Nyakipambo
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 435
- 141
Ukweli watu wasiotaka kusema ni kuwa kama Wakristu wakiruhusiwa kuchinja nyama nyingi itakayochinjwa na Waislam itakosa soko. Na hilo ndilo linalowatia kigugumizi Waislam na Viongozi wa Serikali
Ukweli watu wasiotaka kusema ni kuwa kama Wakristu wakiruhusiwa kuchinja nyama nyingi itakayochinjwa na Waislam itakosa soko. Na hilo ndilo linalowatia kigugumizi Waislam na Viongozi wa Serikali
Hata kama CCM ndio ilianzisha udini, lakini hii ndio njia sahihi ya 'kuiadhibu' hiyo CCM? Wanaoumia, kupotezz mali au hata maisha ni wananchi wa kawaida, ambao wengine hawana maslahi na CCM kabisa. Kwa nini mtu au chama kikianzisha jambo baya watu wengine wakishikilie?Ccm ilianzisha udini sasa kazi kwao.
mi vyema tukutumia kaili zetu kutafuta suluhu ya haya matatizo kila mtu ana imani yake na hili ni suala la imani ambapo bila kutumia busara hatutafika mbali.ombi ni kutatua tatizo kuliko kuanza kulaumianaBaada ya maandamano ya kisiasa kushindwa, sasa ni mwendo wa uchochezi wa kidini! Ilimradi NCHI ISITAWALIKE!
Kwa kweli unakumbukumbu. Ni kweli alianza na chura.wakati wa mgogoro kati ya Wakristo na Waislamu juu ya mabucha ya Mwembechai serikali kupitia rais by then Mzee Mwinyi ilitoa tamko. (anayetaka kula chura ale, mbwa ale, ng'ombe nk ale - maarufu kama 'rukhsa'). Na hilo lilituliza hali iliyokuwa ikijengeka kabla ya kurejeshwa na hawa wa sasa.
Tofauti na hotuba ya JK juzi ameendeleza mlolongo wake wa kulaumu utadhani naye ni mwananchi kama mimi niliyeko hapa kisiwani Bumbiire!
Hii kwa hakikia imeongeza mgogoro huu ambao ulianza kimasihara na hivyo kuonyesha kuwa kuna jambo nyuma ya pazia linaendelea.
Tanzania eh!