Tundu Lissu ni tanzi kwa utawala

Tundu Lissu ni tanzi kwa utawala

Dini ilikuja kama kitanhulizi cha ukoloni, wazungu kuna vitu walibadili katika dini za kweli kwa manufaa yao
si kweli kazi ya dini ni kuishape jamii.yeyeto mwenye kuijua dini uelekea kwenye uperfection
 
Viongozi wa dini hawaoni haya! Ujuwe dini ni kama ya mkoloni tu.🤦🏾‍♂️
Kiongozi yoyote wa dini anakuwa upande wa watawala badala ya wanyonge huyo sio kiongozi bali ni mganga njaa tu!! Ktk Africa ni Desmond tutu, pekee ndio huwa hapepesi macho kwa wadharimu. Wewe unasisitiza amani bila kuangalia haki ipo?
 
acha upumbavu usihusishe kupigwa kwa lissu na serikali unaushahidi gani kama ndiyo inahusika ilhli kashindwa kwenda kushtaki ili ufanyike upelelezi anakaa kulaumu majukwaani waliomzuru anawajua yeye na ni siri yake usihusishe mungu na ujinga wa lissu
Wewe poyoyo kweli. Angekufa je?
 
Wewe si unaongelea uchunguzi wa tukio lililompata? Angekufa maana yake uchunguzi usingefanyika?
KWA AKILI YAKO YA KITAAHIRA USHAWAHI KUONA KAMA KUNA ISHU KAMA HIYO YA MAUAJI IKITOKEA UCHUNGUZI HAUFANYWI? LAZIMA UFANYIKE KWA NJIA NYINGINE SASA MTU YUPO UNATAKA NANI ASIMAMIE KESI YA KE>? AENDE YEYE AKASHITAKI AMEPIGWA ILI UCHUNGUZI UFANYIKE SI YUPO?
 
acha upumbavu usihusishe kupigwa kwa lissu na serikali unaushahidi gani kama ndiyo inahusika ilhli kashindwa kwenda kushtaki ili ufanyike upelelezi anakaa kulaumu majukwaani waliomzuru anawajua yeye na ni siri yake usihusishe mungu na ujinga wa lissu

sihusishi wala haiwezi kuhusishwa till proven , ila tupo katika nchi . kiimani , tatizo likitokea huwa linabeba ardhi ya sehemu husika , tunalaaniwa watanzania . soma maandiko . hasa katika kipindi hiki tunaposema sisi tunamtumaini Mungu , au kuna mteule na maombezi yanaendelea .

kumbuka katika haya maisha kuna wana wa nuru na wana wa giza . wana wa giza haya kwao ni kawaida , kupiga risasi , kuua , kusema uongo nk . wale wa nuru ,haiwezekani kufanya hivyo .

sisi kwa utawala huu tumejitanabaisha ni wana wa nuru . Hivyo tunapoenda kuomba . Majibu ya Mungu ni kukwambia wapi umekosea na kukurudi , ili aidha ukielewa ukawe bora .soma andiko langu vizuri .
 
tatizolako unaenda direct kusema serikali imefanya ijirekebishe unamuhusisha mungu kwenye ujinga mwache apumzike anakazi nyingi sana zakutuangalia watu wake huo ujinga wenu na huyo mtu wenu pelekebni huko
 
Dini ilikuja kama kitanhulizi cha ukoloni, wazungu kuna vitu walibadili katika dini za kweli kwa manufaa yao

Think sana mkuu ! . Dini ni falsafa . ndani ya dini inatakiwa uwe na imani . Ndani ya imani hakuna dini .
dunia hii inabeba vitu vitatu tu . uchumi ,dini na siasa . na kila kimoja kinategemeana na mwenzake . hapa ndiyo maana itakuija new world order na mpinga kristo .
 
tatizolako unaenda direct kusema serikali imefanya ijirekebishe unamuhusisha mungu kwenye ujinga mwache apumzike anakazi nyingi sana zakutuangalia watu wake huo ujinga wenu na huyo mtu wenu pelekebni huko

tatizo ni letu sote hata mimi ni sehemu ya waliomkosea lissu na nchi yangu . kwani kama ningesimama kiimani kweli kweli , haya yasingetokea . kwa maana nyingine nilishindwa kuiombea serikali ipasavyo .
 
Kwa sisi wazee wa imani . ukisoma Yoshua 23: 12- 13. wana wa israel waliambiwa na joshua . wasirudi nyuma ,wasonge mbele kuwaondoa wale wana wa kanaani wote . wakiwaacha itakuwa mtego na kitanzi kwao .

Hoja yangu ni kuwa kwa kuwa wao waliamua kummaliza lissu na ikashindikana . sasa hii imekuwa Tanzi kwao . Huu ulikuwa ni uovu , kumuondoa mwenzako kwa utashi wako na wala si Mungu alivyotaka . Nina imani Kuna jambo kubwa lissu anaenda kufanya .Baada ya kufufuka huku . Iwe ni kukamata uraisi, kuukosa , iwe ni kupiga kampeni . all in all kuna jambo kwa utukufu wa Bwana .

Siku zote Mungu huwa anawatumia watu katika makusudi yake . Wale waliopinda pinda , wale ambao kwa macho ya kibinadamu unaona si perfect . Hata kiongozi wetu mkuu , alikuwa ni mtu aliyeanza majukumu ya siasa kutoka chini sana . kwanza niliwahi kusikia ushuhuda wake , kwa mara ya kwanza alikuwa anapiga kampeni kwa baiskeli . huku akihisi kama anabahatisha ,lakini leo katoboza . Ana good determination .

Nikisoma kitabu cha waamuzi katika biblia . kinaniambia mtu akitoka katika agano na Mungu , madhara ni lazima . kila siku waamaleki na wamoabi watakufukuza tu . swala ni kutubu kwa yale tuliyokosea , hasa damu zilizo mwagika . Kuna familia zina lia kwa wapendwa wao kupotea na kufa . baada ya hapo tusonge mbele .

Tundu Lissu ni mtego na tanzi kwa utawala huu . TUBUNI !
Wewe combination ya Lissu aliye na nguvu ya umma na Kigogo 2014 Bingwa wa IT na teknolojia Duniani unaionaje????

Tundu Lissu ndo Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020 - 2025
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom