Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nitazungumza na Taifa Jumatatu, 8 Juni, 2020 kupitia Facebook Live Streaming | 14:00 EAT 13:00 CET 7:00AM EST (USA)

Lisu tu ndiye anaweza kutukwamua wanyonge toka kwenye Lindi la ufukara uliosababishwa na ccm.
Tena akiichukua nchi inabidi arudishe Mali zote ccm ilizo jimolikisha kihuni kwa wananchi, Kama maredio viwanja vya michezo na majengo ya biashara
 
Mnampa kiki za kijinga tu kama anakubalika kweli atasikilizwa tu bila hata kumuanzishia nyuzi 100 ndani ya siku 3...Mnalazimisha watu wamfuatilie huyo.
Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza.
Za Mh.Rais zinasikilizwa Africa,Ulaya na Marekani bila kumpigia promo yoyote ile.
 
Comment za makada wenzangu ni matusi tena ya aibu kweli kweli.Hivi kutukana siku hizi ni halali humu Jf ...ngoja tuone faida ya matusi labda .
 
kesho ndo kesho. simba wana mwamba wa lusaka. sisi tuna mwamba wa Tanzania.

Lissu atanguruma kesho. kuweka mezani mbivu na mbichi kuelekea uchaguzi mkuu.

je, mtandao wa internet utazimwa?

JF itakuwa haifunguki?

nawaza tu.

Inchaji.
Joka la Kibisa linamtisha nani?
 
Huyo mlemavu wa akili na viuongo ambaye hata angegombea ubalozi asingepata azimiwe mtandao you are mental compromised Drancunculus qualified schizophrenic hallucinated manic idiot

Wewe mwenyewe hujui ya kesho usinyanyapae watu wenye matatizo ya viungo,Siasa zisiwatoe kwenye ubinadamu.
 
Huyo mlemavu wa akili na viuongo ambaye hata angegombea ubalozi asingepata azimiwe mtandao you are mental compromised Drancunculus qualified schizophrenic hallucinated manic idiot
Magonjwa mtambuka
Drone camera
Idugunde
Jingalo
Bia yenu
Yehodaya
 
Chadema wapi mnakwama? Yani hii hotuba ya Lissu haijafanyiwa enough promo kabisa, Director of Comms Jon Mrema naona anahangaika na ku retweet post za kigogo
 
Mkuu samahani, hawamuogopi kwa lolote, ila wanamchukia kupita kiasi. Wanajua jamaa na ushawishi wa hali ya juu, na huwa anaweka mambo hadharani.
Ushawishi wa kutetea kampuni za mabeberu kama Acacia! Na kudanganya watu habari za MIGA!
 
Ushawishi wa kutetea kampuni za mabeberu kama Acacia! Na kudanganya watu habari za MIGA!

Hata kampuni zote za madini hapa nchini sasa hivi ni za hao hao mabeberu, je huyo Lissu ndio atakuwa na mabeberu tofauti na hawa waliopo? Ukiwa bendera fuata upepo, hata uwezo wa kupambanua mambo unakuwa mdogo. Unakwama wapi chagu wa malunde?
 
Mabeberu na kampuni zao sasa hivi wanakuja kivingine. Serikali inapata 16% na 50% economic benefits,kitu ambacho mtetezi wa mashoga alikuwa hataki serikali inufaike.
 
kesho utaona na Magufuli ataongea ili kuzima habar za lisu au kutakuwa na bonge la kiki kutoka kwa wasanii wa CCM na msije kushangaa Amber Rutty, Diamond Platnumz na Kiba Wametoa Pornvideo Yao.
 
Back
Top Bottom