Tuongee UkweliI: Kazi za Local Government (Halmashauri) ni 'local' sana!

Malalamiko yapo kila sehemu Kaka hata sisi ambao tupo chini ya wizara bado tunafanyia isivyo stahili.unakuta mkuu wa kitengo na boss wanaandika majina ya watu wao kwenye madokezo kila Mara..mtu anakuwa anakazi tatu halafu wewe hata moja huna...NI kawaida tu ila halmashaur mko too local kwa kweli kuliko sisi wa serikali kuu.all in all vumilia TU mkuu Huku ukijiongeza na madeal mengine mtaani....just imagine Muhasibu anakupiga panga kwenye hela yako mambo ya ofisini tuyaache TU ofisini haina haja ya kusema mtaani au mitandaoni...bongo bahati mbaya
Ni aibu sana watumishi wa umma mnakiuka viapo vyenu kwa kutoa siri za serikali.

Huu uzi nitahakikisha ninaufunga
 
Wewe jamaa Ni mtu wa MALALAMIKO sana.

Sioni kama una tofauti na hao unaowalalamikia.

Ninachoona hapa Ni were kunyimwa ULAJI tu😆

Tena watu kama nyie ndio mnaofanya Halmashauri zinakuwa shida.

Mhe. Diwanani, Mwenyekiti wa kamati ya Siasa, Uchumi na Mazingira...
Nakusalimia tafadhali.

NIMEKUMISS SANAA MHE. DIWANI

Mkaruka 😘😘😘😘

mkaruka ataja rinu Huyu Diwani ni ndugu yako?

#YNWA
 
Back
Top Bottom