Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 18,743
- 29,283
Unajua ni taasisi ngapi za serikal zinategemea internet kuendesha mifumo yake.kesho ndo kesho. simba wana mwamba wa lusaka. sisi tuna mwamba wa Tanzania.
Lissu atanguruma kesho. kuweka mezani mbivu na mbichi kuelekea uchaguzi mkuu.
je, mtandao wa internet utazimwa?
JF itakuwa haifunguki?
nawaza tu.
Inchaji.
Kuzima tu kutalazimisha taasis hizo kutokufanya kazi kabisa.
Ni kitu ambacho ni kigumu.