Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

Status
Not open for further replies.
Hesabu ya haraka haraka inaonyesha Waislam wa Tunduma watahisi wameonewa kwa uchache wao hivyo watawaambia wa Tanga,Lindi,Mtwara,Zanzibar,Pwani,Dar es salaam,Tabora na Kigoma stand up KHISAS ni lazima.Baada ya hapo mikoa yenye majority ya wakristo nao kama Arusha,Mbeya,Mwanza,Iringa na Mara nao watareact na huo ndio utakuwa mwanzo wa Genocide.Tunayoyatafuta tutayapata.Sisi ni binadamu kama binadamu wengine waliopo Nigeria,Bosnia na nchi nyinginezo zilizopitia mateso ya namna hii.God Forbid
 
Acha kupotosha mkuu hili wala halisaidii badala yake unazidi kuharibu tu!! Serikali ilisema kwa matumizi ya umma ndiyo wachinje waislamu lakini kwa matumizi ya kifamilia hapo hauingiliwi na mtu!! Wewe nunua ka kuku kako au ka nguruwe then chinja na ule na familia yako uone kama kuna mtu atakuhoji!!

Kwa nini kwa Matumizi ya Umma ndio Waislamu Wachinje?
 
Vurugu za kijinga. kwani kuna shida gani muisilamu kuchinja kama ni sehemu ya ibada yake? Maadamu hiyo si ibada kwa mkristu wangeachiwa tu waisilamu wachinje na wakristu watafute kazi nyingine.
We unaakili mbovu sana au huna dini?unafikiri kukosa kumjua mungu wako ni jambo rahisi na kwa wenzio sio?Go to hell Pagan
 
Acha kupotosha mkuu hili wala halisaidii badala yake unazidi kuharibu tu!! Serikali ilisema kwa matumizi ya umma ndiyo wachinje waislamu lakini kwa matumizi ya kifamilia hapo hauingiliwi na mtu!! Wewe nunua ka kuku kako au ka nguruwe then chinja na ule na familia yako uone kama kuna mtu atakuhoji!!
Hapa ndipo kwa wale wakristo wenye siasa kali wanadai kuwa uchinjaji huo wa walislamu ni Ibada na wao hawataki kushiriki ibada ya waislamu. Halafu kwani Umma ni nini? Wakristo siyo Umma?
 
Jamani kwa nini tugombanie kuchinja? Mbona mabucha ya kitimoto yapo tele nchini na wala hakuna anayelalamika. Watanzania tumeacha mambo ya msingi na kung'ang'ania mambo ya kipuuzi! Kwa nini tusijadili mambo ya msingi katika mustakabali wa nchi yetu? Huyo mkuu wa Wilaya kwa nini anaona ni big deal sana wakristo wakichinja!Si waache wachinje mbona kiti moto wanajichinjia wenyewe? Tatizo viongozi wetu wanaongozwa na mihemko badala ya fikira yakinifu?
Maduka yote yamefungwa matairi yanachomwa barabarani, magari ya


polisi yanamwagwa mitaani.Chanzo cha vurugu ni mkuu wa wilaya kuzuia wakristu kuchinja na kwamba wanaoruhusiwa ni waislam tu.!!

Apdate:
diwani anajaribu kuongoea na polisi kama kuna uwezekano wa kusitisha mabomu ili aitishe mkutano wa hadhara..hali bado ni mbaya sana mabom yanapigwa mfululizo.!!

Apdate: saa nane mchana

polisi wameingia mitaani kulazimisha watu kujifungua ndani, polisi ni kama wamezidiwa wakitawanya upande huu raia wanahamia upande mwingine. Matairi yanachomwa kama kawaida na mabom yanapigwa mfululizo.... Hakujasikika kifo chochote.!
 
Naona wengi wenu mnaleta comments za kimbwa koko tu bila kujua/kuzingatia uhalisia wa jambo. Kwanza hakuna mtu alokatazwa kuchinja wether moslem or non-moslem, na hili jambo jana limezungumzwa katika kikao cha kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa chini ya RC, kimsingi ni kwamba mabucha ni ya serikali na kubadili utaratibu wa uchinjaji ghafla kama wapumbavu wengine wanavyotaka ni ngumu ni lazima u-project impacts kabla ya ku-take decision na kimsingi impacts are worse, serikali kwa kuliona hilo imepanga kukutana na wawakilishi wa pande zote muda si mrefu kwa ajili ya kuzungumzia suala hili. Ni punguani wa akili aliye myopic ndie atawa-support wavuta bange wa huko Tunduma katika uletaji wa vurugu hizi. Na kauli kutoka kwa serikali ni kwamba kila atakaekutwa amehusika regardless mchungaji or whoever sheria itachukua mkondo wake period.
 
Kwa mujibu wa IDAWA chanzo cha vurugu ni kauli ya mkuu wa wilaya kukataza wakristo kuchinja kwa ajili ya matumizi ya jamii nzima ya Tunduma, sasa inakuwaje tena badala ya kuchoma moto ofisi ya mkuu wa wilaya badala yake msikiti ndiyo uchomwe moto??

Watu humu wanajitoa akili kwa matakwa ya nafsi zao, serikali clearly imesema mchinjaji kwa kwa jamii nzima waendelee kuwa waislamu lakini kwa mahitaji yako na familia yako basi wewe chinja tu hakuna shida sasa watu hawaelewi nini? Mathalan kwasasa nchi nzima kuna mabucha ya nguruwe na hakuna shida katika hilo kwanini basi kama issue ni kuchinja hizi nyama wanazochinja wakristo wasiziuze kwenye mabucha yao ya nguruwe badala ya kuendelea kutaka wachinje kwa matumizi ya jamii nzima? Kwanini wasiweke mabucha kwenye nyumba zao za ibada then wauziane wao kwa wao? Kwa hilo mnalolitaka solution ni nchi igawanyike kulingana na imani ya mtu!!!
Ndugu yangu hapo kwenye red, Geita walifanya kama ulivyopendekeza. Lakini Waislamu wakaenda kuvamia baada ya nyama kwenye bucha zao kukosa wanunuzi, na nadhani ulisikia kile kilichotokea. Walikutana na mchungaji akiwa katika shughuli zake tu wala hahusiki na nyama zao walimkamata na kumchinja kama kuku.
 
Mdini wa kwanza, " MDINI GIANT" ni Mwl Nyerere watu hawaujui ukweli !
Someni vitabu muujue ukweli...

Mwl Nyerere aliasisi na aliwapa Wakristo ruzuku kubwa kuendesha shule na mahospitali , aliwasamehe kodi vifaa vyao vyoote na yet huduma hizo hazitolewi buree...mambo haya ndio yaliyojenga UHASAMA kati ya Dini hizo mbili kubwa Tanzania !

Mahali kokoote ambako KANISA linastawi jamii husika lazima iporomoke kiuchumi na idhalilikee, Rejea Liberation Theology dhidi ya Kanisa !
Sio zamani tu hata sasa wakristo wanapewa ruzuku kubwa kuendeshea mashirika ya huduma za jamii kwa sababu wanamahospitali makubwa,mashule,vyuo vikuu na vya kati,maseminari ya wanawake kwa wanaume,miradi ya nguvu kuliko hiyo serikali yenyewe.Ulitaka serikali itoe pesa ya kuendeshea misikiti na madrasa?Ninyi wakija waarabu wanawajengea vituo vya karate wazungu na wakristo wanajenga mashule halafu unasema nyerere mdini...Nenda hata uarabuni utakuta Kanisa lina mashule na mahospitali na wakristo wamesoma kuliko waislamu hata Mungu Allah anajua hivyo...Mashehe wanajua kuwa Wivu unawasumbua juu ya Ukristo...Ukristo ni dini ya Amani na sio Uislamu Angalia duniani asilimia 80% ya vita ni kutokana na uwepo wa Uislamu...Unapowaza usimame maana kiungo unachowazia ndo hicho ambacho umekikalia ndg yangu..
 
Kwa mujibu wa IDAWA chanzo cha vurugu ni kauli ya mkuu wa wilaya kukataza wakristo kuchinja kwa ajili ya matumizi ya jamii nzima ya Tunduma, sasa inakuwaje tena badala ya kuchoma moto ofisi ya mkuu wa wilaya badala yake msikiti ndiyo uchomwe moto?? Watu humu wanajitoa akili kwa matakwa ya nafsi zao, serikali clearly imesema mchinjaji kwa kwa jamii nzima waendelee kuwa waislamu lakini kwa mahitaji yako na familia yako basi wewe chinja tu hakuna shida sasa watu hawaelewi nini? Mathalan kwasasa nchi nzima kuna mabucha ya nguruwe na hakuna shida katika hilo kwanini basi kama issue ni kuchinja hizi nyama wanazochinja wakristo wasiziuze kwenye mabucha yao ya nguruwe badala ya kuendelea kutaka wachinje kwa matumizi ya jamii nzima? Kwanini wasiweke mabucha kwenye nyumba zao za ibada then wauziane wao kwa wao? Kwa hilo mnalolitaka solution ni nchi igawanyike kulingana na imani ya mtu!!!
Hivi kwanini mnatulazimisha kushiriki ibada yenu? Njoni basi mchinje nguruwe? Si mwende kununua nyama kwenye mabucha mnayoamini ni ya waislamu? Nani amewalazimisha kununua kwa wakristu? Acheni ujinga. Serikali haina dini hivyo haiwezi kuteua dini ya kuchinjia, Kama serikali imesema waislamu wchinje iseme wchinje basi na nguruwe.
 
Hapa ndipo kwa wale wakristo wenye siasa kali wanadai kuwa uchinjaji huo wa walislamu ni Ibada na wao hawataki kushiriki ibada ya waislamu. Halafu kwani Umma ni nini? Wakristo siyo Umma?

Lakini mkuu kama kuna mabucha ya nguruwe kwanini huyu mtu aendelee kwenda kununua nyama kwenye mabucha ya umma? kwanini asiende kwenye mabucha ya kitimoto ambayo yanafuata imani yake?
 
Mbona unashiriki mialiko ya futari?

...tuhakikishie kuwa mkipata mabucha yenu hamtashiriki katika shughuli zozote za Waislamu, halafu sijui utakwepa vipi kula kilichochinjwa na Waislamu wakati tunachangia mahoteli,migahawa n.k...sielewi utafanikiwa vipi kukwepa kilichochinjwa na Muislamu bila ya kutengana maeneo ya kuishi!

Pigania tutengane kimaeneo ya kuishi badala ya kupigania kuchinja!...huu ndio ushauri wangu kwako na Wakristo wengine.

Kwa taarifa yako Waislam na wakristo tumekuwa tukila nyama wanazochinja watu wa dini mbali mbali tatizo ni pale kikwete anapotaka kulazimisha watu wale nyama zilizochinjwa na waislamu tu, ndiyo hapo imeleta utata, na tukigawana kila mtu ajichinjie mwenyewe wakristo hawataumia hata chembe maana wao kuchinja siyo ibada.
 
..ninavyoujua ule mji... kazi itakuwepo.. vijana wapo consciouss sana pale...

Pinda panda ndege..
 
Baba wa nyumba ukiwa legelege kila mtoto ndani ya nyumba anaota ndevu na kuanza fanya maamuzi!


Katika safu hii, wiki mbili zilizopita nilipendekeza kwa uchokonozi kuwa itafika wakati mtu akiwa kiongozi wa nchi aikane dini yake ili kutuhakikishia kuwa dini yake si kigezo cha kutuongoza.

Hii ni kwa sababu watu wengi na hata watendaji waandamizi serikalini wanafanya kazi zao kwa kuongozwa na hisia za ama kuitetea au kuisingizia dini ya kiongozi wa nchi.

Hali inakuwa mbaya zaidi ikiwa kiongozi huyo kwa kauli zake rasmi na zisizo rasmi, anawajengea watendaji hao fikra za kuwa anaijali sana dini yake au anajali sana uwiano wa dini katika maamuzi yake.

Hilo linapotokea, mawili yanaweza kujitokeza. Kwanza, dini ya Rais inaweza kufanywa kuwa dini “rasmi” bila makubaliano rasmi katika nchi. Urasmi huu usiotokana na makubaliano rasmi ndio unaopelekea kurasmisha mitizamo ya zamu za dini katika kutawala nchi yetu. Kwamba, akimaliza rais mwislamu lazima aje mkiristo au kinyume chake kwa sababu tu, dini ya rais ni kigezo cha kuchaguliwa na akiingia madarakani, dini yake ndiyo dini rasmi ya nchi.

Ninapozungumza na watendaji waandamizi wa serikali ya sasa, ninapata uthibitisho wa ninachokiandika hapa. Kwamba, mtendaji anapotumwa kutatua mgogoro wa kidini mahali popote anaongozwa na hofu ya kutokiuka matashi ya dini rasmi ambayo ni dini ya rais.

Baadhi ya watendaji wamefikia hatua ya kukwepa kwenda na kuishia kuwatuma walio chini yao ili wakwepe kuhusika na utatuzi wa mgogoro huo. Hili linaweza lisiwe kosa la rais au la dini yake, bali kosa la watendaji wasiojiamini au pia wanaoongozwa na utashi wa dini zao.

Jambo la pili ni hulka ya serikali kukwepa kuzungumzia migogoro ya kidini kwa namna iliyo wazi. Hata kama huu umekuwa ni mtindo wa serikali hii tangu ilipoingia madarakani, kuna mambo ambayo serikali ikiyakalia kimya inapoteza uhalali wa kuongoza.

Migogoro ya kidini ni suala tete linalohitaji uongozi thabiti na usioyumba. Si suala la kufanyia mzaha na kubembeleza. Imani za dini si sehemu ya misingi ya utawala wa nchi na kwa hiyo msimamo wa serikali inabidi usemwe na kiongozi mkuu wa nchi bila kuacha chembe ya shaka kuwa anatania. Hili likifanyika kwa wakati na mara kwa mara, hata dini ya rais huogopa kutumia jina la rais na dini yake katika kukoleza migogoro ya kidini nchini.
 
Ndugu yangu hapo kwenye red, Geita walifanya kama ulivyopendekeza. Lakini Waislamu wakaenda kuvamia baada ya nyama kwenye bucha zao kukosa wanunuzi, na nadhani ulisikia kile kilichotokea. Walikutana na mchungaji akiwa katika shughuli zake tu wala hahusiki na nyama zao walimkamata na kumchinja kama kuku.


Hapana mkuu!!Kwa mujibu wa hotuba ya juzi ya JK tatizo lilianza pale nyama hiyo iliyochinjwa na wakristo kutaka kuuzwa kwenye bucha la kijiji cha buseresere!! Si kweli kwamba waislamu waliwavamia hao watu wakiwa kanisani.
 
Lakini mkuu kama kuna mabucha ya nguruwe kwanini huyu mtu aendelee kwenda kununua nyama kwenye mabucha ya umma? kwanini asiende kwenye mabucha ya kitimoto ambayo yanafuata imani yake?
Hoja hapa ni kwa nini wakristo wazuiliwe kuchinja? Kama waislamu wanaona wenzao wakichinja ni haramu basi kuwe na mabucha yanayouza nyama zilizochinjwa na wakristo na zile zilizochinjwa na waislam!! Tatizo liko wapi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom