Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

Na kfw tayari wamesha jiondokea
asisahau kwenda CNN,aljazeera,deutchwere,France 24,Birmingham news,na viclip kibao YouTube atakuwa kama bazooka baada ya hapo maisha mengine yataendelea. bila tabu pia asisahau wampe na pa kuishi kama yule Dada wa kiarabu ili tuinjoi story zake tokea huko.

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Chupi zimeanza kuwabana sasa

In God we Trust
watapatatabusanaaaa
tapatalk_1544205109424.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
BBC Africa inasikika Afrika tu mkuu huko majuu watu hawana time na hizi news za Afrika ni malimbukeni tu wa huku ndio hufuatilia hizo news.Majuu watu wanaangalia tu ''utabiri wa hali ya hewa''kama leo kutakuwa na ice ,storm au barabara ina traffic jam n.k.Lissu anamjua tu huyo Kikeke,huyo dada na akina Kipanya
Mbona walijua kuwa hamtaki watoto waliopata mimba wasisome wakawapa kibano,? Jee habari hizo walizipata kwenye utabiri wa Hali ya hewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana.

Kwakweli stataka nipitwe katika Mahojiano yake na Stephen sackur Hardtalk.

Stephen sackur yupo njema sana katika kuuliza maswali na huwa anafanya utafiti mkubwa sana kabla ya mahojiano.

Kutokana na Maswali ya Stephen naamini nitapata Mambo mengi ya kujifunza kutoka kwa kaka yangu Tundu lissu.


Matteo Salvini the Deputy Prime Minister-Italy alipata kuingia hard talk,Nilijifunza Mengi.


Kama kuna upatikanaji wa BBC nadhani ni jambo zuri tukiitazama Hardtalk Stephen sackur vs Tundu lissu.


Saizi Hardtalk ipo hewani.

Stephen yupo na Writer Jonathan Coe.

Sent using Jamii Forums mobile app
muda gani mzee!?
 
huu uzi unaonesha ni jinsi gani baadhi ya watanzania walivyo na roho za kishetani......siasa tumezikuta na tutaziacha lakini binadamu ndo tutakaozikana
 
Nilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo, Kenya na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.

Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!

Next, ...
Kwa vyovyote utakuwa nyumbani kwa wazungu, hili povu si la kawaida
 
Back
Top Bottom