jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,507
- 25,784
Hizi ni dini tu wala usijali mkuu. Cha muhimu ni wewe na Mungu wako. Hao matapeli.nimeacha kushiriki misa ndani ya kanisa nililobatizwa kwa vile wameamua kukumbatia uovu
Hizi ni dini tu wala usijali mkuu. Cha muhimu ni wewe na Mungu wako. Hao matapeli.nimeacha kushiriki misa ndani ya kanisa nililobatizwa kwa vile wameamua kukumbatia uovu
Mpaka sasa Lissu ameshashinda Urais kwa asilimia 50 kabla ya kampeni.Acha upumbavu usihusishe kupigwa kwa Lissu na serikali unaushahidi gani kama ndiyo inahusika ilhli kashindwa kwenda kushtaki ili ufanyike upelelezi anakaa kulaumu majukwaani waliomzuru anawajua yeye na ni siri yake usihusishe mungu na ujinga wa lissu
Tukio la Lissu kuanzia kupigwa risasi nyingi kwenda kutibiwa nje, kuondolewa ubunge, kurudi nyumbani na kupokelewa kwa kishindo wakati wa msiba wa Mkapa na kufanikiwa kuzunguka kanda zote za nchi na kupokelewa kifalme limesheheni ishara kemkem za lugha ya kiroho inayonena makubwa sana kwa Lissu na kwa watanzania wote. Nafuatilia kuona yatakayojiri, hakika kila ishara za kiroho naziona hapa na itakuwa vigumu kwa mwanadamu kuharibu mpango huu unaotoka ulimwengu wa kiroho. Atakayejaribu kuharibu mpango huu, ataharibika yeye.
Kiroho zaidi
Post of the day! Yaani umetoa description ambayo ni sahihi kumwelezea Lisu a madhira yaliyompata.
KWA AKILI YAKO YA KITAAHIRA USHAWAHI KUONA KAMA KUNA ISHU KAMA HIYO YA MAUAJI IKITOKEA UCHUNGUZI HAUFANYWI? LAZIMA UFANYIKE KWA NJIA NYINGINE SASA MTU YUPO UNATAKA NANI ASIMAMIE KESI YA KE>? AENDE YEYE AKASHITAKI AMEPIGWA ILI UCHUNGUZI UFANYIKE SI YUPO?
Nyie ndo wale wale mnaokariri hmna mnachojua mkiambiwa mlete huo ushahidi wa usaliti wake mnabwabwaja tu mabeberu mabeberu!! Kuhusu nguvu aliyonayo huwez kuiona wewe ila wale wanaoiona wanahangaika usiku na Mchana kufikia mpaka akapigwa risasi angekua hana effect wasingehangaika naeNguvu gani alizokuwa nazo? Lisu Ni msaliti tu atawapata wajinga Kama wewe na Hana ubavu wa kushindana na jembe magufuli ni sawa uwafananishe Messi na kichuya