Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

Status
Not open for further replies.
Mkuu tuletee picha japo ya duka moja tu lililofungwa au tairi lililochomwa barabarani, ikiwezekana hata gari la Polisi
 
ukweli hisia hizi zinachochewa na viongozi wa chadema tunduma

Hivi nyie watu Chadema imewafanyia nini? Chadema hapa inaingiaje? Watu wameamua wajichinjie vitoweo vyao halali ili wale alafu anatokea mtu anasema wapelekewe watu wafanye ibada ukipinga basi wewe ni Chadema, nyie baadhi ya waislam mnataka kuishushia sana dini yenu ionekani wote ni wafinyu wa mawazo
 
baadhi ya picha ya maduka yaliyo fungwa.
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1364977176893.jpg
    uploadfromtaptalk1364977176893.jpg
    81.3 KB · Views: 396
Kwa nini hakutuletea imani moja tu?

Iman imaja tu na ndio maana adam hawa na wengine ni hao hao tu.yesu,issa,jesus,bebeto,jeswie ni mtu huyohuyo so mapokeo yametufanya tukafikia hapa but din ni moja tu.m,/mungu katupa mtihan na hatutafaulu mpaka siku ya mwisho
 
Mungu na aepushe maafa hayo kwa kweli, mbona tumechoka kusikia watu wanakufa hovyo, Mungu saidia
 
Nashauri suala la Kuchinja liwekwe kwenye katiba mpya ili kuondoa migogoro na malumbano ya kidini ambayo yanaatarisha amani yetu! Kila raia awe mwanaume au mwanamke aruhusiwe kuchinja.

Wengine tuliyaweka kwenye maoni yetu kuwa katiba ibainishe kila mtu awe huru kuchinja.
 
Sasa Tanzania inaelekea wap....?
Bora Mwalimu Nyerere angekuwepo kwasababu alipiga xana vita udini na ukabila. Pia viongozi wa serikal hawatak kuingilia maswala ya Dini
 
Maduka yote yamefungwa matairi yanachomwa barabarani, magari ya polisi yanamwagwa mitaani.Chanzo cha vurugu ni mkuu wa wilaya kuzuia wakristu kuchinja na kwamba wanaoruhusiwa ni waislam tu.!!

Mi nadhani Serikali isingilie imani za watu, binafsi naamini kula nyama aliyochinja mtu muislam siyo vizuri kwasababu hii ni ibada kwake, kwanini nishiriki ibada nisiyo amini?????????? Serikali isilazimishe watu kushiriki ibada za kiislam
 
Jk mbegu ya udini iliyopandwa kwenye propaganda za kisiasa zimeanza kukulipa sasa
 
Maduka yote yamefungwa matairi yanachomwa barabarani, magari ya polisi yanamwagwa mitaani.Chanzo cha vurugu ni mkuu wa wilaya kuzuia wakristu kuchinja na kwamba wanaoruhusiwa ni waislam tu.!!

Ebu taja jina la mkuu wa wilaya
 
Tupe habari kimili haya mambo hayahitaji ushabiki, tupe taarifa ili tujadili namna ya kutatua hili tatizo maana wote sisi ni ndugu,ni wakati wa kujiuliza tumetoka wapi?, tumefikaje hapa? na tutatokaje hapa?
 
Akili mgando + ubongo wa konokono

ndio zenu utumbo mtupu mnataka kuitia nchii kwenye vurugu njama zenu za kuigawa nchi hazitafanikiwa nani asiejua kuwa ninyi ni vibaraka wa mabeberu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom