salama rafiki? baby hajambo?Mada nzuri shoga angu....bora nlivokua mshamba huyo fesibuku na majirani zake wamenipita kushoto...
Umesema sawa kabisa rafiki, inategemea. siyo kila anayekuomba urafiki unamkubalia, unaangalia watu unaoweza kujihusisha nao, na ukiona mwingine anakuzingua unamblock tu.It depends na aina ya watu unao jimix nao...usisahau hata kina Obama wapo online..mimi nipo kwa kiasi