Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nitazungumza na Taifa Jumatatu, 8 Juni, 2020 kupitia Facebook Live Streaming | 14:00 EAT 13:00 CET 7:00AM EST (USA)

kesho ndo kesho. simba wana mwamba wa lusaka. sisi tuna mwamba wa Tanzania.

Lissu atanguruma kesho. kuweka mezani mbivu na mbichi kuelekea uchaguzi mkuu.

je, mtandao wa internet utazimwa?

JF itakuwa haifunguki?

nawaza tu.

Inchaji.
Unajua ni taasisi ngapi za serikal zinategemea internet kuendesha mifumo yake.
Kuzima tu kutalazimisha taasis hizo kutokufanya kazi kabisa.
Ni kitu ambacho ni kigumu.
 
Le mutuz na cyprian Musiba wameenda kuomba pesa CCM ili wazitumie na waganga wa kienyeji kumzuia Tundu kukumbuka kuyasema yale mabaya ya Serikali ya CCM
 
Hata sisi wa Chimwaga, Chamwino na Chato tuko makini kumsikiliza Rais mtarajiwa kesho
 
Za jiwe zinasikilizwa sio sababu anakubalika noo Ila sababu ya maboko Yani ni source ya maboko.
 
Utatu mchafu wa roho za uasi tz.
Mbowe + lissu + zitto = utatu mchafu
Wakifuatiwa na waasi wasaidizi wengine
 
Kujenga Taifa? Wakati watu wapo hoi!!! Ni ujinga wa maisha, Yani familia yako inakwenda kuwa tengemezi kwa kutofikiria. Nonsense kabisa
Hana jipya awadanganye nyie wajinga wenzake,sasa Lissu ye ni nan tukae tunasilikiza? Si bora niende kulima mboga mboga zangu tu.
 
Mabeberu na kampuni zao sasa hivi wanakuja kivingine. Serikali inapata 16% na 50% economic benefits,kitu ambacho mtetezi wa mashoga alikuwa hataki serikali inufaike.

Hayo mapendekezo yana muda mrefu kweli kwenye hiyo sekta ya madini, ila ndio mmeanza kuamka sasa mnadhani mmepatia. Huyo Lisu hayo mnayoyaona leo kayaona miaka mingi nyuma, ila kwakuwa mnaongoza watu wengi wenye ufahamu mdogo, mkiwahadithia wanadhani ni jambo jipya.
 
27 Reactions
Reply
Back
Top Bottom