tatizo watu wengi ni wakristo wa majina hawamjui mungu wanayemwabudu na neno lake, mfano: Biblia inasema katika hosea 4:6 "watu wangu waangamizwa kwa kukosa maarifa, kwa kuwa umeyakataa maarifa nami nimekukataa usiwe kuhani." wakristo mwanzoni hawakujua kwamba siku zote walikuwa wanakula vitu vilivyotolewa sadaka kwa mashetani au miungu mingine. Sasa baada ya mungu kuwajulisha kwamba uchinjaji kwa waislamu ni ibada na ndio maana mnyama wakati wa kuchinjwa lazima aelekezwe kibra huko maka, huwezi kuwalazimisha kuendelea kula vyakula vilivyoungamanishwa na miungu ya kigeni/
maisha ya mazuri muda mrefu usio na mwisho ni baada ya kutoka katika dunia na vitu unavyoiita vya kipuuzi ndivyo vinakupa nafasi ya kuingia katika maisha hayo mazuri. Ukiendelea hivyo utaingia maisha ya shida sana. Hapa serikali wanapaswa kumaliza jambo hili kwa hekima ndogo tu