Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,275
- 108,278
hili suala nashindwa nilichukulieje kwa jinsi flow ya mambo inavyokwenda Duniani kwa sasa hivi.
I know it's totally wrong but what should be done?
Bi mkubwa nashindwa kukuelewa au nafikiri hueleweki.
Jambo unalolijua si sahihi kwa nini tena wajiuliza nini kifanyike...
Hivi mzazi wako alipokuelekeza kuwa uizi si jambo jema, je ulipothubutu kwenda kinyume na maonyo ni nini kilitokea?
Kama ubongo wako unafanya kazi vizuri kabisa, unaona ni sahihi kwa mwanaume mmoja kuingiza mbo.o yake kwenye mkund.u wa mwanaume mwingine?
Acheni kurembaremba mambo ambayo unapaswa kuyakemea, mwanadamu uliumbwa na utashi wewe wa kupambanua jambo jema na lile baya.
Binafsi ninao marafiki gay na they are the nicest people I've ever met.
Halafu, hivi unawezaje kuwa na rafiki au marafiki ambao mnakinzana kimitazamo au sera?
Waungwana hawakusita kusema, 'ndege wapatanao huruka pamoja' lakini naona kwako hili ni kinyume.
Pili je viongozi wa dini seem to have given up this battle.
At family level nako chenga chenga. .watoto wenyewe sikuhizi sio wa kiume sio wa kike wanafugwa kamasio kulelewa! unakuta mkaka anatwerk hataree!
Unawalaumu na kuwashangaa viongozi wa dini wakati wewe muumini wa dini unayefunzwa kila leo maiwaidha ya Muumba unashindwa kukemea huo ukengeufu.
Umebaki tu kuwakenulia meno na kutoa nasaha za mahusiano kama ambavyo katika kipande hiki umejaribu kueleza na bado unajishembendua eti NINI KIFANYIKE, ptuuuuuuu!!!
One of my Co~worker ni mkaka na ni gay and very open about it. .and yeye ni KE in that relationship! Yes Strange but I always carried out with his relationship advises. .He is really funny and open so huwa namuliza maswali hapa na pale nini. .Dah !
and "boyfriend wake"..daaammn he is the fire. .Hot n goodlooking. .Yani najiulizaga why? Nakosa jibu.