Tuongee kuhusu USHOGA

Tuongee kuhusu USHOGA

Screenshot_2014-04-16-21-29-32.png
 
Katika umri nilionao sijawahi ona Dume la kuku,ng'ombe,mbuzi, akifukuzia dume mwenxie na kumpanda!Hata Nguruwe mwenye kuchuliwa haram na watu hata tabia hizo. Sasa wewe dume la binadamu!

Watoto ndio nguzo ya taifa lolote dunian.sasa leo swts (dume) ukiolewa hao watoto mtapata wapi?Si ndio mtaanza kulilia na haki ya kuzaa?
chukulia huko USA wanaume wote ni magay,kunataifa hapo?
 
maarifa toka mitandaoni si ya yote ni sahihi jithibitishie from right source, vyanzo muhimu vya taarifa ni tafiti tena qualitative research hupanua mawanda sana ya ufahamu zaidi ya quantitative research. hormone za oestrogen zinazoongeza mtu kuwa na viashiria vya kike ni pamoja na mtu kumfanya awe na maziwa, sauti nyororo, ngozi nyororo na vinginevyo na si uke kuwa uume ama uume kushindwa kufanya kazi, na projesteron huongeza viashiria vya mtu kuwa mwanaume kama vile sauti kuwa nzito, misuli kuimarika, ndevu kutoka na kadha wa kadha lakini si uume kuwa uke. hata wanasayansi wa UGANDA wamethibitisha hilo. ni vyema tutumie wasomi wenye nia ya kutufanya tubaki salama kwa hatma yetu na vizazi vyetu.

mambo ya kufanya ni pamoja na waliojiingiza kwenye mambo haya tuwape elimu mtambuka na ushauri nasaha kuwa wanachojifanya ni kinyume na uumbaji, pili tutafute namna ya kuwahamasisha wafanye shughuli nyingine za kujiingizia kipato, pia tuwahamasishe wateja wa hiyo kitu waache na kama watu hatataki kuwafungulie mashitaka na kuwaweka vizuizini wote wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja muuzaji na mnunuzi.

lakini nikiwa kama mtaalamu wa makuzi na saikolojia; mosi tuongee na watoto wetu athari za mambo haya, vilevile watoto wavulana kwa wasichana wasipelekwe shule za hosteli wakiwa bado wadogo chini ya miaka 12 watoto wanakuwa hawana uamuzi kabisa, wakipelekwa hosteli hufanyiwa vitendo hivyo na kuzoea hatimaye wanakuwa mashoga na wasagaji, wanafunzi wakubwa kuliko wao huanza kuwachezea, hivyo wazazi tujifunze kulea watoto wetu nyumbani tusiwapeleke hosteli wakiwa hawajafikia umri wa 12, tusiseme tuko busy, busy for what? unatafuta pesa kwa ajili ya watoto, lakini husimamii matumizi ya pesa hizo kwa kuhakikisha makuzi bora hivyo tusimamie pesa zetu kwa kuhakikisha kuwa watoto wetu wanakua katika mazingira salama

umejitahidi kuongea. Ok ni tatizo la kitabia. Na ni jukumu lawewe mimi na yule kuokoa jahazi. Ofcoz itauma kujua ndugu yako ni gay inauma but are u gon leave her/him alone?? What will u do.
Kibaiolojia pia ni chanzo google uone. Kuna me wana homones za kike n virse versa.pia au hujawahi ona?
 
Hii comment ndo imenifanya niamini we ni dume, acha huo mchezo mchafu.
Halafu we si unao ndugu, hebu kawakusanye mlijadili hilo swala halafu utuletee mrejesho. Usituchoshe hapa.

Hata si kidume huyu basi tu ni wabongo wanaojifanya wapo addicted na mambo ya kizungu
 
Humu kuna wengi tu wanasifia mtandao pendwa, huwa sielewi kuwa wakifanya kwa wanawake si laana ila wakifanya kwa wanaume ndo laana.

Niliwahi uliza ikiwa imedhihirika kwa ushahidi wa kutosha kuwa mmoja kaiba na mwingine kafanya ushoga nani atazungushiwa tairi huku kwetu uswazi?

Halafu hao mabasha si tunawajua, tunajua wanashughulika kwa wanaume wenzao, huwa tunawafanya nini zaidi ya kuwaita mabasha kama tunavyowaita mafisadi.

Ma aunt si wapo mtaani kwetu, wanatoka katika familia zetu tunawajua na huwa tunawacheka tu kama malooser wengine tu mtaani.

Huo ujasiri wa kuwakataa kwa maandishi tunao kweli au tunajishaua tu kusema tu huku pembeni. Tunasingizia wazungu wakati mi nimesikia neno kufira kabla ya kuiona TV. Nilijua hivi vitu vipo enzi na enzi.

My take: Mi sipendi kabisa haya ila kuwazuia wao hayo wakati machangudoa wanatoa huduma ya namna hiyo sioni tofauti. Tuchague vizuri, kama tunaukataa tuanze na kuwashughulikia walioko mtaani tusisubiri mpaka sheria au tuwasaidie waachane na hiyo tabia. Wachawi hufukuzwa wanapojulikana, wezi wanachomwa moto, na hawa tuwatafutie namna labda tutapunguza kasi.
 
Kama itaakavokuuma kwako ndivo hivo na wazazi wengine inavowauma kwa watoto wao
sasa unaweza je kuwamwagia watoto wa wenzio mi sifa kuwa they are nice
girl. .personality they are nice ..The only thing is what they do! mbona kuna watu ni majambazi hatari au wachawi wanaojulikana ila wanaroho nzuri. kuliko nyie 'malaika'.yes dear penye ukweli pasemwe
 
Hata si kidume huyu basi tu ni wabongo wanaojifanya wapo addicted na mambo ya kizungu
shosti kwani dume ni nationality? nilikuwa sijui. Na siyo suala la uzungu .Kuna mashoga weusi wengi hataree. ni kuwa exposed tuu unapata kupanua mawazo. .ukiwa stagnant with one traditional view of life utakuwa mlemavu wa fikra
 
Humu kuna wengi tu wanasifia mtandao pendwa, huwa sielewi kuwa wakifanya kwa wanawake si laana ila wakifanya kwa wanaume ndo laana.

Niliwahi uliza ikiwa imedhihirika kwa ushahidi wa kutosha kuwa mmoja kaiba na mwingine kafanya ushoga nani atazungushiwa tairi huku kwetu uswazi?

Halafu hao mabasha si tunawajua, tunajua wanashughulika kwa wanaume wenzao, huwa tunawafanya nini zaidi ya kuwaita mabasha kama tunavyowaita mafisadi.

Ma aunt si wapo mtaani kwetu, wanatoka katika familia zetu tunawajua na huwa tunawacheka tu kama malooser wengine tu mtaani.

Huo ujasiri wa kuwakataa kwa maandishi tunao kweli au tunajishaua tu kusema tu huku pembeni. Tunasingizia wazungu wakati mi nimesikia neno kufira kabla ya kuiona TV. Nilijua hivi vitu vipo enzi na enzi.

My take: Mi sipendi kabisa haya ila kuwazuia wao hayo wakati machangudoa wanatoa huduma ya namna hiyo sioni tofauti. Tuchague vizuri, kama tunaukataa tuanze na kuwashughulikia walioko mtaani tusisubiri mpaka sheria au tuwasaidie waachane na hiyo tabia. Wachawi hufukuzwa wanapojulikana, wezi wanachomwa moto, na hawa tuwatafutie namna labda tutapunguza kasi.

best view ever
 
Wanawake kwa kutokuwa kuwa makini kwa watoto wao wakiwa bado wachanga ndio chanzo cha ushogo kwa watoto wa kiume...hasa akisha kuwa mkubwa!

Tatizo lenu nyie wadada manajifanya kujua saana kimjini mjini...at the end madhara yake ndio hayo....! Shauri yenu na pia nawapa pole sana badilikeni...kuweni makini..Kosa dogo linakuja kumgharimu mwanao....kugegedwa!

i know that ila uelewe US ndio inarun duniani mkuu kubali kataa. and campaign yao ni kusambaza duniani kote.
 
We shuldnt ignore the signs of gayness.

Sidhan kama gays huwa inawatokea overnight ....asubuhi yake ameshakuwa shoga.

Hii tabia inaanza taaratibu hadi inakuwa mazoea.

Mambo yote haya huanzia wakati wa utoto, wazazi wanapaswa kuongea na watoto wao kwa uwazi kuhusu suala la ushoga kuwa ni kinyume na mafundisho ya mungu vile vile sio tamaduni zetu waTz.

Tusipuuzie viashilio.....vya ushoga.

sasa nimekuelewa mkuu kumbe ushoga ni tabia na sio ugonjwa. Kama ni tabia inayoanza pole pole basi inazuilika na ni tabia ya ki.sheeeeeeeeee.nz kwasababu always behavior comes from somewhere ambapo kwa hii ishu ni haya ma porn movies mnayoangalia na mitandao ya kijinga. Inauma sn dume zima linapakatwa dah cpat picha kama ni mwanangu ndo tusijuane na ugali wangu hali
 
Mtoa mada sio mwanamke ni mwanaume ata ukisoma the way alivyoandika it simply defines him as a boy ili jina la swts ni jina tu everyone is fake here

umesahau kitu mkuu sema pia mtoa mada ni shoga na amejipanga kuutetea upunga wake.Kama ametumwa kuongeza wanachama czan kama atampata mtu hapa
 
shosti kwani dume ni nationality? nilikuwa sijui. Na siyo suala la uzungu .Kuna mashoga weusi wengi hataree. ni kuwa exposed tuu unapata kupanua mawazo. .ukiwa stagnant with one traditional view of life utakuwa mlemavu wa fikra
Hongera kwa kuwa na hiyo muzungu point of view, make umeuongelea ushoga kinamna wazungu wanauona
ni kitu kizuri....
 
girl. .personality they are nice ..The only thing is what they do! mbona kuna watu ni majambazi hatari au wachawi wanaojulikana ila wanaroho nzuri. kuliko nyie 'malaika'.yes dear penye ukweli pasemwe

Ok na mwanao akiwa shoga umsifie hivo hivo
mimi si malaika, malaika wapo mbinguni
 
Im against it ila jinsi dunia inavyoenda kizazi kijacho watazidi kuongezeka.

Only if we let them. Na hakuna baiolojioa inayoleta nyege mk#nd#ni. Hata cases za watu kua na XXY chromosomes hazina hiyo kitu eti! Na ishu sio kuwajudge au kuwaua....ila kusafisha uchafu. We need to devise a method ya prevention na pia wakigundulika then a close watch ifanyike. (Though in real sense wabongo tunapotezeaga ishu za watu wengine zisizotuhusu, so practically itakua ngumu) Sema nini, Tutatengeneza plug tuziweke kuziba huko. SHENZI!
 
Ina maana there are no straight, cool, open, hot, handsome guys!! Aaaaaaa bana Swts!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom