba mkewe akichepuka, mchepuko anafariki?Kuna mtu ameachana na mumewe anatabia km za huyo mume hapo hivyo hivyo kasoro chale tuuu.
Ulienda vijiji vipi nije nikupe location moja kabambeπMiezi kadhaa hapa nikikua ndani ndani huko mkuu, story ni kama zilezile tu, mganga anaingizwa kingi na mteja wake kwenye kilimo na maisha yanaendelea tu kama kawaida π€£
Nafuta mkuu wangu.Umekosea kutaja jina siri hizi inatakiwa wawe nazo watu wachache,tafuta na hiki SCIENCE and HUMAN VALUES ukimaliza Soma another book Selfish Gene
Tz west,Ulienda vijiji vipi nije nikupe location moja kabambeπ
πππ huyu mwanamke mwehu naye, huko kuroga anajua bwana tu?Sepa nikuroge ufe kama huyo mpuuzi mwenzako niliyempatisha ajali akafa ππ hapo vipi mrembo
Hizo standard km zipi? Em zitaje hapa tuone.Huwezi kumzuia mwanaume kuchepuka...
Ila unaweza kumuwekea standard akachepuka kwa kukuheshimu.
Inategemea mtu na mtu, wako wanawake wana battle na wanaume, na wanashinda vile vilekwa hiyo suluhisho ilikuwa ni kutembea na mubabaπππ.......yaani kwenye maisha yako usishindane na mwanaume, ukijaribu kufanya hivyo umeharibu kila kitu, kaeni chini mzungumze ikishindikana kila mmoja apite hivi.
Wachaa wee!!Hii ni code usiingie kichwa kichwa