Tuongelee matumizi ya mitandao na athari zake!

Tuongelee matumizi ya mitandao na athari zake!

mitandao ni miZuri kama mimi imenikutanisha na watu tofauti.Nimepunguza stress,nimejifunza vitu ving kupitia huko..

Haufai km unaoveruse
 
shosti yangu gorgeousmimi kwa ufupi tu kila kitu kina faida na hasara zake pia,na kuhusu mitandao hii ya kijamii kuna faida na hasara pia,japo kwa tathmini zangu za haraka haraka nafikiri hasara ni nyingi mno ukilinganisha na faida ambazo ni hafifu sana,na kwa hilo basi mimi kiukweli nimo humu jf tu hayo mafebook,matwiitter sijui fliccker yamenipita kushoto kabisa na wala sina malengo ya kuja kujiunga hata siku moja.
 
Last edited by a moderator:
mitandao ni mizuri kama unatumia for news,business,learning,refreshing via books,stories,mawasiliano


social networks kama fb zinaathiri watu mf,mtu usipo pewa like you feel you worth nothing hivyo kupoteza mda kutafuta kipi upate like hata kama cha kipuuzi

ladies hupost picha ili wasifiwe waseme thanks na kupata like hujiskia proud wasipo sifiwa inawa affect why mimi


wastage of time kudiscuss watu badala ya ideas
 
pia jamii forums ni moja wapo ya mitandao hiyo tajwa!
kwa upande wangu nakubaliana na mabadiliko na mapinduzi ya sayansi na teknolojia lakini siungi mkono matumizi hasi ya mitandao! kikubwa ni kuielimisha jamii na watoto juu ya matumizi chanya pia viwepo vyombo vya kudhibiti uvunjifu wa maadili

JF si sawa na facebook,twitter au insta hapa watu hawajuani mpaka watake kujuana!na watoto utawajua ,watu wenye busara zao utawajua kutokana na fikra na busara zao tu!
 
JF si sawa na facebook,twitter au insta hapa watu hawajuani mpaka watake kujuana!na watoto utawajua ,watu wenyr busara zao utawajua kutokana na fikra na bjsara zao tu!

jamiiforums inaanza kuchange due to other socialwork intruders na hii ni kwasababu jf inapeleka habari huko kujikuta inashawashi hata wale wasio na mchango positive kuvamia eg kundi la simpleminded toka fb hence kupoteza sifa yake na kuanza kushuka kwasababu wengi wavamizi hawana hoja
 
Athari ziko nyingi sana lakini mimi niseme tu kuwa tatizo kubwa ni watumiaji wengi kukosa elimu sahihi juu ya matumizi sahihi ya mitandandao ya kijamii pamoja na vifaa vya teknolojia kama simu,tablets,pc nk. Tukiweza kubaini chanzo cha tatizo basi ni rahisi kupunguza athari!
***naurushweeeeee***

Naomna ufunguke rafiki,athari zake ni zipi?
 
mitandao ni mizuri kama unatumia for news,business,learning,refreshing via books,stories,mawasiliano


social networks kama fb zinaathiri watu mf,mtu usipo pewa like you feel you worth nothing hivyo kupoteza mda kutafuta kipi upate like hata kama cha kipuuzi

ladies hupost picha ili wasifiwe waseme thanks na kupata like hujiskia proud wasipo sifiwa inawa affect why mimi


wastage of time kudiscuss watu badala ya ideas

dahhh..umeongea ukweli kabisa.inafikakipindi mtu analazimisha watu walike post yake.
 
Jamii naombeni mnisaidiemtu anaefahamu wapi wanauza computer mpya tena owe flat screen na warrant 1 year nitashukuru kama kuna mtu anafahamu Duka la karibu hapa dar...
Nahitaji haraka sana lakn ninafahamu haizidi gharama yangu ya mfukoni ila nipe jina la sehemu lkn pia BEI zake...
Uhuru computer duka liko mtaa wa congo kariakoo bei ni kuanzia laki tatu a nusu na kuendelea
 
Ya Msondo Muulize Gurumo, Ya Jforum Muulize Peace Of Mind via Supu Ya Mawe
 
  • Jamani sisi wana wa kizazi hiki tumekuwa digitalized mno,kila mtu anachofanya kwenye maisha yake kipo kwenye mitandao tofauti ya jamii kama ni facebook,twitter,instagram n.k Wenzangu mnalichukuliaje swala hili?
Hata mtu akila apple ata andika na picha atajipiga akilitafuna :confused3:
View attachment 156572
NAKAA NIKIJIULIZA TUNAPOTEZA SIFA ZA KUSOCIALIZE KIKAWAIDA MPAKA TUMEKUWA WATUMWA WA MITANDAO TOFAUTI?
  • Imekuwa kama fasheni kwa sasa kuweka picha zisizo na maadili pamoja na kuwa na marafiki wengi tusiowafahamu walio katika mabara tofauti ya dunia.Je athari za kuweka picha zetu na personal information kwenye mitandao tofauti tunazipa uzito gani?
  • Kwa wazazi athari za kuweka picha za watoto wetu ambazo tunajua wakija kukua zitawaaibisha na hata kuwaathiri tunalichukuliaje?
  • Nakubali kuna faida nyingi za mitandao hii na imeunganisha watu wengi,lakini je tunaitumia ipasavyo?Kama sasa hali ipo hivi miaka 10 ijayo itakuwaje?sidhani kama hata watu wanasemeshana kwa midomo,kila aina ya mawasiliano itakuwa kwa maandishi,kupitia kwenye simu,computer n.k
  • Athari zake kiafya lipoje?madaktari mnakaribishwa kuliongelea hili,nchini china asilimia kubwa ya watoto wanavaa miwani kutokana na muongezeko wa kutumia vifaa vya kidijitali!Je tunawalemaza watoto na uwezo wao wakujichanganya na watoto wengine kwa matumizi ya vifaa tofauti vya kiteknolojia?Je tunawapunguzia uwezo wao wa kuwa kuunda michezo ya aina tofauti kwa hali hio?
  • Je mitandao hii inajenga au inabomoa?

Nadhani jibu unalo INABOMOA
 
nitoke nje ya mada kidogo ajabu ya binaadamu sasa mtu ukimsalimia kwenye msg kawaida anaweza hata asikujibu ila msalimie kwenye whatsapp fasta,au mtumie msg fb atajifikiria kukujibu comment kwenye post au status yake fasta anacomment thanks my wakati msg anakupotezea,yote hayo sababu kuu ni watu kutaka kujikweza


back to topic m nahisi sababu kuu ni watu kutaka kuonyesha tofauti zao za kistatus ndo maana unaona mtu akila apple mara akiwa kwenye ndege anapost on ma way to..... uila akiwa kwenye usafiri wa kawaida hata hawaandiki au insta kutwa kucha ni piicha za vyakula tu napata lunch nw mara breakfast pembeni unakuta soseji na vitam vitam ila nadra sana kuona mtu katumbi VITUMBUA VIKAVU NA CHAI,the same to kwenye mavazi toka nipo insta sijawahi hata siku moja kuona mwanmake akipiga picha na kanga though ndo vazi lenu kuu kwas siku.
 
JF si sawa na facebook,twitter au insta hapa watu hawajuani mpaka watake kujuana!na watoto utawajua ,watu wenyr busara zao utawajua kutokana na fikra na bjsara zao tu!
na kuna wengine wakubwa in reality lakini mambo wanayoandika busaraless.
 
Athari ziko nyingi sana lakini mimi niseme tu kuwa tatizo kubwa ni watumiaji wengi kukosa elimu sahihi juu ya matumizi sahihi ya mitandandao ya kijamii pamoja na vifaa vya teknolojia kama simu,tablets,pc nk. Tukiweza kubaini chanzo cha tatizo basi ni rahisi kupunguza athari!
***naurushweeeeee***
tunaelekea kwenye dunia ambayo kuishi bila ya social network inakuwa ni impossible.hata hao manguli ambao walikuwa hawataki kujihusidha na sn nw wamesalimu amri.
 
Back
Top Bottom