Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,013
- 1,634
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
Yaani kama umesoma course ambazo ajira zake ni za local Government una bado hujapata ajira ila una kajiofisi Kako umejiajiri na kwa mwezi unaingiza faida angalau Tsh 400000 kwa mwezi usifikirie kuhusu kuajiriwa komaa na kuendeleza ofisi yako,ninaamini itakupa maisha mazuri na itakuheshimisha katika jamii.
Ajira za local Government ni chanzo cha kufa maskini, Kuna watu wapo kazini zaidi ya miaka kumi ila ukiangalia maisha yake ni ya kuungaunga mtu hana cha kujivunia kama mtumishi, yaani mtu upo kazini miaka mitano unajivunia kumiliki vitu vya ndani kama Tv,friji na Masofa na kumudu kulipa kodi ya chumba kimoja.
Maisha ya ajira za local Government ni kusubiri pension na kuishi miaka mitano ya ku enjoy baada ya hapo ni msoto mpaka unaingia kaburini.
Kama unamiliki shamba angalau la ekari mbili komaa na kilimo kitakupa heshima sisi ni mashuhuda