Tundu Lissu Umewekewa Mtego

Tundu Lissu Umewekewa Mtego

Nimeona Jamhuri katika Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu Wamefunga Ushahidi, Kama majaji wakitoa ruling una kesi ya Kujibu kitu ambacho nadra kwa sababu elements za Kosa kwa kiasi kikubwa hazijawa Proved ili uchomoke faster jitetee tuu mambo ya kuanza kuwaita akina Samia, Mwigulu, Majaliwa, Mpango, Kikwete hapo ndiyo mtego upo najua siyo kazi yako Mahakama itatoa Summons ila itakuweka sana Probably another year halafu watasingizia kuwa siyo Jamhuri ni aina ya mashaidi wanaoitwa na mshtakiwa.

View attachment 3651803
VS

View attachment 3651804
External Pressure imekua kubwa Karibu tena Uraini Tundu Lissu

Pro-JPM
Screenshot_20260604-133242~2.png
 
Zezeta kabisa wewe , si mlisema ushahidi mnao hadi mkaweka vibanda mahakamani watu watoe ushahidi kwa kujificha iweje mmeshindwa na mtu anajitetea mwenyewe?

Mlimkamataje mtu bila ushahidi sasa ambao mmebumba miezi zaidi ya 15 na haujawa na tija.
Vile vibanda vilitwa ni vya YERIKO NYERERE, shahidi anawekwa kwenye kibanda kama mbwa,
 
Hamna cha mtego, kukaa jela haogopi. Kama alipigwa risasi karibu kufa, ni kipi ataogopa tena?
Nyie watanzania wa Online bwana.Hakuna asiyeogopa au kufurahia kunyimwa uhuru wake?Inakera,inaumiza na inasikitisha sana kuona kwamba wewe unafikiri kwamba anafurahia kukaa JELA.Anyway Watanzania ndivyo walivyo.
 
Nimeona Jamhuri katika Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu Wamefunga Ushahidi, Kama majaji wakitoa ruling una kesi ya Kujibu kitu ambacho nadra kwa sababu elements za Kosa kwa kiasi kikubwa hazijawa Proved ili uchomoke faster jitetee tuu mambo ya kuanza kuwaita akina Samia, Mwigulu, Majaliwa, Mpango, Kikwete hapo ndiyo mtego upo najua siyo kazi yako Mahakama itatoa Summons ila itakuweka sana Probably another year halafu watasingizia kuwa siyo Jamhuri ni aina ya mashaidi wanaoitwa na mshtakiwa.

View attachment 3651803
VS

View attachment 3651804
External Pressure imekua kubwa Karibu tena Uraini Tundu Lissu

Pro-JPM
Lisu anaishi kupitia sals zetu.

Anachopitia ni big fight ya uhuru wangu.

Hakuna mtego. Tunachofahamu ni kuwa Lisu ameshtakiwa na wavuta bangi
 
Nyie watanzania wa Online bwana.Hakuna asiyeogopa au kufurahia kunyimwa uhuru wake?Inakera,inaumiza na inasikitisha sana kuona kwamba wewe unafikiri kwamba anafurahia kukaa JELA.Anyway Watanzania ndivyo walivyo.
Ni wapi nimefurahia yeye kukaa magereza, nimemwambia huyo mbwiga asilete vitisho vya kishamba.
 
Kaachiwa msala mwenyewe kama ana kesi ya kujibu aanze kuwaita mashahidi wake kama akikubali naona mwaka mwingine… Tundu Lissu Jela inamuuma sana sasa hivi ndiyo maana anatoa milio sana. Kwa kesi yake hii Bora ajitetee tuu iishee
Ajitetee mara 2, atawaita hao mashahidi wenu kwa kuanzia na kilaza mkuu Samia.
 
Wewe umejificha na I’D fake unamfundisha Lissu sheria mtu ambae amekaa bungeni miaka na miaka mwanasheria nguli kama unataka kubisha muulize Mwakyembe na Masaju au Jaji mkuu watakupa majibu
 
Toka lini umeanza kujali kuhusu Tundu Lissu, unafiki ni jina lako la katikati.

Takataka 🚮
 
wamemuweka ndani ili wasimuone sasa ni zamu yao kwenda kutoa ushahidi hukohuko Lisu hakimbiliki
 
Nimeona Jamhuri katika Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu Wamefunga Ushahidi, Kama majaji wakitoa ruling una kesi ya Kujibu kitu ambacho nadra kwa sababu elements za Kosa kwa kiasi kikubwa hazijawa Proved ili uchomoke faster jitetee tuu mambo ya kuanza kuwaita akina Samia, Mwigulu, Majaliwa, Mpango, Kikwete hapo ndiyo mtego upo najua siyo kazi yako Mahakama itatoa Summons ila itakuweka sana Probably another year halafu watasingizia kuwa siyo Jamhuri ni aina ya mashaidi wanaoitwa na mshtakiwa.

View attachment 3651803
VS

View attachment 3651804
External Pressure imekua kubwa Karibu tena Uraini Tundu Lissu

Pro-JPM
Kukaa jela ukiwa unatafuta haki ya wengi siyo adhabu ni wajibu. Watu wengi wanatamani kuipata
 
Back
Top Bottom