Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

Status
Not open for further replies.
Msifikiri nyie mnaochochea udini siku ikitokea udini kweli kweli nyie mtasalimika, hapana tena mtakufa vizuri tu
 
Udini unaletwa na serikali ya CCM. Ikumbukwe kuwa Mkuu wa Wilaya ni kada wa CCM na pia Mwenyekiti wa ulinzi na usalama. Na huu udini aliuanzisha mkuu wa mkoa wa MWanza ambaye pia ni kada wa CCM ngazi ya mkoa. Aina hizi mbili za makada wameainishwa kwenye katiba ya CCM. Kama kauli zao ndio zinasababisha haya madhara; kwa mtu mwenye akili timamu hahitaji kujibiwa.
Lakini pia kwa nini rais na serikali yake anajaribu kukumbatia mbuyu na kuwa na kigugumizi kuweka bayana kuwa kila mtu nana haki ya kuchinja atakacho na kula apendavyo maadamu havunji sheria?
 
Mi nashangazwa sana! Nafikiri pana haja ya kuekwa butcher zenue Halal Certification na za kikristo, za kiyahufi, kihindu na nyengine, muhimi ziwe na nembo tu ya kila dini, na butcher 1 isiruhusiwe kuuza nyama kwa dini mbili tofauti!


na hoteli je? muislamu atajuaje kuwa nyama anayokula ilinunuliwa ktk bucha ya kiislamu? hudhani kuwa jambo hili litahamia ktk hoteli? nazo itaabidi ziwe na nembo ya kiislamu na kikiristo?

tanzania tumekwisha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ndugu zangu jana nilizungumzia mambo yaliyokua yakizungumzwa kwenye chaguzi za wajumbe wa mabaraza ya katiba,ni udini mtupu na wa hatari kwa kuwa upo ngazi za chini kabisa kwa sasa.Ningeomba wana JF tuje tutafute namna ya kulijadili suala hili hapa JF kwa kuwa wakati mwingine serikali huchukua maoni humu na kuyafanyia kazi.
 
vile kuna bucha za nguruweambazo zinahudumia wakristo peke yao, kwa nini nyama ya wakristo isnunuliwe huko?
 
Wakristo tuna Msikitish na kumuhuzunisha Bwana wetu Yesu Kristo.

Tunakuwa kama Mafarisayo walivyokuwa wanajuhudi ya kushika -na kuzifuata sheria za Musa hata ikibidi kufumbia macho Matendo Mema na yakibinadamu ambayo ndo ilikuwa msingi na dhumuni ya sheria zote zile.-

Na sisi vivyo hivyo, tunaanzisha vurugu, au hata kama si kuanzisha tunashiriki katika vurugu, kupigana, kuchinjana na kudhuru wengine eti tunatetea imani yetu na haki yetu kama wakristo kuchinja.

Tunashikilia sheria ya kula nyama iliyo chinjwa na Waislamu kiasi tunasahau amri kuu ya Yesu na Injili ya Yesu "mapendo".

Unconditional love to all, wanatuchukia na hata wanao tupersecute. Jesus forgave and prayed for those that Crucified him.

Ni vipi tunaitangaza injili kama na sisi tukiwa tunashiriki katika fujo? How is Mungu glorified sisi tunapong'ang'ania kuchinja kitoweo?

Tunamtangazaje Yesu tunaposhiriki katika vurugu zinazoprlekea vifo vya watu?

Unafikiri Yesu atakasirika au Mungu atakuhukumu ukila Nyama ilichinjwa na Muislam kwasababu kwake yeye ni ibada?

Then why do we pray before eating? Is it not to sanctify the food?

Hatuamini katika kuombea chakula hata kilichokichafu na kuwa kitakatifu?

Tunasahau Yesu alivyowatuma wanafunzi wake 72 na akawaambia "Stay there, eating and drinking whatever they give you, for the worker deserves his wages. Do not move around from house to house. "When you enter a town and you are welcomed, eat what is offered to you.(Luke 10:1-23)

Bwana wetu Yesu Kristo alisema "Pendaneni kama nilivyowapenda mimi"

"Mpende Jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe"

Jirani yako ni nani?
Rudia parable ya Good samaritan
Naona umeamua kumsaliti mwana wa mtu kwa kupiga busu! Huwezi kutumikia Mungu na tumbo lako.
 
RGforever:
Mwandishi wetu kutoka Tunduma mkoani Mbeya anaripoti kuwa vurugu hizo zimeanza majira ya saa nne asubuhi kwa makundi ya vijana kuandamana mitaani na kuvutana kuhusu uamuzi wa viongozi wa dini ya kikristo Tunduma kuandika barua kwa mkuu wa wilaya kutaka kuruhusiwa kuchinja wakati wa pasaka.

Ripota wetu anaripoti kuwa kabla ya ijumaa kuu viongozi hao wa dini ya Kikristo walikutana na mkuu wa wilaya ya Momba Abuud Saibea ambae aliwataka kuwasilisha barua rasmi ya kutaka kibali cha kuchinja

Lipo tatizo kubwa la kutokutumia busara katika kuyashughulikia matatizo yeye mtazao wa kidini.
Mkuu wa Mkoa...Abbas Kandoro.... Muislamu
Kamanda wa Polisi Mkoa......Diwani Athuman. .. Muislamu
Mkuu wa Wilaya...Momba Abuud Saibea .... Muislamu

FFU wametoka Mbeya kwenda Tunduma na si kutuliza ghasia bali kuongeza ghasia.

Mtazamo wa kuwa viongozi wa kiisamu wanatumia malaka yao kuwadhibiti wakristo si rahisi kukwepeka katika hili.
 
]Hivi nyie watu Chadema imewafanyia nini? Chadema hapa inaingiaje?[/COLOR] Watu wameamua wajichinjie vitoweo vyao halali ili wale alafu anatokea mtu anasema wapelekewe watu wafanye ibada ukipinga basi wewe ni Chadema, nyie baadhi ya waislam mnataka kuishushia sana dini yenu ionekani wote ni wafinyu wa mawazo

Watu wengine wanshindwa kutofautisha kati ya ukristo na CHADEMA....
Wanaofanya fujo katika maandamano ya wakristo ndio walewale wanoafanya fujo katika maandamano ya CHADEMA...

Maandamano ya CHADEMA yanaandaliwa makanisani...
Maandamano ya WAKRISTO yanaanzia Katika ofisi za CHADEMA
 
Jamani tuwe wawazi hali imekuwa mbaya. Nimepita pita mitaa ya huku mpanda watu wana tension kubwa si wanaume, wanawake wala vijana. Please ritz ongea na mshua hali ni mbaya na tusiandike wala tusiombee mabaya eti tu sababu tupo nyuma ya key body zetu na tunatumia fake id. Tujiangalie tulipojikwaa ili tuishi kama zamani.
 
..Haijatokea kwa bahati mbaya kwamba RC, RPC, Mkurugenzi wa Jiji mbeya wote ni wa dini moja. Wamewekwa kimkakati.
 
inchi imeoza hii

leo tunagombea kuchinja, kesho tutagombea kuchinjana.


kikwete pole yako na udini wako.
 
kufunga na kusali huwezi ukamzidi Yohana aliyeenda kumkemea Herodi ikulu aache uzinzi! Akakatwa kichwa! Yesu mwenyewe hakuka mbinguni kufunga na kusali kwa ajili ya ukombozi bali alikuja duniani akamwaga damu! Ufahamu usifurahie Ufufuko bali Yesu ana msalaba pia!

sawa, nimekuelewa mkuu.
 
Haya sasa !kila mtu achinje mwenyewe kitoeo chake jamani.Yanini marumbano?

Ya nini maneno? Najiweka pembeni kuepuka msongamano, bora nianze kuchinja mwenyewe, me mbona nachinja mwenyewe? Serikali haina dini, iruhusu kila mtu achinje yule mwenye masharti ya kutokula mwenzake akichinja, anapunguza KULOSA na KULENGA!!!
 
Kwa nini Wakristo hatuwasikii (kimaneno) kutaka kujitenga?
Wewe ndo ulieleta hoja ya kujitenga unafikir na rahis kihivyo,wapo watakao zikana dini zao kwa sababu ya ndugu zao walioupande wa pili..wakristo hawasupport kujitenga ila kule kubebwa kwenu kunakera
 
Sasa inabidi ipigwe itikafu ya kufa mtu sio ya misikiti mitatu misikiti yote maalum kwa ajili ya,rais,waziri mkuu,igp,davis mwamunyange.natoa agizo mimi muft mkuu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom