Tuongee kuhusu USHOGA

Tuongee kuhusu USHOGA

Hi Swts Mi nipo Uganda kwa baba Museveni siwezi kuzungumzia mambo hayo.Kama huna haraka subiri nirudi Tiizeed ndo toyaongelee.
CC :Tyta,Miss Chagga,dikembe,Blue G,Crystal clear,Evelyn Salt et al

kwa museveni wanachoma i know. Bongo mashoga wapo but sheria inasemaje?
 
Wewe mwenyewe uliendika uzi huu yaelekea ni DUME NA UNAMEGWA! Na kati ya kiingereza na kiswahili na kikwenu lugha ipi unaijua?? Acha kushawishi watu USHETANI WAKO,'ETI WAKO POA' Mwanamme gani anaachia wowowo lake kwa wenzie alafu AKASIFIKA??
hahahah nimecheka hapo kwenye wowowo! Mbona hawanaga mawowowo sasa..wako flat mbaya.
Af suala la kumegwa ni optional ukiamua hata wewe utamegwa ama kumegwa.
Am not gay ila i see them saloon, shopping places and all that.
Ugay ni dhambi but unaonekana kukua kwa kasi ..kama ukimwi ulianza mdogomdogo but now ni kama malaria so as homosexual.
So what has to be done.?kutukana sio suluhisho aint gonna stop that man.
Af kuhusu lugha ni kiswanglish.
Okay bye
 
Hii comment ndo imenifanya niamini we ni dume, acha huo mchezo mchafu.
Halafu we si unao ndugu, hebu kawakusanye mlijadili hilo swala halafu utuletee mrejesho. Usituchoshe hapa.

in ten years to come mark my words...!!!! Kama ukimwi unavochukuliwa sasa ndivyo homosexual is going to be taken.. Je Tz si wapo?na wanakua kila siku. What has to be done?!
Sijakuchosha ukichoka hamia topic nyingine shoste
 
Sijui mtoto ake akija kumsimlia kuwa anafi.rwa
atasifia pia kuwa mwanae yupo open

Ofcourse NO siwezi sifia. Itauma na pia i rebuke that in Jesus name. Girl get me right.. Siwaungi mkono.. Siwezi acha kuongea nao kisa they are what they are.. I know its wrong,immoral and a sin..but nini kifanyike?kabla mataifa makubwa hawajashikia bango Tanzania...kama mzalendo unahatua gani kitaifa?
 
hatareeeeeeee
ndo hawa hawa watoto zao wakiharibika waaanza kulalamika watoto wa siku hizi blah blah kibao wakati hawakuwakunja angali makinda

swirry.... Wanangu nitawalea kwa mapenzi ya Mungu.. Homosexuality is a sin ila inakuwa kwa kasi mno katika jamii yetu. Saizi nini kifanyike?apart from being judges????? Hey
 
Hujui hata kusoma , nimemaanisha, utakufa kwa kuuwawa na wananchi wenye hasira kali.

sio sijui kusoma.nilielewa kama ulivyoandika.
Je hao mashoga Bongo tena wengine madesigner wakubwa kina nanihii na wanamuziki kibao ,ukija shughuli za uswazi ,miziki ya taarabu wamechomwa wangapi?
Je sheria ya tanzania inasemaje kuhusu Homosexuality?cos wanakuwa kila siku tena kwa light speed... What is going wrong?
 
Hiv ukisikia baba yako anafirwa na boyfriend wako utajisikia poaa au unaturopokea kupitia mku ndun badala ya mdomonii

we baba yako walimnanihi? Me nawewe anayeropoka nani?
Girl u gotta calm down n relax behind ur screen...!
We ukikuta ur broke ass boyfriend anananiliwa na babaako utafurahi?
Siyo ubwabwaje matusi ya nguoni badala ya kutoa point?! How clean are u?
B...*shhh sit down n chilllllaaaaxxx.
Ur not gay aint either okay..but wapo so we r trying to look for solutions here sio matusi.
Ukijisikia tukana do u think i care!!! Pyeeeee
 
ushoga si tatizo la kibaolojia ni tatizo la kitabia. majukumu ya kibaolojia yafanywe kibaolojia, mwanaume ana ume na sehemu ya haja kubwa, huwezi badili matumizi ya lango wa kinyesi na kuwa lango la ume, laana hiyo, ke ziko nyingi kwann hizo zisitumike kama kazi yake ya msingi? unasema wako poa, assume boy au mume wako awe analiwa utajisikiaje, baba yako au kaka yako awe analiwa utajisikiaje kisaikolojia? wazungu wakianza kuoa mama zao nawe utaolewa na mwanao wa kiume? lazima tujifunze kujitofautisha na wanyama, ss ni mamalia tunawazidi mbuzi, kondoo na nguruwe kwa kuwa na akili. ACHA MTAZAMO WA KILAANA

umejitahidi kuongea. Ok ni tatizo la kitabia. Na ni jukumu lawewe mimi na yule kuokoa jahazi. Ofcoz itauma kujua ndugu yako ni gay inauma but are u gon leave her/him alone?? What will u do.
Kibaiolojia pia ni chanzo google uone. Kuna me wana homones za kike n virse versa.pia au hujawahi ona?
 
Ww unayewaza nje ya box...umeona ushoga dili sio?

hapana sijaona kama ni dili. But unakua kwa kasi na unapata support nyingi sana. Ingia youtube uone interview ya oprah na joel osteen yule mhubiri mkubwa, i mean most influential people in the world wanasupport,(i knw its wrong n very wrong) yes but je Tanzania yetu itaweza kusimama kama Uganda?na tamaa tulizonazo za misaada? Je inamaana Tanzania hawapo??je kuna kiongozi yoyote wa Tz aliyewahi kuzungumzia?je katiba na sheria yetu inasemaje?
 
wazungu jamii yao tayari imeshaharibika na ushoga so wanataka waharibu na africa ni jukumu letu waafrica kulinda tamaduni zetu na sio kukubali kila kitu chao hiv ushoga ukikithiri kutakuwa na vizazi huko mbele.

thank you. We umenielewa ninachozungumzia.
Kwakweli kabisa yani . Wazungu hawana tamaduni .sio wazungu tuu haya mataifa tajiri haya ni tatizo kwa nchi maskini. Likija Hili suala Tanzania accompanied by their aids n funds rules,tutafurukuta tulivyo na tamaa??
 
Mambo. .Long time!

Natumai ur all fine.
Well I may sound funny..ila hili suala nashindwa nilichukulieje kwa jinsi flow ya mambo inavyokwenda Duniani kwa sasa hivi.
I know it's totally wrong but what should be done?

Binafsi ninao marafiki gay na they are the nicest people I've ever met.

Kwa wanaowajua hawa watu nadhani mnaelewa. .ni wanaroho nzuri kuliko straight guys. Sijui why but most of em are so cool.

One of my Co~worker ni mkaka na ni gay and very open about it. .and yeye ni KE in that relationship! Yes Strange but I always carried out with his relationship advises. .He is really funny and open so huwa namuliza maswali hapa na pale nini. .Dah !
and "boyfriend wake"..daaammn he is the fire. .Hot n goodlooking. .Yani najiulizaga why? Nakosa jibu. ukienda male strip clubs yallah usiseme.
anyways blah to the blah..

Kutokana na umaskini sijui tamaa na utegemezi uliokithiri hii kitu ikishikiwa bango na hayo mataifa kwa Tanzania kulegalize sidhani kama kuna kiongozi mwenye msimamo wa kupingana nao! wanaugulia kiundani tuu.

Pili je viongozi wa dini seem to have given up this battle.
At family level nako chenga chenga. .watoto wenyewe sikuhizi sio wa kiume sio wa kike wanafugwa kamasio kulelewa! unakuta mkaka anatwerk hataree!
Well nini kifanyike. Cos apart from hiyo kitu ni watu poa sana. .kuwaadhibu kwa sheria kali again who is perfect? and that's what makes them happy! je waachwe tuu au we unadhani utamsaidiaje ?

Kwa waelewa mtanielewa .Huwezi pita siku bila kukutana nao kama 3 or 4 both gender!
What is still going wrong? What has to be done? it is wrong but isn't it personal freedom?

Wewe ni ke au me
 
hapa ana maanisha kila mtu kimpango wake kama ananyonywa anyonywe kama anapakatwa apakatwe..

kwa hali ilivyo ni kama kimpango wake kila mtu but thats not how is suppose to be the solution .
 
Huwezi kuacha kila mtu afanye vile anavyotaka wakati sio kitu kizuri kimaadili ndio maana tunajiweka sheria kama mtu anataka kufanya anavyotaka aende huko wanaporuhusu.

hivi katiba ya sasa ya Tanzania kipengele cha homosexuality wanazungumziaje?wameweka kweli?
 
Nimegoogle Millard Ayo.com kuna kipengele cha hekaheka nimesikiliza jinsi mchungaji aliyemsaidia shoga aunty Asu ameacha ushoga.
Hao ndo viongozi wa dini tunaowataka katika jamii.
I'm so proud of him kwakweli . Kwakweli inawezekana na Nguvu ya demu ya Yesu inafanya kazi.
Natamani viongozi wote waige. Inawezekana. Homosexuality is a sin .it's immoral. it's humanly illegal. hongera mchungaji. wanahitaji kusaidiwa ila kutokana na jamii yetu kujaaa majaji. .hmm.
 
Swts naku support part ya kusema kwamba baadae itakuwa worse,people wanasema viongozi watapinga...to tell u the truth seminars zafanyikaga outside dar often,tena zasimamiwa na hz mashrika yanayotoa misaada...katka hzo.semina hadi baadh ya viongoz wapo n r supporting it
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom