Tuongelee matumizi ya mitandao na athari zake!

tunaelekea kwenye dunia ambayo kuishi bila ya social network inakuwa ni impossible.hata hao manguli ambao walikuwa hawataki kujihusidha na sn nw wamesalimu amri.

wamasai,wahadzabe,wasandawe,barbaigi,wamangati,wasonjo they carefree kwao zinawasaidia nini
 
Asante kwa mada nzuri. Mimi wacha niwe nimepitwa ila fb, twiter, instg, huko sipo kabisa. Na haya yanayoendelea kwenye jamii zetu ni hali ya hatari, wazungu wanatuweka busy kila dakika. Ni hatari zaidi kwa watoto wazazi mlione hili
utafiti uko kama mimi zaidi ya hapa JF huko tweeter sijui Fb sijui instg sipo na wala sijui kunafananaje
Matumizi ya hii mitandao ya kijamii yamekuwa mabaya haswa kwa vijana wengi na yanayoendelea mle kwa kweli sio kabisa na yanawafanya vijana wanakuwa busy kupita maelezo
 
Last edited by a moderator:
^^
Mitandao ni sawa na moto, ukitaka usikudhuru sana, uote kwa kiasi
^^
 
utafiti uko kama mimi zaidi ya hapa JF huko tweeter sijui Fb sijui instg sipo na wala sijui kunafananaje
Matumizi ya hii mitandao ya kijamii yamekuwa mabaya haswa kwa vijana wengi na yanayoendelea mle kwa kweli sio kabisa na yanawafanya vijana wanakuwa busy kupita maelezo

toa athari sio crushing with a zero point ubusy ni athari?
 
Last edited by a moderator:
Haviepukiki. Athari ni jinsi mtu alivyo (mtoto umleavyo).
 
  • Je athari za kuweka picha zetu na personal information kwenye mitandao tofauti tunazipa uzito gani?
  • Nakubali kuna faida nyingi za mitandao hii na imeunganisha watu wengi,lakini je tunaitumia ipasavyo?Kama sasa hali ipo hivi miaka 10 ijayo itakuwaje?sidhani kama hata watu wanasemeshana kwa midomo,kila aina ya mawasiliano itakuwa kwa maandishi,kupitia kwenye simu,computer n.k
  • Je mitandao hii inajenga au inabomoa?

1.Sababu za kuweka picha mbovu za kuenyesha sehemu shawishi za mwili nazo ni ujinga, upumbavu, kipimo cha kujiona nawe upo kwenye chati, kujikweza kwa mitoko ya kutolewa na mabwana au marafiki, kukosa mvuto wa maneno na fikra zenye maono ya mbele(kwahiyo unatumia picha kama option B ya kumvutia mtu), kujiuza na kujinadi!

2. Watumiaji wengi haswa wanawake hawajui kwanini wanatumia, na ukiwauliza watakuambia they just like it(kwa wanaume watakuambia ndo wanakopatia watoto wa tamthilia) mwisho hawana cha kufanyia ndo hujikuta wanaitumia kujizalilisha, mitandao haswa FB haikubuniwa kwa ajili ya watu wasiojuana bali kwa wanajuana ama ndege warukao pamoja, Tweeter na instagram madhumuni mengi utakuta ni bussiness zenye asili ya mtindo ya mavazi, movies na nyinginezo! Mdada wa kwetu aliye na kazi moja tena yenye kipato cha chini au mama wa nyumbani anaingia kwenye hizo hana cha kutangaza wala kusema ambacho kinamantiki, zaidi kuweka vipicha viwili vitatu vya nguo za mafungu na picha za mitoko ya marafiki na outings alizotolewa na bwana ake, zaidi ya hapo awa-follow wasanii na watu wasio na direct positive impact katika maisha yake, so akipata mtu wa kuenesha interest na account yake ataacha kushoboka ili account iwe active?

3. Kifupi mitandao hiyo yote ina faida kama mtumiaji anajua ni nini anataka kupata kutoka katika utumiaji wake, kama wewe ni mtoa service au muuza goods kajitangaze umo utapata wahitaji!

As for me demu yeyote ambayo amejiunga na mitandao hii na hana cha ku-offer au kuuza zaidi ya mwili wake then namchulia hajitambui na hapa simaanishi asiwe na sim nzuri zenye ku-support applications hizo! Na huwa sihitaji hata kumsemesha zaidi labda kama napima makali ya kisu changu cha mtongozo ili kisiwe butu au nina ugwadu tu au kama natakakujua i still exist in their eyes, just incase! na ukiona umejiunga kwenye hizo na nikakutongoza just stay away from me coz i'm not what you thought i will be as i never like nor love a woman wa sample hii( coz you will be something to step on to and off i go)!

Cc gfsonwin Mtambuzi Eiyer AshaDii OLESAIDIMU Mr Rocky Kongosho Preta Dr.Mo asakuta same moto2012 ladyfurahia Himidini venine 64Bits Mrs leo Evelyn Salt Smile Ennie Kaizer Asprin Dark City Isumbwile Munkari Eli79 Chocs Viol miss neddy Bantu lady watu8 Mentor christine ibrahim Blessed Ablessed snowhite Kaunga Fixed Point Mndengereko MziziMkavu Karucee Nyani Ngabu FaizaFoxy Kiranga Dr. wasengamila daviey69 TANMO Mearkson
 
Ahsante kwa kufunguka rafiki!
 
Sababu kubwa ya watu wengi wengi kushinda mitandanoni ni matokeo ya madhara tu ya mabadiliko ya kitamaduni...
 
  • Jamani sisi wana wa kizazi hiki tumekuwa digitalized mno,kila mtu anachofanya kwenye maisha yake kipo kwenye mitandao tofauti ya jamii kama ni facebook,twitter,instagram n.k Wenzangu mnalichukuliaje swala hili?
Hata mtu akila apple ata andika na picha atajipiga akilitafuna :confused3:
View attachment 156572
NAKAA NIKIJIULIZA TUNAPOTEZA SIFA ZA KUSOCIALIZE KIKAWAIDA MPAKA TUMEKUWA WATUMWA WA MITANDAO TOFAUTI?
  • Imekuwa kama fasheni kwa sasa kuweka picha zisizo na maadili pamoja na kuwa na marafiki wengi tusiowafahamu walio katika mabara tofauti ya dunia.Je athari za kuweka picha zetu na personal information kwenye mitandao tofauti tunazipa uzito gani?
  • Kwa wazazi athari za kuweka picha za watoto wetu ambazo tunajua wakija kukua zitawaaibisha na hata kuwaathiri tunalichukuliaje?
  • Nakubali kuna faida nyingi za mitandao hii na imeunganisha watu wengi,lakini je tunaitumia ipasavyo?Kama sasa hali ipo hivi miaka 10 ijayo itakuwaje?sidhani kama hata watu wanasemeshana kwa midomo,kila aina ya mawasiliano itakuwa kwa maandishi,kupitia kwenye simu,computer n.k
  • Athari zake kiafya lipoje?madaktari mnakaribishwa kuliongelea hili,nchini china asilimia kubwa ya watoto wanavaa miwani kutokana na muongezeko wa kutumia vifaa vya kidijitali!Je tunawalemaza watoto na uwezo wao wakujichanganya na watoto wengine kwa matumizi ya vifaa tofauti vya kiteknolojia?Je tunawapunguzia uwezo wao wa kuwa kuunda michezo ya aina tofauti kwa hali hio?
  • Je mitandao hii inajenga au inabomoa?
Cc gfsonwin Mtambuzi Eiyer AshaDii OLESAIDIMU Mr Rocky Kongosho Preta Dr.Mo asakuta same moto2012 ladyfurahia Himidini venine 64Bits Mrs leo Evelyn Salt Smile Ennie Kaizer Asprin Dark City Isumbwile Munkari Eli79 Chocs Viol miss neddy Bantu lady watu8 Mentor christine ibrahim Blessed Ablessed snowhite Kaunga Fixed Point Mndengereko MziziMkavu Karucee Nyani Ngabu FaizaFoxy Kiranga Dr. wasengamila daviey69 TANMO Mearkson na wengineo nilowasahau
BAMpami
 
Last edited by a moderator:
madhara ni makubwa....japo kuna wanaosema kuna faida...mimi sioni umuhimu wa fb,twitter.inst,badoo,nk kwa maana watumiaji wanautmia vbaya sana.
 
Naomna ufunguke rafiki,athari zake ni zipi?

1.Athari za kisaikolojia hasa pale mtu anapokutana na negative comments kutoka kwa marafiki,kukosa "like" na positive comments juu ya "selfie" aliyopost.ikumbukwe kule watu hujuana na si kama hapa.hii inaweza kumuathiri mtu kujiona HAFAI(Self negligence) na kushindwa kujikubali,pia kuweza kuleta msongo wa mawazo,kutojiamin n.k.
2.ni rahisi kupata details za mtu A-Z
3. Utu na ubinaadamu hupungua...siku hizi mtu anakualika harusi fb, ule utaratibu wa kutembeleana na kupeana taarifa kwa kuonesha umuhimu wa mtu unatoweka.mimi ukinialika harusi fb SIJI kabisa kwenye harusi yako!nahisi hujanipa thamani yangu,kama niko mbali ni bora unipigie simu kuliko kupost status na kunitag eti ndo umenialika.
4.Mmomonyoko wa maadili, kule hakuna moderator kama hapa, ni HOLELA tu, sasa si tu vijana huharibika lakini hata watu wazima wamekuwa WATOTO.
5......
 
tunaelekea kwenye dunia ambayo kuishi bila ya social network inakuwa ni impossible.hata hao manguli ambao walikuwa hawataki kujihusidha na sn nw wamesalimu amri.

Well said mkuu... Yaan mfano mie nisipoingia JF na kuwa online wozap nahisi nimepungukiwa kitu fulani... But Thanks God sipo kwenye social network nyingine tofauti na JF na Wozap....

:backtotopic:

Social network ni nzuri ikitumiwa vyema as too much of anything is harmful...

Unakuta mtu yuko yuko active social network zaidi ya 7 sasa huyu ana concentrate kwenye shughuli, kazi au masomo yake saa ngapi???
 
Sasa kama picha hiyo can somebody tell me inamaanisha nini?
inawezakumaanisha anauza ma-apple? anaweza tafuna au nyonya apple?

Kwa wale Teambazazi if you take a look at this picture,what do you see? can the picture trying to tell what she is capable of?

  • Seduction...
  • Need for attention....
  • Sexual abbcession....
 
Sasa kama picha hiyo can somebody tell me inamaanisha nini?
inawezakumaanisha anauza ma-apple? anaweza tafuna au nyonya apple?

Kwa wale Teambazazi if you take a look at this picture,what do you see? can the picture trying to tell what she is capable of?

it SIMPLY shows NONSENSE out of REALNONSENSE
 
Back
Top Bottom