jonas kwigeza
Member
- Oct 12, 2016
- 96
- 134
mkuu nakuomba uripoti kituo cha kati haraka iwezekanavyo....watumishi mna mikopo ya kipuuzi sana umekopa NMB na MABOTO halafu unalalamika nini achene upuuzi huo mshahara ni mkubwa sana tena inatakiwa upunguzwe
Mkuu kinachotusumbua watanzania hasa ni kukosa hulka ya UTAIFA KWANZA, ndiyo maana ukiona baadhi ya comments za wadau wanahisi labda ninalilia tumbo langu rahasha....!! Ila naumia ninapo waona watanzania wenzangu wakiteseka na ugumu Wa maisha sababu ya uamuzi Wa mtu mmoja.Mimi nishasema watu wanaofikiria kwa makalio huwa si was kuwajibu unamwangalia unamwacha akikaa akatafakari anachokifanya atakumbuka alikotoka. Hivi unapomwita Mwalimu kiherehere was ccm we umetokea katika mikono ya Mani kuwa daktari,engineer na ama fani yeyote ile. Wapo walimu wamemake maisha kuliko nyie ambao labda mnajiona bora kuliko wao. Linalosemwa hapa ni jambo la MSINGI tena sana sharia inasemaje juu ya mkataba. Lissu anaingia hapa kama MTU ambaye anaweza kutoa ufafanuzi na kama inawezekana kutoa msaada kuwasaidia hawa wanyonge ambao labda mnaona ndio watu chini kuliko nyie. Wase...... Wapo wanaotumia makalio kufiWAPOO. ?.........WAPOOOO,wenye akili kama za bashiiiit?......WAPOO. Hahahaaa wase.... Mnajifanya wajuaji na wakati mnatusuliwaa.
Tulipokuwa tukiwaomba kura mlitukana sasa hebu isomeni namba kidogo kabla hatujawasemea, obviously tutawasemea!Kichwa cha habari chajieleza.
Board ya mkopo ya Elimu Tanzania inawanyanyasa na kuwafedhesha WATUMISHI Wa umaa,kwa Makato ya 15% ,haijalishi umemaliza mwaka gani chuo. Je sheria zinasemaje kuhusu mikataba?
Wanasheria kupitia Tanganyika Laws society (TLS) wasaidieni watumishi Wa umma,hawana watetezi kabisa,si walimu na chama chao,wala chama cha madaktari wote ni waoga kama kunguru.
Kwa mshahara kama Wa huyu mnyonge ataishije mjini? Na atafanyaje kazi?
Duuh!watumishi mna mikopo ya kipuuzi sana umekopa NMB na MABOTO halafu unalalamika nini achene upuuzi huo mshahara ni mkubwa sana tena inatakiwa upunguzwe
Kichwa cha habari chajieleza.
Board ya mkopo ya Elimu Tanzania inawanyanyasa na kuwafedhesha WATUMISHI Wa umaa,kwa Makato ya 15% ,haijalishi umemaliza mwaka gani chuo. Je sheria zinasemaje kuhusu mikataba?
Wanasheria kupitia Tanganyika Laws society (TLS) wasaidieni watumishi Wa umma,hawana watetezi kabisa,si walimu na chama chao,wala chama cha madaktari wote ni waoga kama kunguru.
Kwa mshahara kama Wa huyu mnyonge ataishije mjini? Na atafanyaje kazi?
Ni wajibu wangu kukupa Elimu hata kama unayo lakini hujaelemika.....!!!!Nyie yanapowafika ndipo mnamkubuka Tundu Lissu, lkn wakati wa uchaguzi mnakuwa wapi? Please walilieni mliowapigia kura ndio wawasaidie....You reap what you....
Ipungizwe ili muimarishe chama chenu cha makenge mnachokibomoa kipumbavu?watumishi mna mikopo ya kipuuzi sana umekopa NMB na MABOTO halafu unalalamika nini achene upuuzi huo mshahara ni mkubwa sana tena inatakiwa upunguzwe
Sasa hiyo mikopo vipiKichwa cha habari chajieleza.
Board ya mkopo ya Elimu Tanzania inawanyanyasa na kuwafedhesha WATUMISHI Wa umaa,kwa Makato ya 15% ,haijalishi umemaliza mwaka gani chuo. Je sheria zinasemaje kuhusu mikataba?
Wanasheria kupitia Tanganyika Laws society (TLS) wasaidieni watumishi Wa umma,hawana watetezi kabisa,si walimu na chama chao,wala chama cha madaktari wote ni waoga kama kunguru.
Kwa mshahara kama Wa huyu mnyonge ataishije mjini? Na atafanyaje kazi?
Sasa hivi basic salary no 716000 na 15% ni 107400Ukiamua kutoa hoja karibu kuwakweli Huhitaji mwanahisaati kujua kuwa basic salary 630000/_ na HESLB amekatwa 47000/_ ni 8%.Kwa nini uweke slip yamwaka 2015 , WATU WATASEMA WEWE SIO MKWELI KWA LUGHA YA KING WANA, Wanasoma watu wengi lakini na hesabu za msingi sio shida kwa wasomaji. Weka ya mwaka huu ionyeshe basic ni 63000/_ na makato ya HESLB yawe 94500/_ hapo utaonekana Sahihi. NI USHAURI TU, KAMA NI MHANGA WA 15% BANDIKA , TUTAKUPA POLE INGAWA HATUNA MAAMUZI.