Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,988
- 142,395
Naeleweka sana. Nipo upande wa ukweli.Nyani huwa hueleweki upo upande upi, ni vuguvugu 100%
Ni kama yuko biased!Huyu ni shangazi wa Chadema,wacha awanange.Alikuwa mkorofi sana enzi za JK alidiriki kuzaba wanahabari vibao.Enzi za JPM ndio rasmi akaamua kupata faraja kwa makamanda na sasa ameamu kuonyesha rangi zake
Msimamo wake kwa Samia ukoje?Fatma yawzekana anatetea leseni yake ya uwakili, lakini msimamo wake dhidi ya samia unafahamika
Wewe nadhani ndo hujanielewa!Mkuu nadhani hujamwelewa kabisa Shangazi Fatuma Karume! Kwanza huu mjadala ulifanyika jana kupitia Maria Sarungi space kwenye twitter. Mjadala huu ulikuwa mrefu sana na kulikuwa na washiriki wengi nadhani kama 4,000 hivi. Ulianza saa mbili usiku hadi zaidi ya saa sita usiku.
Niliusikiliza; hapo Fatuma alikuwa akiuliza maswali chokozi na chokonozi ili Tundu afunguke. Kwa kizungu ni kama alikuwa anauliza leading questions!
Nimeelewa sana.Nilifuatilia ule mjadala live.
Hujaelewa Shangazi alichokuwa anafanya, Aliamua kupose kama wale pro-Samia, ili kuuliza swali ambalo pro-Samia wamekuwa wakiliuliza, kuwa kwa nini hawakumpa muda Samia aconsolidate power, lengo ni kupata detailed response ya Lissu how to answer that.
Mbona Shangazi amekuwa critical sana wa serikali ya Samia?
It can man, una uhakika gani TL anaongea "Ukweli"? Or "Ukweli" ni nini kwako?Naeleweka sana. Nipo upande wa ukweli.
Tundu Lissu akisema ukweli, nakubaliana naye.
Hata wewe ukisema ukweli, nitakubaliana nawe.
Ukisema uongo na pumba, nitakuchana.
Your brain can’t process that?
I don’t think your brain is capable of processing nuance nor synthesizing your thoughts into words!It can man, una uhakika gani TL anaongea "Ukweli"? Or "Ukweli" ni nini kwako?
Kwa kuwa nimemfuatilia sana Shangazi tangu utawala wa samia ulivyoanza, mahojiano yake na Maria, tweets zake, na msimamo wake wa Katiba mpya, then conclusion inayokuja ni kuwa aliamua for the sake of argument kujivika u pro-Samia ili kumgrill Lissu aje na majibu ya maana ya kuvunja ile hoja ya kuwa Chadema hawakumpa Samia heshima stahiki, Trend record yake haionyeshi kabisa kuwa yuko camp "Samia apewe muda"Nimeelewa sana.
Lakini anavyouliza, ukisikiliza tone yake, utaona kuwa in a roundabout way, hivyo ndivyo anavyosema.
Unaelewa maana ya ‘in a roundabout way’?
Your nature of lukewarm describes you as a no free style Boy,but rather a flag that flaps by being hustled by abrupt wind
Sina hakika haya mazungumzo yalifanyika lini hasa. Lakini naamini si muda mrefu uliopita kwani kilichokuwa kinajadiliwa ni kile kinachoendelea hivi sasa nchini.
Huyu so-called Shangazi is caping hard for Samia! I wonder why [emoji848]?
In a roundabout way she is saying that Mbowe and the opposition are getting what they deserve for being disrespectful towards Samia Suluhu Hassan.
They are being disrespectful to her because she is a woman.
Sijui ana kigugumizi au sijui haijui vizuri lugha ya Kiswahili, lakini hata kuuliza maswali yanayoeleweka vizuri, hawezi!
Kwenye huu mjadala nipo na Tundu Lissu! Kajibu vizuri sana hizo hoja/maswali ya huyo Fatma. Nakubaliana naye katika kila alichokisema.
On the other hand, ni kama vile huyo Fatma na watu anaofanana nao kimawazo kuhusu Samia, anataka Samia asikosolewe sana kwa sababu ni mwanamke.
BS! She signed up for it and people have the right to go in on her with the same ferocity they went in on her predecessors.
She shouldn’t get preferential treatment just because she is a woman.
No one holding public office should be above criticism and no one should be below praise.
Fine.Kwa kuwa nimemfuatilia sana tangu utawala wa samia ulivyoanza, nahojiano yake na Maria, tweets zake, na msimamo wake wa Katiba mpya, then conclusion inayokuja ni kuwa aliamua for the sake of argument kujivika u pro-Samia ili kumgrill Lissu aje na majibu ya maana ya kuvunja ile hoja ya kuwa Chadema hawakumpa Samia heshima stahiki
I doubt you even understand your own drivel.Your nature of lukewarm describes you as a no free style Boy,but rather a flag that flaps by being hustled by abrupt wind
Hahaha, Ok Nyani, no need to be Sorry, ila ni vizuri ujiweke clear upo upande gani, hamna "Ukweli" duniani, Ukweli kwako unaweza kuwa uongo kwa mwingine. Ukweli ni relative thingI don’t think your brain is capable of processing nuance nor synthesizing your thoughts into words!
Sorry.