Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

Status
Not open for further replies.
said sabike acha hisia hizo. haya mambo yameanzan geita na kila sehemu tanzania wakristo wanalalamika. chuki yako ya chama kalale nayo nyumbani. hapa tunaongelea kuchinja, kuna waislamu, wakristo wapagani na wengino. au ulisikia buseresere geita kulikuwa na suala la kichama. chuki ndio inaongeza madhara kama haya. ilaumu serikali ilitufikisha hapa
 
polisi wameishiwa mabomu ya machozi wameingia mitini. Kwa hiyo raia wanataka kwenda kuchoma msikiti nimejaribu kuwashauri imeshindikana
Mkuu wewe ndio mshitakiwa namba moja mpaka hapa. Aya tuambie wangapi wamegongwa mpaka kufa kwa vitu vyenye ncha Kali?
 
kwa kesi ya tunduma watu wanaweza wakawa wameanzisha vurugu kufanya mambo yao mengine, tunduma ni sehemu yenye pilika nyingi za biashara, hivyo yawezekana kabisa watu wamelianzhisha waibe vya wenzao ..........

nchi inapokuw ana watu waliochoshwa na uendeshaji wake au hali ya maisha kwa ujumla chochote wananchi wanaweza kufanya hali ya tanzania imefika hapo.
 
tatizo hapa ni serikali dhaifu hivi rais wa nchi hii ana kauli kweli na madaraka?au yupo tu his word should be final
 
Haya yanatokea chini ya utawala wa ccm na rais J. Kikwete. Ni kwanini?
 
tanzania kwa sasa ni kama meli inayoenda mrama wakati wowote inaweza zama,

huu udini ukichekewa anaweza akawa adui mkubwa wa maendeleo ya taifa letu .
hapa ndio tutamkumbuka nyerere kwa nini alikuwa akikemea udini na ukabila kwa nguvu zote
 
Nlikuheshimu sana Mkeshaji ! Nimeziona busara zako na nimeondoa shilingi yangu kwenye heshima nliyokuwa nakupatia !

Kwahiyo Waislamu wao kuchinja ni ibada na ni ibada ya mapepo sio ? Hujaondoa tatizo ila umekoleza moto yaani wewe huna tofauti na hao wazee wa CCM -Lumumba wakina nani hiii, hawana suluhisho !


Kwani miaka 50 iliyopita tamaduni hii ya kuchinja ili mule woote ilifanyika kwa watu wa dini gani ? Kwanini haikuwa ni Ibada ya mapepo ila iwe leo ?

Yale yale " Tutahakikisha nchi hii haitawaliki " !


Wewe unapata faida gani kulazimisha hadi kuua watu eti unataka kuchinja nyama usiyoila wala haikuhusu kama siyo ushetani?
 
CCM mnavuna mlichopanda sasa kuleni mmekuwa mabubu, ngumu kumeza ngumu kutema kudadadadadadekk!
Wassira alitamka hapa Mwanza kwamba mwenye haki ya kuchinja ni muislam(muuendelezo uleule wa CCM ), sasa sijui alitumwa na Serikali na ndiyo kauli ya Serikali au ni ya CCM au ni ya kwake mwenyewe sielewi.

Waandishi wa habari mko wapi? Habari za ukweli tena live updates hamzitaki wala hamuhoji? Mko tayari kumpigia simu Shonza, Mwampamba mpate habari za Saa8, Dr. Slaa, Mbowe, Zitto +habari za video za mbao ila masuala ya msingi hamuhoji wala kupiga simu. Au kwa sababu hampewi hela?
 
Hivi nyie watu Chadema imewafanyia nini? Chadema hapa inaingiaje? Watu wameamua wajichinjie vitoweo vyao halali ili wale alafu anatokea mtu anasema wapelekewe watu wafanye ibada ukipinga basi wewe ni Chadema, nyie baadhi ya waislam mnataka kuishushia sana dini yenu ionekani wote ni wafinyu wa mawazo

suala hili limeshupaliwa na diwani wa chadema tunduma.china namchungaji mwamafupa ambae badala ya kuhubiri injili kanisani anahubiri jinsi ya kuiondoa serikali ya ccm.aidha vijana wanaofanya fujo si wa tunduma wametoka mby
 
Hawa mburula hawakoma tuu! Wafuasi wa sheikh Ponda wanajuta! wananyea debe! Kila mkiristo achinje kitoweo chake! kwanza siku hizi kuna kuwekeana sumu kwenye vyakula.
 
jamii ni wakristu na waislam! Labda kama unaweza kuja na ushahid wa makubaliano ya wakristo na waislam kuhusu nan achinje! We took it naturally, with respect of others bliefs but inapotokea heshma mtu anaigeuza kuwa amri ndo tatzo linapoanzia! Hatupendi yatokee thats why tunaomba tupate suluhu
waambie bana mnyoo ......sisi kwetu unaweza kutembea kijiji kizima kutafuta sheikh achinje ! Tunafanya hivo kwa usaatrabu wetu tuliofundishwa na kristo! Iweje leo iwe lazima .......jamani mbona mnatuamsha hata tuliolala! Mimi sijawi kumwangalie mtu kwa dini yake !cos hata yangu sina uhakika naitekelza kwa kiwango gani !iweje dini ya mtu mwingine kunzia sasa naanza kujichnja menyewe !
 
Nlikuheshimu sana Mkeshaji ! Nimeziona busara zako na nimeondoa shilingi yangu kwenye heshima nliyokuwa nakupatia !

Kwahiyo Waislamu wao kuchinja ni ibada na ni ibada ya mapepo sio ? Hujaondoa tatizo ila umekoleza moto yaani wewe huna tofauti na hao wazee wa CCM -Lumumba wakina nani hiii, hawana suluhisho !

Kwani miaka 50 iliyopita tamaduni hii ya kuchinja ili mule woote ilifanyika kwa watu wa dini gani ? Kwanini haikuwa ni Ibada ya mapepo ila iwe leo ?

Yale yale " Tutahakikisha nchi hii haitawaliki " !
Tatizo watu wengi ni Wakristo wa majina hawamjui Mungu wanayemwabudu na neno lake, mfano: Biblia inasema katika Hosea 4:6 "watu wangu waangamizwa kwa kukosa maarifa, kwa kuwa umeyakataa maarifa nami nimekukataa usiwe kuhani." Wakristo mwanzoni hawakujua kwamba siku zote walikuwa wanakula vitu vilivyotolewa sadaka kwa mashetani au miungu mingine. Sasa baada ya Mungu kuwajulisha kwamba uchinjaji kwa Waislamu ni ibada na ndio maana mnyama wakati wa kuchinjwa LAZIMA aelekezwe kibra huko Maka, huwezi kuwalazimisha kuendelea kula vyakula vilivyoungamanishwa na miungu ya kigeni/
MAISHA YA MAZURI MUDA MREFU USIO NA MWISHO NI BAADA YA KUTOKA KATIKA DUNIA NA VITU UNAVYOIITA VYA KIPUUZI NDIVYO VINAKUPA NAFASI YA KUINGIA KATIKA MAISHA HAYO MAZURI. UKIENDELEA HIVYO UTAINGIA MAISHA YA SHIDA SANA. Hapa serikali wanapaswa kumaliza jambo hili kwa hekima ndogo tu
 
Sasa Tanzania inaelekea wap....?
Bora Mwalimu Nyerere angekuwepo kwasababu alipiga xana vita udini na ukabila. Pia viongozi wa serikal hawatak kuingilia maswala ya Dini

Mdini wa kwanza, " MDINI GIANT" ni Mwl Nyerere watu hawaujui ukweli !
Someni vitabu muujue ukweli...

Mwl Nyerere aliasisi na aliwapa Wakristo ruzuku kubwa kuendesha shule na mahospitali , aliwasamehe kodi vifaa vyao vyoote na yet huduma hizo hazitolewi buree...mambo haya ndio yaliyojenga UHASAMA kati ya Dini hizo mbili kubwa Tanzania !

Mahali kokoote ambako KANISA linastawi jamii husika lazima iporomoke kiuchumi na idhalilikee, Rejea Liberation Theology dhidi ya Kanisa !
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom