deepsea
JF-Expert Member
- Aug 10, 2013
- 3,287
- 946
i know that ila uelewe US ndio inarun duniani mkuu kubali kataa. and campaign yao ni kusambaza duniani kote.
sie wengine tukisoma kitabu cha unabii wa Daniel tunaona unabii unatimia kabisa
i know that ila uelewe US ndio inarun duniani mkuu kubali kataa. and campaign yao ni kusambaza duniani kote.
Isack Shayo. ..u sounds so exposed and open minded great thinker
shut da f* up*..Rudi darasani ujue kuandika bangi wewe.
af jinga wewe apo tena jinga af shoga la bei chee. u didn't understand my point unakuja tuu kama umeachwa na unga.
bisssh heheh u needed to calm down and enjoy your easter. Na ki thread yes it is so wat do u wanna do? bring it .Lemme see ur sense to prove how lame u are. And shost was jus a noun I cud call u idiot or anything..n u can do nothing. With ur tiny mind u dont have points to prove me wrong. .unaropoka kama mchawi aliyekamatwa. kwendraaaaaa kantangaze. .
I feel so obliged to shut u down.i didint call nobody on ma thread. .so pyeeeeee...njia ileee>>>>>>
haina floods. I'm so f♥ckn ready for you. .lemme sleep asubuhi nikuamkie. .kiherehere mkubwa wewe..u don't know me I dont need to know you..so don't mess up with me jo. nilinyamaza nikikusubiri uropoke. ef yu
bidada aliekuvuruga. .Nahisi kafa. nways polehahhahaaha umeona sasa nlivyo kwambia ww jinga umeugundua ujinga wako mbona povu linakutoa bint utachizika jf usipo kua makni, hio mitusi yote ya nn sasa umeisha shiba makande ya easter, back to the point ushoga ni ujinga wa kujitakia nothing good comes out of it stop supporting ujinga ww jitu Zima ongelea vitu vya maana
Mkuu u muelewa sana. tatizo la jamii yetu ni UNAFIKI na HUKUMU ..Na upo from family level. Na ni hatari kwa Taifa. nichukue mfano. .Kuna blog moja huwa inatoa harusi na shughuli nyingine. .unakuta mtu amevaa vituko ama make up ipo kama nyani. .unawaza je wakati anatoka home hawa kuona? Au bibi harusi amechorwa make up like haloween witch. .ila watu wana smileNi tatizo, naona hata kujadili tatizo watu wanaona ni dhambi. Sielewi kwa nini wengi wamekuwa wakali kujadili ushoga ili hali Tanzania inakuwa na idadi kubwa ya mashoga kila kukicha. Kama mnataka kutatua tatizo, shurti litazamwe na kujadiliwa na jamii.
Familia nyingi za kitanzania haziwezi kujadili ushoga hadharani, fikiria kijana wako kajiingiza katika huo uchafu, wewe kama mzazi/mlezi unashindwa hata kuliongelea/kujadili na wanajamii wenzako, je utaweza kumsaidia kijana?
Naamini katika uwazi na kuongelea jambo bila kujitafuna, kuongelea jambo kama hili hakumaanishi kuwa mtu ni shoga au anasimama na mashoga, bali kuonyesha jamii yetu kuwa hawa watu wapo na tunahitaji kufanya kitu. Swts mimi sioni ubaya kuleta uzi wa namna hii, ila wenye ufaham tofauti kidogo ndio watakuelewa, wengi hawataki hata kuliongelea... ndivyo maisha yalivyo..
Mkuu u muelewa sana. tatizo la jamii yetu ni UNAFIKI na HUKUMU ..Na upo from family level. Na ni hatari kwa Taifa. nichukue mfano. .Kuna blog moja huwa inatoa harusi na shughuli nyingine. .unakuta mtu amevaa vituko ama make up ipo kama nyani. .unawaza je wakati anatoka home hawa kuona? Au bibi harusi amechorwa make up like haloween witch. .ila watu wana smile
utasikia Amependeza but behind her back wanasema vibaya hatari. .sasa ukija suala la ukahaba, ushoga. .yes vipo sana ttuu ila sasa hata kuongelea watu wanashindwa wanajifanya hawausiki nakuwa wakali. .ni wakati sasa kila mtu asimame kwa nafasi yake asaidie. Me I'm not gay/lesbian. .nope. but that doesn't stop me to say wat I see from them. At least ninaowajua. yes nadhani kutokana na what they are into wapo insecure and decided to be nice to fee loved. for my view. hii tabia ni mbaya sana na katika boarding schools in Tanzania zipo ila who to step up? ! wote wanafiki wanaishia kusema pembeni but wakiwa nao wanajifanya wema hata ha wazungumzii.
hii tabia ni mbaya sana na katika boarding schools in Tanzania zipo ila who to step up? !