andate
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 2,651
- 1,024
wananchi wenye hasira kali mmepanic lol...
Does it mean ukija kujua ndugu yako ni gay or lesbo utamuua?
Mnabwabwaja bure.
Im against it ila jinsi dunia inavyoenda kizazi kijacho watazidi kuongezeka.
Hivi bilal , paco deco na yule designer wa kihindi na yule mwingine wa kibongo si homosexua?na wapo Bongo.mbona hawajauawa na kazi zao zinakubalika tena na watu wamaana.
I knw its a sin ila yes they are human being jus like us,wanatenda dhambi kama dhambi nyingine mnazoshea. Je what has tobe done??????
Mnapanic mnatukana as if i care.. Cmon!
I c wings here..we gotta lots of angels huh..
Chai!!
Tatizo kuna watu wanavifira vitoto vidogo mpaka vinalemaa.
Ufumbuzi hapa ni kuvichunga vitoto vya kiume.
Mombasa vitoto vya kiume kabla jua halijazama wazazi wanahakikisha wamevifungia ndani. baada ya jua kuzama nje utakuta vitoto vya kike ndio vinachezacheza.