Tuongee kuhusu USHOGA

Tuongee kuhusu USHOGA

Binafsi hiki kitu sipendi hata kukisikia, sababu ni laana. Ni sawa na binadam tumepewa miguu halafu tunatembelea mikono, nonsense.. Lazima kuanzia ngazi ya familia mpaka serikali tuweke misimamo itakayozuia huu uchafu usiendelee. Hapa nachangia huku nimefumba macho.....

Inaelekea unataka kutueleza point muhimu sana ila tatizo uandishi kaka JF hatuna uandishi wa namna hiyo so badilika lemalbert for the better.

Kaka...ni vifupisho ndo havijaeleweka ama ni mchango mzima? Thanks fo ur views
 
Last edited by a moderator:
We shuldnt ignore the signs of gayness.

Sidhan kama gays huwa inawatokea overnight ....asubuhi yake ameshakuwa shoga.

Hii tabia inaanza taaratibu hadi inakuwa mazoea.

Mambo yote haya huanzia wakati wa utoto, wazazi wanapaswa kuongea na watoto wao kwa uwazi kuhusu suala la ushoga kuwa ni kinyume na mafundisho ya mungu vile vile sio tamaduni zetu waTz.

Tusipuuzie viashilio.....vya ushoga.
 
Binafsi hiki kitu sipendi hata kukisikia, sababu ni laana. Ni sawa na binadam tumepewa miguu halafu tunatembelea mikono, nonsense.. Lazima kuanzia ngazi ya familia mpaka serikali tuweke misimamo itakayozuia huu uchafu usiendelee. Hapa nachangia huku nimefumba macho.....

Kaka sio laana tu pia inatudhalilisha yani mtoto wa kiume mwenzako dah aibu sna alaf hawa wanaojifanya wamekaa marekani huwa wanazingua kama huyo mtoa mada yani anasifia ooh mtu mzur
 
vifupisho vimefanya ujumbe wako usieleweke iliniwia vigumu kuelewa unaongelea nini, na zaidi hapa jf hawapendekezi uandishi wa namna hiyo,jaribu kufuatilia sana watu wanvyoccoment humu utaona ni wachache sana au hamna kabisa wanaotumia vifupisho,unaona kama hapa umeandika kawaida kabisa na moja kwa moja nimekupata vilivyo.
Kaka...ni vifupisho ndo havijaeleweka ama ni mchango mzima? Thanks fo ur views
 
Kaka sio laana tu pia inatudhalilisha yani mtoto wa kiume mwenzako dah aibu sna alaf hawa wanaojifanya wamekaa marekani huwa wanazingua kama huyo mtoa mada yani anasifia ooh mtu mzur
Mkuu, mimi nimekaa huko, niliona mambo yanavyofanyika ila kuna mambo mtu yakuyafuata na mengine kuwachia wenyewe. Sisi utamaduni wetu hauko hivyo kusupport huu uchafu niulimbukini na kutojitambua. Dini zinasaidia sana, kama mtu hana imani thabiti ya dini yake anaweza kutetereka.
 
i know that ila uelewe US ndio inarun duniani mkuu kubali kataa. and campaign yao ni kusambaza duniani kote.

naona unawapigia kampeni hao washenzi wa tabia.
wamekupa nini? au nawe ni mmoja wao?
ushoga haukubaliki na tunaandaa kampeni ya kuutokomeza. uchafu wenu huko us bakini nao wenyewe msitake kutuchagulia kizazi.
mnaleta laana katika hii dunia shauri ya ushenzi wenu, --%🙂:!(';,?##@??'#+@(%::! wakubwa nyie
 
Mkuu, mimi nimekaa huko, niliona mambo yanavyofanyika ila kuna mambo mtu yakuyafuata na mengine kuwachia wenyewe. Sisi utamaduni wetu hauko hivyo kusupport huu uchafu niulimbukini na kutojitambua. Dini zinasaidia sana, kama mtu hana imani thabiti ya dini yake anaweza kutetereka.

Tatzo tunataka kila kitu tuige too bad sisi waafrika sijui VP huwaga tunaiga mabaya ndo maana huwa atarafiki zangu nawaambia haimaanishi demu wako au Malaya ila nikijua unatumia0713 urafiki wetu unakufa elimu inahitajika sna kwasisi waafrika
 
Mtoa mada sio mwanamke ni mwanaume ata ukisoma the way alivyoandika it simply defines him as a boy ili jina la swts ni jina tu everyone is fake here
 
Kaka sio laana tu pia inatudhalilisha yani mtoto wa kiume mwenzako dah aibu sna alaf hawa wanaojifanya wamekaa marekani huwa wanazingua kama huyo mtoa mada yani anasifia ooh mtu mzur

huyo mtoa mada ni limbukeni mkubwa kabisa. anafikiria dunia yote ni marekani. hawazi nje ya box kwamba Kuna watu na heshima zao na tamaduni zao za kistaarabu. anafanya kampeni ya kuuhamasisha ushoga, kwa taarifa yake ameshafeli kabla hata ya kuanza. USHOGA TUTAUPINGA KWA NGUVU ZOTE.

Anakuja na maneno ya kijinga eti wako nyc anamarafiki sijui upumbavu gani nyambafffff.
akafie mbali na mashoga wake. MwenyeziMungu awalaani.
 
Si ndo hapo yani anaona US ndo kila kitu huu ni ulimbukeni inabd tubaki na misimamo yetu
 
Mtoa mada sio mwanamke ni mwanaume ata ukisoma the way alivyoandika it simply defines him as a boy ili jina la swts ni jina tu everyone is fake here

Kwi kwi kwi habari za saizi, umeamkaje lakini....
 
Mtoa mada sio mwanamke ni mwanaume ata ukisoma the way alivyoandika it simply defines him as a boy ili jina la swts ni jina tu everyone is fake here

inawezekana anatafuta mume humu Jf, atafute hukohuko us kwao Africa hatukubali huo ujinga.
Uganda wameonesha mfano na Tanzania tutawafuata siku sio nyingi.
 
Si ndo hapo yani anaona US ndo kila kitu huu ni ulimbukeni inabd tubaki na misimamo yetu

yeye Kama kaamua kuuza tigo aendelee ila asitake kutuchafulia kizazi. mafuriko yametuachia majanga hivi tukimuudhi tena MwenyeziMungu si Ndio atatuangamiza kabisa?
Hizo Mambo hatuzitaki hata kuzisikia, ni kuangamiza kizazi na jamii yetu.
 
inawezekana anatafuta mume humu Jf, atafute hukohuko us kwao Africa hatukubali huo ujinga.
Uganda wameonesha mfano na Tanzania tutawafuata siku sio nyingi.

Sidhani kama Tanzania tuna Kiongozi mwenye Ubavu wa kupinga hii kitu mbele ya Jamii za Kimataifa..
Tena hata wakisema zipigwe kura utashangaa zinachakachuliwa ili kuwaridhisha Mabwana wakubwa..
 
Sidhani kama Tanzania tuna Kiongozi mwenye Ubavu wa kupinga hii kitu mbele ya Jamii za Kimataifa..
Tena hata wakisema zipigwe kura utashangaa zinachakachuliwa ili kuwaridhisha Mabwana wakubwa..

huo ujasiru tunao tena sana. wajaribu waone.
ushoga haukubaliki kwa namna yoyote. Yeyote yule anaeuunga mkono Pole yake, anahasara hapa duniani na mbinguni anahasara zaidi
 
Mambo. .Long time!

Natumai ur all fine.
Well I may sound funny..ila hili suala nashindwa nilichukulieje kwa jinsi flow ya mambo inavyokwenda Duniani kwa sasa hivi.
I know it's totally wrong but what should be done?

Binafsi ninao marafiki gay na they are the nicest people I've ever met.

Kwa wanaowajua hawa watu nadhani mnaelewa. .ni wanaroho nzuri kuliko straight guys. Sijui why but most of em are so cool.

One of my Co~worker ni mkaka na ni gay and very open about it. .and yeye ni KE in that relationship! Yes Strange but I always carried out with his relationship advises. .He is really funny and open so huwa namuliza maswali hapa na pale nini. .Dah !
and "boyfriend wake"..daaammn he is the fire. .Hot n goodlooking. .Yani najiulizaga why? Nakosa jibu. ukienda male strip clubs yallah usiseme.
anyways blah to the blah..

Kutokana na umaskini sijui tamaa na utegemezi uliokithiri hii kitu ikishikiwa bango na hayo mataifa kwa Tanzania kulegalize sidhani kama kuna kiongozi mwenye msimamo wa kupingana nao! wanaugulia kiundani tuu.

Pili je viongozi wa dini seem to have given up this battle.
At family level nako chenga chenga. .watoto wenyewe sikuhizi sio wa kiume sio wa kike wanafugwa kamasio kulelewa! unakuta mkaka anatwerk hataree!
Well nini kifanyike. Cos apart from hiyo kitu ni watu poa sana. .kuwaadhibu kwa sheria kali again who is perfect? and that's what makes them happy! je waachwe tuu au we unadhani utamsaidiaje ?

Kwa waelewa mtanielewa .Huwezi pita siku bila kukutana nao kama 3 or 4 both gender!
What is still going wrong? What has to be done? it is wrong but isn't it personal freedom?

Yaani dada angu hapa chenga chenga tu, hiyo lugha nimerudia mara tatu lakini sijaambulia kitu. Ningechangia lakini ndio hivyo. Basi sawa, uwe na siku njema.
 
Mtoa mada sio mwanamke ni mwanaume ata ukisoma the way alivyoandika it simply defines him as a boy ili jina la swts ni jina tu everyone is fake here

Wamefungiwa taasisi yao ya sisi kwa sisi ndo wameamua kukimbilia huku, Kwanza kama anataka kuongelea ugay akawakusanye ndugu zake aongee nao.
Msonyooooooooooooooo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom